Zanzibar yaweka marufuku ya kuuza vyakula wakati wa Ramadhan

Hujakatazwa kula kwako kama mwenye biashara yake kafunga apate utulivu na mola wake sasa wewe kinakusumbuan nii.
Na pia kuna waislamu ambao wanaruhusiwa kutokufunga (kisheria) kama wasafiri, wagonjwa, watoto, wazee, wanawake waliopo kwenye ada zao, na wajawazito au wanaonyonyesha n.k

Hawa nao wanaingia kwenye hili katazo.

Lakini watu baada ya kuona katazo tu basi moja kwa moja wanaona limewalenga wasiokuwa waislamu.

Na vipi muislamu ambaye anaacha biashara yake ya chakula kupisha mwezi mtukufu, huyu naye hataki kipiga pesa ili awakomoe wasiokuwa waislamu?

Hii dini ya haki haimkandamizi yeyote.
 
Hii sio sawa katika taifa lisilo la kidini
Zanzibar waliowengi si ni waislamu shida ipo wapi?

Na pia kuna waislamu ambao wanaruhusiwa kutokufunga (kisheria) kama wasafiri, wagonjwa, watoto, wazee, wanawake waliopo kwenye ada zao, na wajawazito au wanaonyonyesha n.k

Hawa nao wanaingia kwenye hili katazo.

Lakini watu baada ya kuona katazo tu basi moja kwa moja wanaona limewalenga wasiokuwa waislamu.

Na vipi muislamu ambaye anaacha biashara yake ya chakula kupisha mwezi mtukufu, huyu naye hataki kipiga pesa ili awakomoe wasiokuwa waislamu?

Hii dini ya haki haimkandamizi yeyote.
 
Wanasema wana uchumi wa buluu..na kuuza karafuu.

Vijamaa vina mental illness.

#MaendeleoHayanaChama
 
Hawa watu wana matatzo sana Dunia ipo salama ikiongozwa na mzungu ingeongozwa na waarabu tungekoma

Waarabu/waisilamu wangeongoza mabara yote,dunia ingelikua sehemu salama. Mfano mzuri ni hapa kwetu, waisilamu wakituongoza amani inakuwepo wala hutasikia watu wakiuawa na watu wasiojulikana, na hata wakristo wengi tu wanawakubali waislamu.

Namuomba Allaah ajaalie waisilamu waendelee kuliongoza taifa letu.
 
Sudan , Yemen, Somalia na Iraq wanaongozwa na wakristo?

Je, kuna amani ?
 
SI MNAONA HAWA MAAMUMA WASIVYOKUWA NA AKILI?? WANAJIONA WANA HAKI HAWA WAKATI NDO WANAONGOZA KWA KUWAHARIBU VIJANA WADOGO WANAOSOMA MADRASA

NARUDIA TENA BORA MZUNGU AENDELEE KUITAWALA DUNIA HAWA WASHENZI WA KIARABU NA WALE WANAOFUATA MAFUNDISHO YA KIARABU WANA ROHO MBAYA SANA HAWA.
 
Unaona sasa.

Sehemu ambapo mpo wengi hamtaki kuheshimu haki za wachache ila sehemu ambapo wapo wachache (minority) wanataka haki zao ziheshimiwe !
 
Mwarabu sehemu yeyote aliyokaa na kutawala Africa Kuna vita, njaa na ujinga mkubwa saana.

Mwarabu Hana akili tu Kama mwafrica.

Mwarabu simkubali saana.

Waarabu/waislamu wamestaarabika, ukikutananao na mavazi yao/kanzu maashallah utajiona wewe ni wa kawaida sana na misuti yenu, wazungu na mayahudi wakasome.


Waarabu tunawapenda
 

Mpaka hapo umeshaonyesha wewe ni mtu wa aina gani, mke na watoto wako nawahurumia sana. Pole kwa maumivu makali ewe mgalatia
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…