Zari white party


Well said
 
Nambie babe! Did u miss me? lols I luv this picture! Full kudekezwa na mkaka tall!
Kuleni maisha Zari & Diamond! Diamonds are forever!

Hilo pozi sasa....
 

Hio sanda party cha kushangaza ilijaa tu, na zari ndio alichotaka
 
Hapo kijana wetu alitakiwa alipwe kwa kuhudhuria hiyo party,Lakini kwasababu anapewa P basi kaenda bila kulipwa na anatafanya performance bure. On top of that hata nauli kajilipia

Kuna wanawake wametumwa hela hapa duniani. Mmama yupo strategic.

Jf bana,unaushahidi kwamba hajalipwa???papuchi anapewa yeye na crew yake yote ama😎😎😎 zari kuwalipia ticket na kilakitu katika show sio shida all she wants is popularity
 
Diamond GO ON DOING WHAT U'RE DOING. U HAVE BLESSINGS FRM REAL FANS.

Na kweli watu uwivu unawasumbua he is just 25 wamwache kwakweli just because yupo kwenye spotlight ndio maana ni tatizo but vijana wengi wanafanya zaidi ya hayo mda ukifika atatulia
 

AY Nadhani alikuwa upande wa pili kwenye shiw ya Chamilione
 
Siipendi tabia ya Diamond kubadili badili Mademu ila nakubali huyu Zari ni mkali wacha. Huyu manzi ni soo!

nani hajabadili mpenzi naniiiiiaseme hapa??? mapenzi ya single lover to death yaliishia miaka ya 70 na kama wewe hujabadili mpenzi una 12-14 yrs na ndio umeanza sasa jiulize ukifika 25 watakuwa wamepita wangapi, and put this in mind kubadili mpenzi inaweza kuwa sio mapenzi yako, unaweza kutamani kuwa na mpenzi mmoja tu in your life time lakini ukaachwa,utafanyaje?? mpenzi wako akawa kicheche utakaa nae tuu ili usionekene kuwa unabadili wapenzi??? hivi vitu ni unpredictable.

hivyo sioni sababu ya kumhukumu diamond kisa tumepata access ya kuwajua wapenzi wake, mnaomhukumu ikitokea mtu akaweka chain ya wapenzi wenu hapa kuna watakao jaza abood trust me!
 

We endeleaa kuumiaa na halafuu umsemeshee uonee kamaa utavaa bazee na gold, nataniaa tuuu hahahahahahahahaa ila jamaa anapata vitu viwilii mkwanja kapiga kwenye show then na Mtoto mzurii anakamatiaa then mwisho wa siku wanapanda pipa wanakuja dar kuitafuta DAR LIVE nako wanapiga pesa then maisha yanasonga
 
Poleni he is what he is You cant change him Looks like ananyimaa usungiziii au mlitakaa awaonjeshee utamu

Ananinyima usingizi.... this is a free country since 1961 so nasema nijisikiacho

BTW your perception is not my reality
 
Kaka, hata Domondi ana misheni zake za kumpiga dudu huyo mama...
Nani hapendi vitu vitamu Bana?

Ulijuaje kama ni vitu vitamu...unaambiwa kila njemba ikipiga inaingia mitini..hapo kuna vitamu?inaonekana ni cover la nje tu..ndani ni nothing...three kids is not a joke!
 
Ulijuaje kama ni vitu vitamu...unaambiwa kila njemba ikipiga inaingia mitini..hapo kuna vitamu?inaonekana ni cover la nje tu..ndani ni nothing...three kids is not a joke!

Zari ni mtamu kwa kumtazama. Huenda yeye ndiye aliwapiga chini hao njemba, who knows?
 
Duh...... This woman rocks! She is pretty! I admire her million times!
Kama mwamamume mwenye akili timamu...huwezi kuruka hiki kiunzi...tuseme ukweli demu ni mtamu sana huyu..Dogo jichapie mpaka uone kuna nini ndani....
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…