Zari hawezi kuzaa na Diamond, mume aanika siri nzito

Kwangu mimi Shigongo hana credibility hata chembe.

Ni magazeti yanayosomwa na kuaminiwa na wajinga.

Hata huyo mumewe wa zamani naye hana credibility yoyote ile kwa sababu inavyoonekana ni anaumia sana akiona mkewe wa zamani akipigwa jengelele na Diamond.
 
Kwangu mimi Shigongo hana credibility hata chembe.

Ni magazeti yanayosomwa na kuaminiwa na wajinga.

Sasa ulitaka habari za ma-celeb ziandikwe kwenye magazeti ya mwananchi?

Watu wengine kwa kujishaua hamjambo... kila siku upo hapa kujadili udaku wa magazeti ya shigongo unaoletwa na akina Warumi na Money Stuna alafu unasema hayo magazeti yanasomwa na wajinga? Sasa wanaosoma ni wajinga vipi wewe unayekaa hadi kitako kujadili kilichoandikwa kwenye udaku tukuhesabie upande gani? Au ulitegemea jukwaa la celeb hapa jf linapata habari kutoka mbinguni?

Ni shida sana kuwa boya alafu usijitambue.
 
Siri nzito iko wapi sasa daaa nimekuja nduki
 
Anakosa la kuuhakikishia umma kuwa Zari hawezibeba mimba ya Diamond ilihali yeye sio Mungu...ni kwa mujibu wa muanzisha uzi

Tupe vivid evidence Ivan aliyasema hayo lini na wapi?

Unaweza kutupa reliable source kutoka Uganda au video/audio clip?

Acha kurukaruka kama bata bukini.
 
Tuthibitishie anavyoumia au tuwekee video clip.

Nimeandika "inavyoonekana ni anaumia sana".

Sasa kama kweli ungekuwa una akili za kutosha ungegundua kuwa kwa mimi kutumia neno "inavyoonekana" ni ninasadiki tu.

Sasa mambo ya kusadikika toka lini yakadaiwa ithibati?

Ningesema/ andika "anaumia sana" bila qualification yoyote ile basi hapo ungekuwa na uhalali wa kuomba ithibati.

Licha ya hivyo, sikutegemea uibaini hiyo tofauti kwa sababu sidhani kama uko intelligent kivile.
 
Unarukaruka tu kama bata bukini, unaposema inavyoonekana hayo ni mambo ya ramli, kwa mtu Intelligent kama wewe nilitegemea cha kwanza kabisa ungehoji reliable source.

Siyo zile source maandazi "Lowasa ang'olewa rasmi leo" ukifunguwa page unakuta Lowasa ang'olewa rasmi jino lililokuwa linamsumbuwa.

Itelligent person kama wewe lazima udeal na source kama hizi;
 
Wewe hujui chochote kuhusu caveats na qualifications kwa hiyo sitegemei uelewe chochote kile nilichokiandika because you are that dumb. Dumb as a rock.

Hizo ndo saizi yako na ilk yako.

Unaona ulivyo zuzu..? Eti lazima udeal na source kama hizo.....pwa ha ha ha ha.....huo ulazima unatoka wapi?
 
Unarukaruka tu kama bata butini, ni wapi na ni lini Ivan aliongea hizi porojo zinazojaribu kulisha watu hapa JF?

Kuhusu elimu yangu mimi ni form four graduate niko tayari kujifunza kutoka kwako na kwa yeyote anayenizidi upeo.
 
Back
Top Bottom