imhotep
JF-Expert Member
- Oct 13, 2012
- 61,235
- 98,463
๐๐๐๐๐๐๐makonda disease
๐๐๐๐๐๐๐makonda disease
Kwa hiyo hawa techniclly ni walikuwapo zenji wakaja tanga tena wanarudi zenji. Walipatia wapi sasa?IDADI YA WAGONJWA WA COVID19 WAONGEZEKA ZโBAR
Wizara ya Afya Zanzibar imetangaza wagonjwa wapya wawili wa maambukizi ya virusi vya #Corona na hivyo kufanya idadi ya waliopata maambukizi hayo kufikia saba.
Wagonjwa hao wapya wote ni Watanzania, wanaume wenye miaka 33 na 27 na waliingia Zanzibar wakitokea Tanga.
View attachment 1409432
View attachment 1409430
View attachment 1409431
kama ni tarehe 13 na tarehe 18 hapa kuna watu wana makonda disease, yaani kwa hizo tarehe watu wanamuota makonda. Huyu wa tarehe 13 ameishi Zanzibar kwa Siku 18 na huyu wa tarehe 18 ameishi Zanzibar kwa siku 13 na ugonjwa inadaiwa unaoneka ndani Siku 14. Hapa habari ya kumlaumu Makonda inatokea wapi? Inaonekana kuna watu wanatamani kusikia kila siku wagonjwa wanaonekana kwa mamia, Ea Mungu tusaidie.
Sio kampeni. Misongamano bado iko pale pale.. na viongozi wetu wamekaa kimya. Sasa siku watu qakianza kupungua.. ndipo hakili zitawakaa sawaHalafu Wakuu wa mikoa ya Dar na Arusha wanazidi kuamvukiza watu kwa kushawishi misongamano kwenye kampeni zisizo rasmi
Muulize mtaani kwenu kuna wagonjwa wangapi wa korona.
kuna tatizo mahali.IDADI YA WAGONJWA WA COVID19 WAONGEZEKA ZโBAR
Wizara ya Afya Zanzibar imetangaza wagonjwa wapya wawili wa maambukizi ya virusi vya #Corona na hivyo kufanya idadi ya waliopata maambukizi hayo kufikia saba.
Wagonjwa hao wapya wote ni Watanzania, wanaume wenye miaka 33 na 27 na waliingia Zanzibar wakitokea Tanga.
View attachment 1409432
View attachment 1409430
View attachment 1409431
Huenda wengi wanasingizia kurogwaNi wazi kuna wagonjwe wengi tu humu mitaani ila hawatambuliki na wanapona au kufa bila kujulikana wameugua korona.
UGONJWA HUU UNAENEA KWA NJIA NYINGI SANAHawa wagonjwa wapya kule Zanzibar wanaitwa " imported" maana wametokea bara, sasa kwenye taarifa za JMT sijajua wataitwaje maana Tanga walikwenda kwa mapumziko lakini makazi yao ni Zanzibar.
Kwamba virusi walitoka navyo Zanzibar au wamevipatia Tanga ndio swali langu la msingi.
Maendeleo hayana vyama!
Wanapima vyote kwa nyakati tofautiHicho kinachopimwa na team ya Ummi Mwalimu.
Umeuliza vizuri, but nao wanasema sio kila homa ni Corona, sasa hapo napo alaumiwe nani, anaepunguza pressure ya mgonjwa, au mgonjwa asieenda hospitali baada ya kuambiwa homa yake inaweza isiwe Corona?!Wasipotambulika watawekwaje kwenye idadi ya wagonjwa, na Kwa nini wenye Dalili za maambukizi hawataki kujitokeza, huu nao ni uuwaji tu, mtu unajua unazo Dalili zote bado unajifungia, mbona tunaipa kazi nzito Serikali?
Halafu si wanasemaga mwenye mamlaka ya kutangaza hayo mavitu ni waziri wa afya waziri mkuu ama raisi sasa huyo mwananchi ndio naniHao majamaa yameupatia wapi sasa maana hatuna case kutokea Tanga unless walitokea Kenya wakapitia Mombasa ndo kisha Tanga.
Sent using Jamii Forums mobile app
Kwa Zanzibar ni waziri wao na ndo katangazahalafu si wanasemaga mwenye mamlaka ya kutangaza hayo mavitu ni waziri wa afya waziri mkuu ama raisi sasa huyo mwananchi ndio nani
Sent using Jamii Forums mobile app
Inawezekana sio hesabu tuTunafanya jumla ya maambukizi ya corona nchi nzima kuwa ngapi?
Kwa kuwa Mimi nilipata F katika simo la Hesabu