Wanachota kutoka koloni laoKwa muda mfupi Zanzibar imeweza kukarabati Amani stadium kwa viwango vya FIFA, imejenga kiwanja kipya cha Gombani, Tanganyika yenye watu 60m tumeshindwa kumalizia kiwanja kimoja cha Arusha hadi tuombe mkopo.
Tanzania ni mwenyeji wa AFCON 2027, kiwanja tunachokitegemea ni Benjamin Mkapa nacho kila siku kipo kwenye marekebisho. Kiwanja cha Arusha tuliambiwa (kisiasa) kipo kwenye finishing touches, nimekuja kukiona kumbe ni skeleton tupu.
Tuna-feli wapi.
View attachment 3542668
viwanja vya michezo Zanzibar na Bara vitajengwa na serikali husika kwa fedha za ndani, na ikibidi pia fedha za nje pia zitatumika kwa kazi hizo muhimu kwa mustakabali wa maendeleo ya michezo nchini.Kwa muda mfupi Zanzibar imeweza kukarabati Amani stadium kwa viwango vya FIFA, imejenga kiwanja kipya cha Gombani, Tanganyika yenye watu 60m tumeshindwa kumalizia kiwanja kimoja cha Arusha hadi tuombe mkopo.
Tanzania ni mwenyeji wa AFCON 2027, kiwanja tunachokitegemea ni Benjamin Mkapa nacho kila siku kipo kwenye marekebisho. Kiwanja cha Arusha tuliambiwa (kisiasa) kipo kwenye finishing touches, nimekuja kukiona kumbe ni skeleton tupu.
Tuna-feli wapi.
View attachment 3542668
Kwa muda mfupi Zanzibar imeweza kukarabati Amani stadium kwa viwango vya FIFA, imejenga kiwanja kipya cha Gombani, Tanganyika yenye watu 60m tumeshindwa kumalizia kiwanja kimoja cha Arusha hadi tuombe mkopo.
Tanzania ni mwenyeji wa AFCON 2027, kiwanja tunachokitegemea ni Benjamin Mkapa nacho kila siku kipo kwenye marekebisho. Kiwanja cha Arusha tuliambiwa (kisiasa) kipo kwenye finishing touches, nimekuja kukiona kumbe ni skeleton tupu.
Tuna-feli wapi.
View attachment 3542668
Watanzania wanalipa kodi sana tena wazalendo na Nchi yao matumizi ya hovyo baada ya kukusanya kodi ndio changamoto nenda Zambia au Malawi kodi zao za bidhaa ni kidogo sana na wanakwepa Tanzania mtu analipia kodi gari la kutembelea tu 70m na yapo mengi hapo wakati Nchi zingine hapo ni gari 4 kama hilo hilo lililolipwa Tanzania..viwanja vya michezo Zanzibar na Bara vitajengwa na serikali husika kwa fedha za ndani, na ikibidi pia fedha za nje pia zitatumika kwa kazi hizo muhimu kwa mustakabali wa maendeleo ya michezo nchini.
hata hivyo,
ni vyema kwa viongozi kujiepusha na vitendo vya rushwa, lakini pia wananchi kujiepusha na ukwepaji kodi wa makusudi na kuikosesha serikali mapato ya kukamilisha miradi ya maendeleo. Muhimu zaidi kama taifa hatuna budi kwa pamoja kudumisha umoja, amani na mshikamano ili kuipa nafasi serikali kutekeleza na kukamilisha majukumu hayo muhimu kwa wakati na kwa maslahi mapana ya wananchi wote.
Fedha za kufadhili miradi ya maendeleo Tanzania zipo za kutosha ikiwa sote tutaungana kuipiga vita rushwa na kujiepusha na ukwepaji kodi wa makusudi.
Zanzibar na Jamuhuri ya muungano hazihitaji misaada ya nje tukiungana katika kuyadhibiti hayo hapo juu
Gentleman,Watanzania wanalipa kodi sana tena wazalendo na Nchi yao matumizi ya hovyo baada ya kukusanya kodi ndio changamoto nenda Zambia au Malawi kodi zao za bidhaa ni kidogo sana na wanakwepa Tanzania mtu analipia kodi gari la kutembelea tu 70m na yapo mengi hapo wakati Nchi zingine hapo ni gari 4 kama hilo hilo lililolipwa Tanzania..
TRA wanaposema wamevunja rekodi ni makusanyo ya walipa kodi wa Kitanzania sio kila kukicha mnakuja kuhamasisha watu walipe kodi wakati matumizi mengi ni ya hovyo hovyo tu
Siasa.Uwanja wa Arusha unamalizika July 2026.
Fumba kule Pemba mpaka ikifika November 2026 utakuwa umemalizika kujengwa.
Benjamini Mkapa mpaka ikifika June 2026 ile sehemu ya kuchezea (pitch) itakuwa imesharekebishwa.
Punguzeni kuamini upumbavu wa instagram, hizi habari zako feki kabisa.
Usìkute wewe ndiye mpumbavu, kuamini kuwa uwanja wa Arusha utakamilika kwa miezi minne iliyobaki ni matumizi mabaya ya akili.Uwanja wa Arusha unamalizika July 2026.
Fumba kule Pemba mpaka ikifika November 2026 utakuwa umemalizika kujengwa.
Benjamini Mkapa mpaka ikifika June 2026 ile sehemu ya kuchezea (pitch) itakuwa imesharekebishwa.
Punguzeni kuamini upumbavu wa instagram, hizi habari zako feki kabisa.
Wewe ndiye mjinga, usiyejua wajenzi wamejipanga vipi unakuja humu kupinga kila kinachofanywa na serikali.Usìkute wewe ndiye mpumbavu, kuamini kuwa uwanja wa Arusha utakamilika kwa miezi minne iliyobaki ni matumizi mabaya ya akili.
Muda unaongea.Siasa.
Mmeyataka wenyewe, acha Zanzibar iendelee kuwanyonya mpaka mpate akili.Kwa muda mfupi Zanzibar imeweza kukarabati Amani stadium kwa viwango vya FIFA, imejenga kiwanja kipya cha Gombani, Tanganyika yenye watu 60m tumeshindwa kumalizia kiwanja kimoja cha Arusha hadi tuombe mkopo.
Tanzania ni mwenyeji wa AFCON 2027, kiwanja tunachokitegemea ni Benjamin Mkapa nacho kila siku kipo kwenye marekebisho. Kiwanja cha Arusha tuliambiwa (kisiasa) kipo kwenye finishing touches, nimekuja kukiona kumbe ni skeleton tupu.
Tuna-feli wapi.
New Amani Complex
View attachment 3542670
Gombani Stadium
View attachment 3542671
Arusha Complex
View attachment 3542673
Muda utakuja kuongea tuWatanzania wanalipa kodi sana tena wazalendo na Nchi yao matumizi ya hovyo baada ya kukusanya kodi ndio changamoto nenda Zambia au Malawi kodi zao za bidhaa ni kidogo sana na wanakwepa Tanzania mtu analipia kodi gari la kutembelea tu 70m na yapo mengi hapo wakati Nchi zingine hapo ni gari 4 kama hilo hilo lililolipwa Tanzania..
TRA wanaposema wamevunja rekodi ni makusanyo ya walipa kodi wa Kitanzania sio kila kukicha mnakuja kuhamasisha watu walipe kodi wakati matumizi mengi ni ya hovyo hovyo tu
Muda ndiyo utaamua kati ya mimi na wewe nani mjinga, July siyo mbali.Wewe ndiye mjinga, usiyejua wajenzi wamejipanga vipi unakuja humu kupinga kila kinachofanywa na serikali.
Bajeti yao ilishatengwa miaka iliyopitwa msidanganywe na uongo wa instagram.
Mwaka 2025 walisema umefikia asilimia 51.Muda unaongea.
Pesa huweza kubomoa hata milima. Tulieni kila kitu kipo kwenye mikono salama.Mwaka 2025 walisema umefikia asilimia 51.
Juzi wamesema umefikia 74%.
Wewe unasema baada ya miezi 3 July utakuwa 100%, hapo mjinga ni nani.
View attachment 3542677
Taarifa hizi nina uhakika nazo kutokana na chanzo changu.Muda ndiyo utaamua kati ya mimi na wewe nani mjinga, July siyo mbali.
Anafikiri mwezi July utafika kwake tu kwa wengine hautafika.Muda ndiyo utaamua kati ya mimi na wewe nani mjinga, July siyo mbali.
Mungu aliyeumba wazungu wa Ulaya, wachina, wahindi na waafrika ana lengo pana kuliko hizi akili zako za kibaguzi.Huu muungano ni wa hovyo kwa kweli! maana haiwezekani mtu shupavu mla nguna kama mimi ambae nipo uku shinyanga napiga kazi 12 hours, eti niungane na mtu mvivu mla urojo ambae akipata mia ya kahawa anarizika kutwa anashinda kijiweni anacheza bao!
Pesa za mchina? Zina masharti magumu.Pesa huweza kubomoa hata milima. Tulieni kila kitu kipo kwenye mikono salama.