Zawadi gani umewahi kumpatia mchumba wako akafurahi?

Mmmmh mnatia chaka

Mie nilishapeleka zawadi sehemu nikaambiwa hizo situamiagi bora ungeniuliza mwenyewe au ungenipa hela... Toka siku mtu akiniambia.zawadi ni bora aseme yeye nn nimchukulie kama.zawadi na sio nikakurupuka kumchukulia
hapo inategemea sasa,,nilishawahi kua mahusiano na mdada mmoja ukimpelekea zawadi ya gazeti la mwananchi anafurahi sana
 
Mkuu we nakushauri ,ungemuuliza muhusika angependa zawadi gani toka kwako, mshirikishe tu sio mbaya
 
Sijasema kama kuhonga ni dhambi, alafu usipende sana kutoa judgement kwa mtu usiyemfahamu kwa kufuata hisia zako.


Wewe kuhonga nyumba ni uamuzi na maisha yako unayoyaishi, mimi kutoa zawadi ya elfu 50 usifikiri siwezi kutoa zaidi ya hiyo.

Tunapokutana mitandaoni tuheshimiane maana uhalisia wa yaliyo nyuma yetu kila mtu anayafahamu mwenyewe. Achilia mbali kumpa mtu nyumba, wewe hata ukimtunuku mtu hata Tigo yako ni uamuzi wako boss wala hakuna atakayekuuliza.

Mwisho mimi siyo mdogo wako, behave please
 
Asee . Hii inafaa mkuu au itapoteza ladha? Nafikiri ukiletewa zawadi pasipo kutarajia inakuwa na mzuka zaidi
Muulize tu ukiwa unaenda Leejay49 nipo njiani ungependa nikueletee zawadi gani?

Atakayokwambia hata km ni chocolate beba hio hio zama supermarket nunua good chocolate mpelekee au hata akisema niletee eat some more kuna hio mibiskuti fulani wanaipenda mitamu mitamu inauzwa buku 4 beba peleka mchezo umeisha si zawadi au ulitaka iweje mkuu?

Ukiambiwa peleka kile umeambiwa upeleke usijitungie cha kwako Wala usiongeze Wala usipunguze
 
Sijui kwanini sijawahi kua na majibu nikiulizwa nataka zawadi gani... ila Yoyote tu ni nzuri ukipewa na mtu unayempenda
 
Nenda kkoo mtaa wa Swahili na Chikichi kuna maduka ya jumla ya chupi, nunua dozen 1 chupi quality nzuri ni 33k,

6K nunua chocolate 2 za BOUNTY,
11K Mpe mkononi sababu atakua ana mahitaji yake anayoshindwa kukwambia hiyo itakua kianzio.
 
πŸ˜†πŸ˜†πŸ˜†πŸ˜†πŸ˜†πŸ˜†πŸ™Œ
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…