Nyani Ngabu
Platinum Member
- May 15, 2006
- 94,296
- 122,540
Kwangu mimi Shigongo hana credibility hata chembe.
Ni magazeti yanayosomwa na kuaminiwa na wajinga.
Kwangu mimi Shigongo hana credibility hata chembe.
Ni magazeti yanayosomwa na kuaminiwa na wajinga.
Hata huyo mumewe wa zamani naye hana credibility yoyote ile kwa sababu inavyoonekana ni anaumia sana akiona mkewe wa zamani akipigwa jengelele na Diamond.
Matola vipi mbona unamtetea sana Ivan kulikoni?naomba kujuzwa maana mie mgeni
Wewe una mahaba na Zari?
Unataka kufikiri kwa niaba yangu.
Nimtete Ivan kwani ana makosa gani? Labda mimi ndio sielewi!!
Kweli nahisi kunakitu huelewi pitia posts zako upya utagundua kitu
Anakosa la kuuhakikishia umma kuwa Zari hawezibeba mimba ya Diamond ilihali yeye sio Mungu...ni kwa mujibu wa muanzisha uzi
Siri nzito iko wapi sasa daaa nimekuja nduki
Turudi mmu hapa hamna kitu zaidi ya porojo za Shigongo tu.
Tuthibitishie anavyoumia au tuwekee video clip.
Nimeandika "inavyoonekana ni anaumia sana".
Sasa kama kweli ungekuwa una akili za kutosha ungegundua kuwa kwa mimi kutumia neno "inavyoonekana" ni ninasadiki tu.
Sasa mambo ya kusadikika toka lini yakadaiwa ithibati?
Ningesema/ andika "anaumia sana" bila qualification yoyote ile basi hapo ungekuwa na uhalali wa kuomba ithibati.
Licha ya hivyo, sikutegemea uibaini hiyo tofauti kwa sababu sidhani kama uko intelligent kivile.
Unarukaruka tu kama bata bukini, unaposema inavyoonekana hayo ni mambo ya ramli, kwa mtu Intelligent kama wewe nilitegemea cha kwanza kabisa ungehoji reliable source.
Siyo zile source maandazi "Lowasa ang'olewa rasmi leo" ukifunguwa page unakuta Lowasa ang'olewa rasmi jino lililokuwa linamsumbuwa.
Itelligent person kama wewe lazima udeal na source kama hizi;
Wewe hujui chochote kuhusu caveats na qualifications kwa hiyo sitegemei uelewe chochote kile nilichokiandika because you are that dumb. Dumb as a rock.
Hizo ndo saizi yako na ilk yako.
Unaona ulivyo zuzu..? Eti lazima udeal na source kama hizo.....pwa ha ha ha ha.....huo ulazima unatoka wapi?