Zanzibar yaweka marufuku ya kuuza vyakula wakati wa Ramadhan

Zanzibar yaweka marufuku ya kuuza vyakula wakati wa Ramadhan

Si tulikubaliana sisi ni nchi moja na kila mtanzani a ana haki ya kuishi popote ndani ya hii nchi iwe bara hata visiwani chamsingi asivunje sheria za nchi.?

Au ninyi huko visiwani sio Tanzania?
Sisi tunawafahamu nyinyi NI wakoloni weusi na kunasiku mtangoka tuu mapambano yanaendelea
 
Hiyo marufuku ni kwa niggers tu lkn 5 Star Hotels wanauza siyo tu chakula hata drugs na Ukahaba rukhsa!
Utakuwa hujaelewa hicho Kiingereza kilichoandikwa kwenye huyo barua! Zilizozuiliwa ni migahawa ya mitaani kwenye public lakini mahotel yameruhusiwa lakini huduma ziishie kwenye maeneo ya hotel hizo! Kwa hiyo hata mweusi kama uko kwenye hotel unapiga menu kama kawaida!
 
Dini inayosimamiwa na serikali inatia shaka, imani inatakiwa iwe hiari ya mtu kwani hata Mungu halazimishagi!
Serikali isiposimamia ndio mtashika adabu zenu mna haki ya kulindwa vyenginevyo msingekula hata humo ndani
 
Hivi kwanini Wazanzibari wasikamatwe na kufungwa? Hawa watu kwa kweli wana matatizo ya kiakili, yaani mtu unalazimishwa kufunga, ni wapi Mungu kakataza watu wasile mchana?
 
Mwarabu sehemu yeyote aliyokaa na kutawala Africa Kuna vita, njaa na ujinga mkubwa saana.

Mwarabu Hana akili tu Kama mwafrica.

Mwarabu simkubali saana.
Mi nafahamu sehemu nyingi alizotawala mzungu ndiyo kuna vita, njaa na ujinga mkubwa.
 
Mlisha ambiwa Hiyo ni nchi kando Tena na imani Yao inajulikana mnataka kutafuta sababu
 
Sisi tunawafahamu nyinyi NI wakoloni weusi na kunasiku mtangoka tuu mapambano yanaendelea
Wewe nilishakwambia..utakufa zenji bado ni koloni la Tanganyika..

Ukinuna haya..usinune haya..mana viongozi wenu wanafaidika zaidi ma wako radhi wanawazimisha kama taa mtakao leta chokochoko.

#MaendeleoHayanaChama
 
Huwa wanabadili ratiba ya mlo kutoka mchana kwenda usiku..

Mana jua likizama tu wanakula usiku kucha kama viwavijeshi.

#MaendeleoHayanaChama
So hapo unasema ni kama matendo yaliyokua yafanyike mchana yanafanywa usiku..........

Anyway nimekuelewa......
 
Mzee ukienda hospital huulizwagi Dini yako kwenye kadi?
Halafu Google Ni mtandao wa makafiri
Na Jamii forum je,

Naona udini unakutoa akili, acha huo ujinga na ubaguzi wa kuita wengine majina ya ajabu.
 
Huo ni udhaifu wa kiimani. Waache watu waishinde tamaa ya kula na sio kulazimishwa kuishinda
 
Back
Top Bottom