Zari white party

Zari white party

482750_528801053829150_1742203098_n.jpg
 
Tyta
ndo diamond anatembea na mwanamke kama huyu anajiona yupo salama anajua wangapi wamepitia hapo
 
Last edited by a moderator:
Mtoto wa nyoka ni nyoka

Na vya kurithi vinazidi.

SIJUI KARITHI KWA NANI????
 
Hapo kijana wetu alitakiwa alipwe kwa kuhudhuria hiyo party,Lakini kwasababu anapewa P basi kaenda bila kulipwa na anatafanya performance bure. On top of that hata nauli kajilipia

Kuna wanawake wametumwa hela hapa duniani. Mmama yupo strategic.



you are real great thinker watu wengine wanishia kusifia ooh atampiga p. kwani ukimfanya mtu umempunguzia nini yule mama anamtumia domo kuingiza pesa
 
'Mbunye' bana utaweza fanya chochote. Huyu bwe.ge wetu linapelekwa pelekwa kama ling'ombe nalo linaenda

bizness plann we mbwiga hujui chochote ma cid wanadiriki hadi kugawa penzi ili kufanikiwa kwenye upelelezi
 
bizness plann we mbwiga hujui chochote ma cid wanadiriki hadi kugawa penzi ili kufanikiwa kwenye upelelezi

Business plann ndio nini kwanza? afu mimi sio mbwiga kama unajifunza matusi weka wazi. Nina matusi mapya nimeyahifadhi hapa.
 
Huyu mama ni mzuri kikweli ila ukiangalia ile video yake alipokuwa anampokea Diamond, halafu ukasoma background yake kwa kina unaweza kubaki unajiuliza maswali mengi sana kumhusu. Kwenye video alipokuwa akiongea alionekana tofauti na wakati alipopozi kupigwa picha; anapopozi kwa picha anakuwa mzuri sana wakati anapoongea anaonekana wa kawaida tu.

Background yake inaonyesha kuwa amekuwa anabadilisha wanaume kwa muda mrefu sana na mara zote amekuwa na ugumu wa kuwakeep; unashindwa kuelewa kwa nini wanaume wanampitia na kumwacha kwa muda mfupi. Hata mme wake waliyekaa pamoja kwa miaka kumi na nne na kuzaa watoto pamoja na kumsomesha na kumpa mali zote zile alizo nazo leo bado amekuwa hana penzi la dhati naye.

Magazeti ya Uganda nayo yanavyomwandika na jinsi wanaume waliompitia wanavyomchambua, nadhani inachangia sana kumfanya awe stressed na kuwa desperate kupata mwanamme wa kumtuliza; stress hizo zinaonekana usoni akiwa anaongea. Kulikuwa na ripoti ya kuwa alikuwa anakaribia breakdown kuhusu uandaaji wa pati hii kwa vile mme wake alikataa kumsapoti mwaka huu.

Hivyo kwake kumpata Diamond ilikuwa ni boost kubwa sana ambayo ni lazima atakuwa anamheshimu sana. Nadhani atakuwa na amani kidogo na Diamond katika kipindi hiki kwa vile watakuwa wanakutana mara moja moja na kujituliza, siyo ile ya kuwa beneti muda mwingi.

Hata hivyo Diamond atatakiwa pia awe msiri wa mambo yake mengine kwani huyu mama anajulikana kwa kuwa na wivu na hasira za haraka; ambayo ni tabia ya kawaida kwa wanawake wengi wa Libra.

Kwa wanaume wanaomkosoa Diamond nadhani siyo wakweli; hakuna mwanamme wa umri wa Diamond angeweza kuparamiwa kwenye ndege na manamke wa aina hii halafu akampuuzia. Mwacheni Diamond atumie ujana wake;

wote wawili wana rekodi zinazofanana kwa hiyo huenda watajuana vizuri sana. Wakishindwana wataachana kama ilivyokuwa kwa wengine waliowapitia.
 
loveleen

Shemeji yetu yuko vizuri sana na inaonyesha anamjali sana mdogo wetu.
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom