unprejudiced
JF-Expert Member
- Jan 27, 2017
- 3,503
- 2,865
ALERT [emoji599]: Waliouawa Zanzibar Wafikia Tisa (9)
Mwananchi mwengine mmoja ameuawa kwa kupigwa risasi na Vyombo vya Dola Zanzibar, aliyeuawa ni Omar Juma Mohammed wa Mwembe Makumbi, Unguja.
Kuuawa kwa Omar kunafanya idadi ya waliouawa tangu Jana kufikia 9
#ZanzibarLivesMatter
Nyie wapumbavu. So mmewapanga Vijana wa watu kwenda kuvunja sheria kurusha mawe mkijua kuwa mawe Ni silaha na Polisi lazima watajilinda. Ili risasi zipigwe. My God. Mnalipwa Nini kwa kutaka fujo Tansania.