Zanzibar: Yaliyojiri kwenye ziara ya Rais Magufuli kisiwani Pemba - Sept 2016: Ampongeza Jecha kusimamia uchaguzi vizuri

Nina shauku kujua wapemba wamepokeaje hotuba ya mkuu.
Naona kama petroli imemwagwa katika moto.
 




Bahati mbaya huwa hasemi aina ya maombi anayohitaji aombewe, labda anaposema aombewe anahitaji maombi ya kumuongoza kufanya sala ya toba.
 
Naukubali sana utendaji wa Rais wangu Magufuli ,
Ila ananiangusha sehemu moja tu napo ni kwenye hotuba zake , kwa jicho la tatu uwa hazivutii kabisaa, hazifanani na kiwango chake cha elimu
 
Raisi wa ccm period
 
Allah ameumba viumbe,kiburiVazi lake la juu(kiburi) pia wanamnyanganya?,kweli M/Mungu ni Mvumilivu wa viumbe wake,mpole sana na mwingi wa subira,.Eti Mwivi anajipa haki kish\ aliedhulumiwa aitwa mwivi,kweli hawa wapungufu wa fadhila na shukurani.Huenda Kimya chetu na subira yetu Mola atatupa badala iliyo bora zaidi tena yenye kukonga nyoyo na nafsi zetu zitatuwama kama maji ya mtungi.
''Ewe muumba mbingu na nchi,Sisi wapemba tunakuomba msamaha wako,na ututetee dhidi ya wale wanaotudhulumu,hakika ya ko wewe ni mtetezi bora ya watetezi wote''😕
 
Hivi International organization ipo siku hizi au? Rais anatoaje hotuba namna hii katika jambo ambalo lilileta tension kubwa kiasi mataifa makubwa ya Ulaya na Marekani kukata misaada yao?
 
Prezdaa jpm...kapiga biti la kufa mtu aisee khaa....huko pemba..???...audio ya hotuba ikiiskiliza utanelewa....
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…