Zari white party

Zari white party

Jamani msimshambulie Diamond bure; halali na kila mtu, analala na wanawake wazuri wenye hadhi fulani tu: kubalini hilo kwanza. Muda mfupi baada ya kusoma post hii nimepitia pale global publishesrs kusearch wanawake waliowahi kualala na diamond nikakuta list inaonyesha kuwa wengi wao ni mastaa wenye hadhi zao. Majina niliyopata haraka haraka ni haya: Rehema Fabian (Simfahamu), Jacqueline Wolper (Ni star wa hadhi), Upendo Moshi (simfahamu), Natasha (simfahamu), Wema Spepetu (Star mwenye hadhi), Aunt Ezekiel (Staa Mwenye hadhi), Jokate Mwengelo (Star mwenye hadhi), Irene Uwoya (Star mwenye hadhi), Penniel Mgimwa (Star mwenye hadhi), Avril (Star mwenye hadhi), Victoria Kimani (Star mwenye hadhi) na sasa Zari Hassan (Star mwenye hadhi ya kutisha). Kwa hiyo mwacheni Diamondn atumia muda wake; akichoka ataacha, siyo kumtupia matusi yasiytokuwa na maana. Yeye siyo zoa zoa vile; after alll Zari ,wenyewe ndiye aliyempaparikia. Kumbukeni hawa wanawake kwakwe huwa ni sememu ya kujitangza katika biashara yake ya Muziki. Ni jukumu lao kujipima kama ni sahihi kulala naye, siyo jukumu lake.

Well said
 
Huyu zari anatumia nguvu nyingi sana katika hii show yake. Za chini ya kapeti from Kampala zinasema watu wanaweza kuisusa cz diamond hakubaliki ndani ya ardhi ya uganda. Watu wana suggest bora zari angemtumia AY au Prof J kama is the issue ya kupata artist from tz.

Hio sanda party cha kushangaza ilijaa tu, na zari ndio alichotaka
 
Hapo kijana wetu alitakiwa alipwe kwa kuhudhuria hiyo party,Lakini kwasababu anapewa P basi kaenda bila kulipwa na anatafanya performance bure. On top of that hata nauli kajilipia

Kuna wanawake wametumwa hela hapa duniani. Mmama yupo strategic.

Jf bana,unaushahidi kwamba hajalipwa???papuchi anapewa yeye na crew yake yote ama😎😎😎 zari kuwalipia ticket na kilakitu katika show sio shida all she wants is popularity
 
Diamond GO ON DOING WHAT U'RE DOING. U HAVE BLESSINGS FRM REAL FANS.

Na kweli watu uwivu unawasumbua he is just 25 wamwache kwakweli just because yupo kwenye spotlight ndio maana ni tatizo but vijana wengi wanafanya zaidi ya hayo mda ukifika atatulia
 
Huyu zari anatumia nguvu nyingi sana katika hii show yake. Za chini ya kapeti from Kampala zinasema watu wanaweza kuisusa cz diamond hakubaliki ndani ya ardhi ya uganda. Watu wana suggest bora zari angemtumia AY au Prof J kama is the issue ya kupata artist from tz.

AY Nadhani alikuwa upande wa pili kwenye shiw ya Chamilione
 
Siipendi tabia ya Diamond kubadili badili Mademu ila nakubali huyu Zari ni mkali wacha. Huyu manzi ni soo!

nani hajabadili mpenzi naniiiiiaseme hapa??? mapenzi ya single lover to death yaliishia miaka ya 70 na kama wewe hujabadili mpenzi una 12-14 yrs na ndio umeanza sasa jiulize ukifika 25 watakuwa wamepita wangapi, and put this in mind kubadili mpenzi inaweza kuwa sio mapenzi yako, unaweza kutamani kuwa na mpenzi mmoja tu in your life time lakini ukaachwa,utafanyaje?? mpenzi wako akawa kicheche utakaa nae tuu ili usionekene kuwa unabadili wapenzi??? hivi vitu ni unpredictable.

hivyo sioni sababu ya kumhukumu diamond kisa tumepata access ya kuwajua wapenzi wake, mnaomhukumu ikitokea mtu akaweka chain ya wapenzi wenu hapa kuna watakao jaza abood trust me!
 
Mm huwa nawazaga haya mambo wanavyofanya na kuyarusha kwa mitandao ya jamii hawawazi kama wazazi wao wanaona. Diamond anasema anampenda sana mama yake sasa mbona mambo kama haya anayaweka wazi haoni anamkosea adabu mama yake. Mm kama mama naumia sana.

We endeleaa kuumiaa na halafuu umsemeshee uonee kamaa utavaa bazee na gold, nataniaa tuuu hahahahahahahahaa ila jamaa anapata vitu viwilii mkwanja kapiga kwenye show then na Mtoto mzurii anakamatiaa then mwisho wa siku wanapanda pipa wanakuja dar kuitafuta DAR LIVE nako wanapiga pesa then maisha yanasonga
 
Poleni he is what he is You cant change him Looks like ananyimaa usungiziii au mlitakaa awaonjeshee utamu

Ananinyima usingizi.... this is a free country since 1961 so nasema nijisikiacho

BTW your perception is not my reality
 
Kaka, hata Domondi ana misheni zake za kumpiga dudu huyo mama...
Nani hapendi vitu vitamu Bana?

Ulijuaje kama ni vitu vitamu...unaambiwa kila njemba ikipiga inaingia mitini..hapo kuna vitamu?inaonekana ni cover la nje tu..ndani ni nothing...three kids is not a joke!
 
Ulijuaje kama ni vitu vitamu...unaambiwa kila njemba ikipiga inaingia mitini..hapo kuna vitamu?inaonekana ni cover la nje tu..ndani ni nothing...three kids is not a joke!

Zari ni mtamu kwa kumtazama. Huenda yeye ndiye aliwapiga chini hao njemba, who knows?
 
Duh...... This woman rocks! She is pretty! I admire her million times!
Kama mwamamume mwenye akili timamu...huwezi kuruka hiki kiunzi...tuseme ukweli demu ni mtamu sana huyu..Dogo jichapie mpaka uone kuna nini ndani....
 
Back
Top Bottom