Zanzibar wanatoa wapi pesa za kujenga viwanja vya michezo bila kukopa?

Watanganyika Kama mmeshindwa kulinda mali, na rasilimali zenu, kwa nini wasijibebee bure?

Na bado watakomba kila kitu. Dhahabu hiyo imeenda, bandari tayari ya kwao, wamasai wamefurushwa na wanyama wanabebwa, ardhi wananunua watakavyo.
 
Msigwa na Mwinjuma wamekula sana 10% hasa kwenye ukarabati wa uwanja wa Mkapa kila mwaka tens of billions zinatumika kwenye ukarabati usioisha.
acha porojo na uzushi kwenye mambo ya msingi gentleman
 
Serikali haramu huzaa matendo haramu. Msitegemee Baraka kwenye matendo yenu.
Gentleman,
serikali sikivu ya CCM chini ya Dr.Samia Suluhu Hassan, iko madarakani kwa neema na baraka za Mungu na inawatumikia wanachi wake kwa weledi kwa neema na baraka za Mungu
 
Hapo mkapa shida ni nini, marekebisho huwa hayaishi?
 
Kama kwa umri ulionao unashindwa kutambua hadi sasa kuwa SAMUYA HANA AKILI NANI MUHALIFU MKUBWA SANA NA FAMILIA YAKE YOTE ...BASI WEWE UNA SHIDA YA UANITHI WA AKILI.
Wewe unayejiona una akili kuliko kila mtu hata rais wako ndio huna akili, wahi Milembe kabla hujaanza kutembea uchi.

SSH alizuia mapinduzi haramu ya baadhi ya Gen Z mnaoshikiliwa akili na Mange pamoja na Maria.
 
Tanganyika!
 
acha porojo na uzushi kwenye mambo ya msingi gentleman
2023: Serikali yatangaza tenda ya kukarabati uwanja wa Mkapa kwa bilioni 31, uwanja uliojengwa kwa shilingi bilioni 50.
 
Huu muungano ni wa hovyo kwa kweli! maana haiwezekani mtu shupavu mla nguna kama mimi ambae nipo uku shinyanga napiga kazi 12 hours, eti niungane na mtu mvivu mla urojo ambae akipata mia ya kahawa anarizika kutwa anashinda kijiweni anacheza bao!
Muungano hauna tatizo Bali kichwa chako ndio kina shida ya kukosa akili
 
Zinachotwa Tanganyika zinapelekwa Zanzibar
 
Unavyo himiza kodi sasa kama zinamsaidiaa mtanganyika vile
Wazanzibari wanachota tanganyika end of stories achen ma blaablaa yasiyo na tija
 
Unavyo himiza kodi sasa kama zinamsaidiaa mtanganyika vile
Wazanzibari wanachota tanganyika end of stories achen ma blaablaa yasiyo na tija
tanganyika ndio nini gentleman?
Lipa kodi kwa maendeleo ya Tanzania gentleman
 
Huu muungano ni wa hovyo kwa kweli! maana haiwezekani mtu shupavu mla nguna kama mimi ambae nipo uku shinyanga napiga kazi 12 hours, eti niungane na mtu mvivu mla urojo ambae akipata mia ya kahawa anarizika kutwa anashinda kijiweni anacheza bao!
Kazi ngumu mpe myamwezi, wewe endelea kula chakula cha ng'ombe.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…