Escrowseal1
JF-Expert Member
- Dec 17, 2014
- 4,800
- 4,859
Bongo ukijitia kimbelembele kitanda za utatumbuliwaHuyu waziri Hamad Rashid yuko fasta kwenye kutoa taarifa!
Bongo ukijitia kimbelembele kitanda za utatumbuliwaHuyu waziri Hamad Rashid yuko fasta kwenye kutoa taarifa!
Zanzibar siyo Tanzania.hatuwatambuiHalafu Tanganyika wao wanajifanya hawana wagonjwa !!. Ukiwa na serikali ya ki soshalist ni sheeda
Odhis *
Wee kenge vipimo hawajafanyiwa ila wapo wenye dalili za CoronaMuulize mtaani kwenu kuna wagonjwa wangapi wa korona.
Ukimwi uko nchini miaka karibu 40, nani amesikia au kuona mtu aliyekufa kwa ugonjwa huo? Wote wanakufa kwa saratani au malaria ingawa miaka yote tunaambiwa toka juu tutumie condom, ukimwi unaua. Taatifa toka juu kuhusu hili gonjwa in wadonjwa 20 wamegundulika Tanzania nzima, amekufa mmoja, wamepona wawili na waliobaki wanaendelea vizuri. Hao wawili Zanzibar tokea Tanga wanajua wao na Waziri wao.Ni wazi kuna wagonjwe wengi tu humu mitaani ila hawatambuliki na wanapona au kufa bila kujulikana wameugua korona.
Mmmh asee uko azam marine trace inakuaje?
TULIOSEMA KUNA WAGONJWA WENGI KULIKO HAO WANAOTAJWA TULIBEZWA! UKWELI UNAENDELEA KUFAHAMIKA TARATIBU....HATUFURAHI KUUGUA WATU WENGI LAKINI TUNATAKA UKWELI. WANANCHI WANATAKIWA WAPIMWE ILI UGONJWA UDHIBITIWE. HALI NI MBAYA KWANINI SERIKALI MNAFICHA?IDADI YA WAGONJWA WA COVID19 WAONGEZEKA Z’BAR
Wizara ya Afya Zanzibar imetangaza wagonjwa wapya wawili wa maambukizi ya virusi vya #Corona na hivyo kufanya idadi ya waliopata maambukizi hayo kufikia saba.
Wagonjwa hao wapya wote ni Watanzania, wanaume wenye miaka 33 na 27 na waliingia Zanzibar wakitokea Tanga.
View attachment 1409432
View attachment 1409430
View attachment 1409431
Je mtaani kwako au kijiweni unakoshindaga, au ofisini unakoshindaga au kuna waginjwa wangapi wa corona?kuna tatizo mahali.
COVID-19 detection rate hapa Tanganyika ni ndogo sana ukilinganisha na nchi zinazoizunguka in demographically relative terms.
Tanganyika ndiyo the most populated kulinganisha na majirani zake, yet detection rate ipo very low. this beats logic in its entirety kwani Tanganyika haijaweka mikakati yoyote iliyo imara kuliko majirani zake katika kupunguza maambukizi.
hii ina maana moja tu... kuwa Tanganyika kuna usiri mkubwa sana kuhusu janga hili, which's going to be a costly gamble in the long run.
kimahesabu, kwa kigezo cha detection rate ya Zanzibar yenye population ya wakaazi 700,000, kadirio sahihi la Corona cases huku Tanganyika ni wagonjwa zaidi ya 500.
kuna tatizo mahali. Watanganyika siyo wajinga!
Kingine Tanga na Mombasa si mbali!Wanataka kusema Bara ndo Mkorona umejaa?
Mlikuwa kwa kivuko na hao abiria ni mda wa kujitenga sasa.
Sent using Jamii Forums mobile app
Kukimbilia Chato ndio kuidhibiti colonaKuna thread kazaa humu zinamsifu Jiwe kuwa kaidhibiti Corona
kuona kwa macho ndiyo kipimo cha korona?Je mtaani kwako au kijiweni unakoshindaga, au ofisini unakoshindaga au kuna waginjwa wangapi wa corona?
Au majirani zako wanakushuhudia wameona wagonjwa wqngapi wenye dalili za corona na hawajaripotiwa?
Msiwe kama kigogo kule twiter amekazana kuwajaza ujinga watu eti tuna rundo la wagonjwa ila selikali inaficha, akiambiwa aweke hata picha anafura, lakini picha za umbea mwingine anaweka.
Sent using Jamii Forums mobile app
Wew mjinga nani kakupa mamlaka ya kuitenganisha Tanzania kwa manenoHalafu Tanganyika wao wanajifanya hawana wagonjwa !!. Ukiwa na serikali ya ki soshalist ni sheeda
Odhis *
Kwahiyo sasa tuanze kuwaamini wanaosema takwimu zinazotolewa na wizara ya Afya sio za kweli, kwasababu hao wagonjwa wawili wakiwa Tanga hawakutambulika.
Na hii maana yake nini Makonda anavyotuambia tukafanye kazi, alikuwa anayajua haya, au aliongea tu kama kawaida yake?!
Sasa ndio ajifunze, aache kukusanya watu hovyo kwenye vituo vya daladala, atasababisha maambukizi yaongezeke, bora na yeye ajifungie ndani kwa usalama wake, aache ujuaji.
Sent using Jamii Forums mobile app
Huyu waziri Hamad Rashid yuko fasta kwenye kutoa taarifa!
wametokea tanga ila walikuapo zanzibar Tanga sijasikia visa ila visa nimesikia zanzibar so kunauwezekano mkubwa ugonjwa wameupatia zanzibar
ndo maana nasema huwezi elewa imekaa kisiasa zaidi.
kama ni tarehe 13 na tarehe 18 hapa kuna watu wana makonda disease, yaani kwa hizo tarehe watu wanamuota makonda. Huyu wa tarehe 13 ameishi Zanzibar kwa Siku 18 na huyu wa tarehe 18 ameishi Zanzibar kwa siku 13 na ugonjwa inadaiwa unaoneka ndani Siku 14. Hapa habari ya kumlaumu Makonda inatokea wapi? Inaonekana kuna watu wanatamani kusikia kila siku wagonjwa wanaonekana kwa mamia, Ea Mungu tusaidie.
maambukizi wamekutwa nayo wakiwa Zenj sasa mkuu si utumie akili yako tu ati! ni rahisi kujua walikoyapata!!Hawa wagonjwa wapya kule Zanzibar wanaitwa " imported" maana wametokea bara, sasa kwenye taarifa za JMT sijajua wataitwaje maana Tanga walikwenda kwa mapumziko lakini makazi yao ni Zanzibar.
Kwamba virusi walitoka navyo Zanzibar au wamevipatia Tanga ndio swali langu la msingi.
Maendeleo hayana vyama!
Sijui hata unaongea niniKuna upimaji uliwahi kufanyika znz ukaonesha mkoa hauna maambukizi?
Sent using Jamii Forums mobile app