Zanzibar: Yaliyojiri kwenye ziara ya Rais Magufuli kisiwani Pemba - Sept 2016: Ampongeza Jecha kusimamia uchaguzi vizuri

Zanzibar: Yaliyojiri kwenye ziara ya Rais Magufuli kisiwani Pemba - Sept 2016: Ampongeza Jecha kusimamia uchaguzi vizuri

bdd4bb815f666b5742fd048d22f4cd29.jpg
HAPA KAZI TU!,,,,,,,,kwi ! kwi ! kwi ! kwi ! kwi !
 
Nina shauku kujua wapemba wamepokeaje hotuba ya mkuu.
Naona kama petroli imemwagwa katika moto.
 
Magufuli asipoandikiwa hotuba na wenye busara, yuko mbioni kuliingiza taifa hili kwenye machafuko makubwa!

Hivi JECHA ni wa kumsifia?

Cha kushangaza huwa anasema tumuombee? Kweli utathubutu kwenda mbele za MUNGU kwa ajili ya MAGUFULI anayeona JECHA yuko sawa?

Taifa linaangamia!




Bahati mbaya huwa hasemi aina ya maombi anayohitaji aombewe, labda anaposema aombewe anahitaji maombi ya kumuongoza kufanya sala ya toba.
 
Naukubali sana utendaji wa Rais wangu Magufuli ,
Ila ananiangusha sehemu moja tu napo ni kwenye hotuba zake , kwa jicho la tatu uwa hazivutii kabisaa, hazifanani na kiwango chake cha elimu
 
Sheria ya uchaguzi ukishachaguliwa unakuwa kiongozi wa wote waliokupa kura na waliokunyima kura! Mbunge,diwani,na raisi wakishashinda uchaguzi wanakuwa viongozi wa wote bila kujali ulimpa kura au hukumpa.Hapo hata kama pemba nzima hawakumpa kura huyo ndio raisi.Raisi hawezi kuwa Seif WALA lowasa.
Raisi wa ccm period
 
Allah ameumba viumbe,kiburiVazi lake la juu(kiburi) pia wanamnyanganya?,kweli M/Mungu ni Mvumilivu wa viumbe wake,mpole sana na mwingi wa subira,.Eti Mwivi anajipa haki kish\ aliedhulumiwa aitwa mwivi,kweli hawa wapungufu wa fadhila na shukurani.Huenda Kimya chetu na subira yetu Mola atatupa badala iliyo bora zaidi tena yenye kukonga nyoyo na nafsi zetu zitatuwama kama maji ya mtungi.
''Ewe muumba mbingu na nchi,Sisi wapemba tunakuomba msamaha wako,na ututetee dhidi ya wale wanaotudhulumu,hakika ya ko wewe ni mtetezi bora ya watetezi wote''😕
 
Hivi International organization ipo siku hizi au? Rais anatoaje hotuba namna hii katika jambo ambalo lilileta tension kubwa kiasi mataifa makubwa ya Ulaya na Marekani kukata misaada yao?
 
Prezdaa jpm...kapiga biti la kufa mtu aisee khaa....huko pemba..???...audio ya hotuba ikiiskiliza utanelewa....
 
Back
Top Bottom