Zanzibar yatangaza maambukizi mawili huku wote wakitokea Tanga na kuingia Zanzibar

Zanzibar yatangaza maambukizi mawili huku wote wakitokea Tanga na kuingia Zanzibar

Return Of Undertaker

JF-Expert Member
Joined
Jun 12, 2012
Posts
4,572
Reaction score
26,896
IDADI YA WAGONJWA WA COVID19 WAONGEZEKA Z’BAR

Wizara ya Afya Zanzibar imetangaza wagonjwa wapya wawili wa maambukizi ya virusi vya #Corona na hivyo kufanya idadi ya waliopata maambukizi hayo kufikia saba.

Wagonjwa hao wapya wote ni Watanzania, wanaume wenye miaka 33 na 27 na waliingia Zanzibar wakitokea Tanga.

CoronaUpdateZnz.jpg

IMG-20200405-WA0038.jpg

IMG-20200405-WA0039.jpg
 
SMZ leo wamethibitisha wagonjwa wapya wawili wa Corona ndani ya Zanzibar.Ajabu ni kuwa wagonjwa hao wametokea Tanga, Tanzania bara!

Sasa Zanzibar ina jumla ya wagonjwa 7!

Source Mwananchi online!
 
Tunafanya jumla ya maambukizi ya corona nchi nzima kuwa ngapi?

Kwa kuwa Mimi nilipata F katika simo la Hesabu
Mkuu hata repeating decimal uliikosa pale O-level ya kukupa walau D ya namba??
 
SMZ leo wamethibitisha wagonjwa wapya wawili wa Corona ndani ya Zanzibar.Ajabu ni kuwa wagonjwa hao wametokea Tanga, Tanzania bara!

Sasa Zanzibar ina jumla ya wagonjwa 7!

Source Mwananchi online!
Hao majamaa yameupatia wapi sasa maana hatuna case kutokea Tanga unless walitokea Kenya wakapitia Mombasa ndo kisha Tanga.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kwahiyo sasa tuanze kuwaamini wanaosema takwimu zinazotolewa na wizara ya Afya sio za kweli, kwasababu hao wagonjwa wawili wakiwa Tanga hawakutambulika.

Na hii maana yake nini Makonda anavyotuambia tukafanye kazi, alikuwa anayajua haya, au aliongea tu kama kawaida yake?!

Sasa ndio ajifunze, aache kukusanya watu hovyo kwenye vituo vya daladala, atasababisha maambukizi yaongezeke, bora na yeye ajifungie ndani kwa usalama wake, aache ujuaji.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
SMZ leo wamethibitisha wagonjwa wapya wawili wa Corona ndani ya Zanzibar.Ajabu ni kuwa wagonjwa hao wametokea Tanga, Tanzania bara!

Sasa Zanzibar ina jumla ya wagonjwa 7!

Source Mwananchi online!
Mkuu hawa watu wametoka zaidi ya juma (week) moja huko Tanga.
Hizo ni siku nyingi sana, kuna uwezekano wamepatia huko huko Zanzibar.
 
kuanzia tarehe 13 na 18 walikuepo zanzibar so kunauwezekano pia maambukizi wameyapata wakiwa zanzibar. afu ni aibu kwa waziri mzima kusign barua hajaisoma vizuri angeisoma vizuri angeomba wabadili kwanza tarehe leo ni tarehe 5 april na sio tarehe 5 march ndo uone jinis wakiwa wanasign mikataba wanavosign tu bila kusoma contents
 
Hawakurudi Tanga?
 
SMZ leo wamethibitisha wagonjwa wapya wawili wa Corona ndani ya Zanzibar.Ajabu ni kuwa wagonjwa hao wametokea Tanga, Tanzania bara!

Sasa Zanzibar ina jumla ya wagonjwa 7!

Source Mwananchi online!
mkuu ukisoma barua inaonesha wako znz kuanzia mwezi wa 3 tareh 13 na 18 vipi kama maambukizi wameyapatia huko na sio Tanga?
 
mkuu ukisoma barua inaonesha wako znz kuanzia mwezi wa 3 tareh 13 na 18 vipi kama maambukizi wameyapatia huko na sio Tanga?
Tarehe 13 na 18 unamaanisha nini?
 
Back
Top Bottom