Zanzibar yatangaza maambukizi mawili huku wote wakitokea Tanga na kuingia Zanzibar

Zanzibar yatangaza maambukizi mawili huku wote wakitokea Tanga na kuingia Zanzibar

Ni wazi kuna wagonjwe wengi tu humu mitaani ila hawatambuliki na wanapona au kufa bila kujulikana wameugua korona.
Ukimwi uko nchini miaka karibu 40, nani amesikia au kuona mtu aliyekufa kwa ugonjwa huo? Wote wanakufa kwa saratani au malaria ingawa miaka yote tunaambiwa toka juu tutumie condom, ukimwi unaua. Taatifa toka juu kuhusu hili gonjwa in wadonjwa 20 wamegundulika Tanzania nzima, amekufa mmoja, wamepona wawili na waliobaki wanaendelea vizuri. Hao wawili Zanzibar tokea Tanga wanajua wao na Waziri wao.
 
Hiyo barua mbona ina makosa ya neno "Mripuko" badala ya Mlipuko na "Machi " badala ya April
Au watu hawana umakini tena kwenye uandishi kisa ni Korona??
 
Mmmh asee uko azam marine trace inakuaje?

Hata mimi najiuliza maswali mengi kuhusu hilo, kuna ulazima wa kusitisha safari za Azam marine na Majaazi yanayo yia nanga kwenye bandari bubu.

Tukisema ku-karantini abiria wote wanao ingia bara kutoka Zanzibar itatugharimu sana - mwezi uliopita nilipo sikia kwamba idadi ya abiria wanao ingia kila siku huko Pemba wakitokea Tanga na Mombasa nilishtuka sana tukiwekea maanani kwamba huko Mombasa ugonjwa huu umekwisha ingia - Tanga na Mombasa zipo karibu sana anything can happen, tuongeze ulizi katika sehemu hizo, balozi wa nyumba kumi na guest houses zili-report wageni wote wanao ingia mji wa Tanga.
 
IDADI YA WAGONJWA WA COVID19 WAONGEZEKA Z’BAR

Wizara ya Afya Zanzibar imetangaza wagonjwa wapya wawili wa maambukizi ya virusi vya #Corona na hivyo kufanya idadi ya waliopata maambukizi hayo kufikia saba.

Wagonjwa hao wapya wote ni Watanzania, wanaume wenye miaka 33 na 27 na waliingia Zanzibar wakitokea Tanga.

View attachment 1409432
View attachment 1409430
View attachment 1409431
TULIOSEMA KUNA WAGONJWA WENGI KULIKO HAO WANAOTAJWA TULIBEZWA! UKWELI UNAENDELEA KUFAHAMIKA TARATIBU....HATUFURAHI KUUGUA WATU WENGI LAKINI TUNATAKA UKWELI. WANANCHI WANATAKIWA WAPIMWE ILI UGONJWA UDHIBITIWE. HALI NI MBAYA KWANINI SERIKALI MNAFICHA?
 
kuna tatizo mahali.

COVID-19 detection rate hapa Tanganyika ni ndogo sana ukilinganisha na nchi zinazoizunguka in demographically relative terms.

Tanganyika ndiyo the most populated kulinganisha na majirani zake, yet detection rate ipo very low. this beats logic in its entirety kwani Tanganyika haijaweka mikakati yoyote iliyo imara kuliko majirani zake katika kupunguza maambukizi.

hii ina maana moja tu... kuwa Tanganyika kuna usiri mkubwa sana kuhusu janga hili, which's going to be a costly gamble in the long run.

kimahesabu, kwa kigezo cha detection rate ya Zanzibar yenye population ya wakaazi 700,000, kadirio sahihi la Corona cases huku Tanganyika ni wagonjwa zaidi ya 500.

kuna tatizo mahali. Watanganyika siyo wajinga!
Je mtaani kwako au kijiweni unakoshindaga, au ofisini unakoshindaga au kuna waginjwa wangapi wa corona?

Au majirani zako wanakushuhudia wameona wagonjwa wqngapi wenye dalili za corona na hawajaripotiwa?

Msiwe kama kigogo kule twiter amekazana kuwajaza ujinga watu eti tuna rundo la wagonjwa ila selikali inaficha, akiambiwa aweke hata picha anafura, lakini picha za umbea mwingine anaweka.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Je mtaani kwako au kijiweni unakoshindaga, au ofisini unakoshindaga au kuna waginjwa wangapi wa corona?

Au majirani zako wanakushuhudia wameona wagonjwa wqngapi wenye dalili za corona na hawajaripotiwa?

Msiwe kama kigogo kule twiter amekazana kuwajaza ujinga watu eti tuna rundo la wagonjwa ila selikali inaficha, akiambiwa aweke hata picha anafura, lakini picha za umbea mwingine anaweka.

Sent using Jamii Forums mobile app
kuona kwa macho ndiyo kipimo cha korona?
 
Hao watu wnaatoa povu sababu wanajua watu wakikaaa home mapato yanapungua watakosa za kutekea watu
Kwahiyo sasa tuanze kuwaamini wanaosema takwimu zinazotolewa na wizara ya Afya sio za kweli, kwasababu hao wagonjwa wawili wakiwa Tanga hawakutambulika.

Na hii maana yake nini Makonda anavyotuambia tukafanye kazi, alikuwa anayajua haya, au aliongea tu kama kawaida yake?!

Sasa ndio ajifunze, aache kukusanya watu hovyo kwenye vituo vya daladala, atasababisha maambukizi yaongezeke, bora na yeye ajifungie ndani kwa usalama wake, aache ujuaji.

Sent using Jamii Forums mobile app

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Unadhani kwanini hadi watu wanawaza namna hiyo
kama ni tarehe 13 na tarehe 18 hapa kuna watu wana makonda disease, yaani kwa hizo tarehe watu wanamuota makonda. Huyu wa tarehe 13 ameishi Zanzibar kwa Siku 18 na huyu wa tarehe 18 ameishi Zanzibar kwa siku 13 na ugonjwa inadaiwa unaoneka ndani Siku 14. Hapa habari ya kumlaumu Makonda inatokea wapi? Inaonekana kuna watu wanatamani kusikia kila siku wagonjwa wanaonekana kwa mamia, Ea Mungu tusaidie.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hawa wagonjwa wapya kule Zanzibar wanaitwa " imported" maana wametokea bara, sasa kwenye taarifa za JMT sijajua wataitwaje maana Tanga walikwenda kwa mapumziko lakini makazi yao ni Zanzibar.

Kwamba virusi walitoka navyo Zanzibar au wamevipatia Tanga ndio swali langu la msingi.

Maendeleo hayana vyama!
maambukizi wamekutwa nayo wakiwa Zenj sasa mkuu si utumie akili yako tu ati! ni rahisi kujua walikoyapata!!
 
Back
Top Bottom