Zanzibar: Yaliyojiri kwenye ziara ya Rais Magufuli kisiwani Pemba - Sept 2016: Ampongeza Jecha kusimamia uchaguzi vizuri

"Kwa maana kila aombae hupewa"......kuna wakati watu walitamani kuwa na kiongozi wa namna hiyo........kama ilivyo kwa wenye imani.... Mungu hamtupi mja wake.
 
Acha unafiki wewe mna kitetea chama wakiti mna chumia TUMBO [emoji12] [emoji12] [emoji12] [emoji12] [emoji12] [emoji12] [emoji12] [emoji12] [emoji12] [emoji12]
 
Alikuwa anatania tu kama utani mwingine.
1. Aliwatania watu wa kigamboni wapige mbizi kama hawawezi kulipa nauli ya 200. Kwani walipiga mbizi?
2. Aliwatania watanzania kwa kuwaagiza kufyatua watoto maana sasa elimu ni bure hadi kidato cha nne, kwani wanafyatua?
3.
4.
Wasukuma wana utani mwingi mkuu.
 
Mimi kauli ile imeniogopesha totally from ma heart kuwa concerned after five minutes?
 
"Watu wangu wanaangamia kwa kukosa maarifa"
 
HUJAELEZA KWA KINA KWA NINI KAULI HIYO NI HATARI,ZAIDI YA KUTOA MAONI YAKO NA KUWAHUSISHA KINA LOWASSA ,KINGUNGE NA SUMAYE,NJOO ANDIKA UPYA UELEZE KWA UELEWA WAKO UNAHISI KWA NINI KAULI HIYO NI HATARI ?SIO MARA SHERIA YA MTANDAO ,MARA CCM,MARA SIJUI NINI HUKO..!!!
 

Nitakuuliza kwa ufupi tu...wewe ulitaka Rais aseme nini kwa wale wanaochochea vurugu, wasaliti na wahaini???
 
Mpaka leo hamjamzoea tu Magu Na character yake? Mtalalamika sana na Hanna kitu kitabadilika..
 



!
!
Zipo nchi za kubarikiwa bwana acha masihara. Hebu tukaushe tu tusije kuwa wachochezi
 
Dkt Shein kashikilia mustakbali wa Wafanya fujo! Akituma sms bara kwa Mzee basi haitishukua walau Dakika 6 kabla ya kutumbuliw
 
Nitakuuliza kwa ufupi tu...wewe ulitaka Rais aseme nini kwa wale wanaochochea vurugu, wasaliti na wahaini???
Busara inashawishi anatakiwa kuonesha yeye yupo tofauti na hao unaowaita "wachochezi!" Sasa ikiwa hata asiye na jeshi la mgambo anasema "utaona" na wewe mwenye miliki ya majeshi yote unasema "utaona"... huyu wa pili kwangu ni mtu hatari kabisa kwa usalama wa nchi kuliko huyo mwingine! Btw, sheria ya uhaini ipo wazi! Ikiwa unaamini huko Pemba na Zanzibar kwa ujumla ni kwanini basi hao "Wahaini: wasiwekwe ndani tena na sheria inaruhusu kuweka ndani wahini bila kufunguliwa mashitaka! Kwanini wasiwekwe ndani na badala yake unasema all he needs is ONLY 5 Minutes... Amiri Jeshi Mkuu unatoa kauli kama hizo??!!!
 
KAMA CHAMA CHA FAMILIA! HIVI NI NANI ALIYE WAROGA HAWA MAJAMII?
 
Nini hapo hakijaeleweka?! Haijaeleweka au wewe ndo huelewi??!!
 
Maulana zidi kumbariki rais wetu milele. ..
 
Umeandika vzr nimekuelewa sana ila iki kibiriti cha gesi mkuu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…