unprejudiced
JF-Expert Member
- Jan 27, 2017
- 3,503
- 2,865
ALERT [emoji599]: Waliouawa Zanzibar Wafikia Tisa (9)
Mwananchi mwengine mmoja ameuawa kwa kupigwa risasi na Vyombo vya Dola Zanzibar, aliyeuawa ni Omar Juma Mohammed wa Mwembe Makumbi, Unguja.
Kuuawa kwa Omar kunafanya idadi ya waliouawa tangu Jana kufikia 9
#ZanzibarLivesMatter
Nenda field ili upate uthibitishoHabari za uongo lete uthibitisho
Picha subir ukifa weweTunataka ushahidi wa picha, maziko sio porojo tu.
Nenda field ili upate uthibitisho
Sio kutikisa tikisa matako hapa
Lugha ya picha hiyo wewe.RUDI SHULE KAMA HUWEZI KUELEWA ALICHO MAANISHA MWANDISHI.Propaganda za kijinga, na ni uchochezi!
Kwa waliopitia jeshini hata mgambo wanafahamu kabisa kuwa unachokionyesha kwenye picha ni risasi nzima ambayo haijatumika!
Sasa anayedaiwa kuuawa kwa risasi hiyo alivurumishiwa kwa manati?
KWA vile hamfi nyinyi Watanganyika ndio propaganda za kitoto siyoo??Propaganda za kitoto
Hivi huu muungano ambao ni lazima siku zote ulindwe kwa gharama ya damu na utu wa Wanzanzibari kuna ulazima gani uwepo? Waacheni Wanzanzibari uhuru wa kuamua wa kuwatawala.ALERT: Waliouawa Zanzibar Wafikia Tisa (9)
Mwananchi mwengine mmoja ameuawa kwa kupigwa risasi na Vyombo vya Dola Zanzibar, aliyeuawa ni Omar Juma Mohammed wa Mwembe Makumbi, Unguja.
Kuuawa kwa Omar kunafanya idadi ya waliouawa tangu Jana kufikia 9
#ZanzibarLivesMatter
Sasa iliyotumika ataipataje?Propaganda za kijinga, na ni uchochezi!
Kwa waliopitia jeshini hata mgambo wanafahamu kabisa kuwa unachokionyesha kwenye picha ni risasi nzima ambayo haijatumika!
Sasa anayedaiwa kuuawa kwa risasi hiyo alivurumishiwa kwa manati?
picha zitakufurahisha?Tunataka ushahidi wa picha, maziko sio porojo tu.
Mimi nina damu ya Sultan Sayid kwa taarifa yakoKWA vile hamfi nyinyi Watanganyika ndio propaganda za kitoto siyoo??
Chanzo kinachofahamika ni kile kile cha kulazimisha mtu asiyeweza kupata hata 20% ya kura Hussein Mwinyi kuwa Rais wa ZanzibarMbona hamuweki chanzo cha kadhia nzima ya tukio hili la kusikitisha la mauaji?
Happy waliouwawa walikua wapi na walikua wanafanya mini? Acheni propaganda zenu. Nipo Zanzibar name shughuli zinaendelea kama kawida kila mtu yupo nyumbani kwake salama.
Mtanyooshwa tuu, kwani msituni niye ndio mtakuwa wa kwanza. Wapalestina waliingia tangu 1948 mpaka leo na wanaendelea kunyooshwa. Kichwa ngumu piga nondo.Mahakama zinamuogopa Magufuli Polisi wanamuogopa Magufuli Wanajeshi wanamuogopa Magufuli sasa sisi wananchi tukimbilie wapi wakati anatuua?
Je, tukiingia Msituni na kuanza harakati nani wa kulaumiwa?
Sheikh Ponda Issa Ponda amshukia MagufuliMtanyooshwa tuu, kwani msituni niye ndio mtakuwa wa kwanza. Wapalestina waliingia tangu 1948 mpaka leo na wanaendelea kunyooshwa. Kichwa ngumu piga nondo.
Ingia faster ....Mahakama zinamuogopa Magufuli Polisi wanamuogopa Magufuli Wanajeshi wanamuogopa Magufuli sasa sisi wananchi tukimbilie wapi wakati anatuua?
Je, tukiingia Msituni na kuanza harakati nani wa kulaumiwa?