Brodre
JF-Expert Member
- Aug 23, 2012
- 2,587
- 1,858
soma iyo press release utajua namaanisha Nini ona tarehe ngapi wa kwanza kaingoa znz na wa pili tarehe ngapi kaingia zanzibarTarehe 13 na 18 unamaanisha nini?
soma iyo press release utajua namaanisha Nini ona tarehe ngapi wa kwanza kaingoa znz na wa pili tarehe ngapi kaingia zanzibarTarehe 13 na 18 unamaanisha nini?
ni vizuri kutoa taarifa mapema sema kama waziri kusign press release bila kuisoma na kugundua makosa kwenye tarehe inatia shakaHuyu waziri Hamad Rashid yuko fasta kwenye kutoa taarifa!
Kwanini wote wakutwe nao wakiwa wametokea Tanga? Hakuna raia wa Dar wanaoenda Zanzibar? Unajua kiwango cha maambukizi Mombasa? Kwanini mpaka kati ya Tanga na Mombasa uko wazi?soma iyo press release utajua namaanisha Nini ona tarehe ngapi wa kwanza kaingoa znz na wa pili tarehe ngapi kaingia zanzibar
Tusi!Emb toa tusi kwa niaba yangu maana hata mimi nimekasirika kama wewe!
Huku tunachapa kaziHalafu Tanganyika wao wanajifanya hawana wagonjwa !!. Ukiwa na serikali ya ki soshalist ni sheeda
Odhis *
Bado mnatishana tu. leo wangapi wamerudisha viwanja sababu ya malaria?IDADI YA WAGONJWA WA COVID19 WAONGEZEKA Z’BAR
Wizara ya Afya Zanzibar imetangaza wagonjwa wapya wawili wa maambukizi ya virusi vya #Corona na hivyo kufanya idadi ya waliopata maambukizi hayo kufikia saba.
Wagonjwa hao wapya wote ni Watanzania, wanaume wenye miaka 33 na 27 na waliingia Zanzibar wakitokea Tanga.
View attachment 1409432
View attachment 1409430
View attachment 1409431
imekaa kisiasa zaidi huwezi elewaKwanini wote wakutwe nao wakiwa wametokea Tanga? Hakuna raia wa Dar wanaoenda Zanzibar? Unajua kiwango cha maambukizi Mombasa? Kwanini mpaka kati ya Tanga na Mombasa uko wazi?
Acha kujipa matumaini hewa mkuu. Waziri wenu anapita pita tuu hayupo serious hata kidogo.imekaa kisiasa zaidi huwezi elewa
ndo maana nasema huwezi elewa imekaa kisiasa zaidi.Acha kujipa matumaini hewa mkuu. Waziri wenu anapita pita tuu hayupo serious hata kidogo.
Huko Tanga walikotoka wameambukiza watu wangapi? Naona tunacheza na moto aiseee...SMZ leo wamethibitisha wagonjwa wapya wawili wa Corona ndani ya Zanzibar.Ajabu ni kuwa wagonjwa hao wametokea Tanga, Tanzania bara!
Sasa Zanzibar ina jumla ya wagonjwa 7!
Source Mwananchi online!
Kwahiyo sasa tuanze kuwaamini wanaosema takwimu zinazotolewa na wizara ya Afya sio za kweli, kwasababu hao wagonjwa wawili wakiwa Tanga hawakutambulika.
Na hii maana yake nini Makonda anavyotuambia tukafanye kazi, alikuwa anayajua haya, au aliongea tu kama kawaida yake?!
Sasa ndio ajifunze, aache kukusanya watu hovyo kwenye vituo vya daladala, atasababisha maambukizi yaongezeke, bora na yeye ajifungie ndani kwa usalama wake, aache ujuaji.
Sent using Jamii Forums mobile app
mkuu ukisoma barua inaonesha wako znz kuanzia mwezi wa 3 tareh 13 na 18 vipi kama maambukizi wameyapatia huko na sio Tanga?
Sasa ukifungwa watalii watapitia wapi?Kwanini wote wakutwe nao wakiwa wametokea Tanga? Hakuna raia wa Dar wanaoenda Zanzibar? Unajua kiwango cha maambukizi Mombasa? Kwanini mpaka kati ya Tanga na Mombasa uko wazi?
inawezekana pia mkuuNa vipi kama wameyapatia Tanga?
Kazi ipo!Kuna mambo yanaendelea kwenye hili taifa. Usipokuwa macho unawezaa kufa huku unajiona