Zelensky amemjibu Trump kwamba alipokea dola bilioni 100 tu za msaada wa Marekani kama ruzuku, sio mkopo

Trump ni mpuuzi sana
Upuuzi wake nini ,,,, au kutaka kukata misaada ya silaha kwa unawaowapenda wewe? Kwani msaada lazima? Kawasaidie wewe basi hizo silaha, kwanini watusi mnapenda sana vita na kujikuta nyie ndo special people mbwa nyie,, dawa kuwakimbiza tu apa bongo wasehnge nyie mnachukulia poa mnakula gud time ubongoni hapa..
 
Hasira za nini dogo.

Umechanganyikiwa sasa watutsi wana husika vipi na mgogoro wa Ukraine mwehu wewe
 
Hii sio mechi ya Simba na Yanga kwamba iandikwe kishabiki kirahisi rahisi hivi. Unavyoona Urusi ilikuwa ikisherehekea hii miaka mitatu ya “special operation”? - badala ya wiki tatu walizopanga mwanzoni?
Nani alikwambia Urusi walipanga wiki 3 ya SO?
 
Kwa hiyo NATO na Ukraine wamefanikiwa nini kwenye hili?
 
Hasira za nini dogo.

Umechanganyikiwa sasa watutsi wana husika vipi na mgogoro wa Ukraine mwehu wewe
Najua mpo wengi operesheni yenu inakuja,,, huyu jamaa Yoda Ni mtusi mwenzio kumbe, ni mtu anaeshabikia vita humu jukwaani pengine kuliko hata kp kipanya44 ,, ana chuki ya wazi kabisa kwa wakongomani, wapalestina, warusi etc. Yani kinachondelea huko yeye kwake furaha wakati yeye kakimbia kwao rwanda anaishi kwa amani bongo.
 
Show some respect to Zelenskyy and the gallant Ukrainian fighters AND keep watching this space uone kitakachotokea mwishowe. Hizo tabiri za kishabiki zibakie huku uswahilini tu.
Zelensky is on a losing side and can not win. Trump does want to carry a loser with him

No other country will fight against Russia, even the NATO and Europe, why drag the war on any longer

After this is all over he’s going to be just a grease spot in history

 
Wewe unaona zelensky yuko sahihi kuchukua hela za marekani burebure tuu?
Ni bure bure kivipi wakati Marekani iliwaambia Ukraine wawape Russia silaha zao za nulear wakati USSR inavunjika na kuwahaidi watakuwa salama tu bila hizo silaha?
 
Putin, Xi Jinping, Ayatollah na Kim Kiduku ni watu waovu sana wanaopaswa kulaaniwa na kila mtu mwenye akili, hawa watu ni axis of evil.
 
Wewe kiazi Watusi ni kundi mojawapo la raia wa Congo, kama mnawapenda sana Wacongoman mlitakiwa muwe mmeshawalazimisha mapema marais wa Congo wawakubali raia wao Watusi badala ya kukaa wanapora uchaguzi na kuuza ardhi yenye madini tu mashariki ya DRC bila kuwashirikisha raia wanaoishi hayo maeneo.
 



Maigizo yamehamia kwenye bangi
 
... magharibi waliipanga vita hii kabla haijaanza na uchokozi waliufanya wakijua matokeo na watakachofanya!
HII ILIKUWA VITA YA NATO VS RUSSIA TOKA MWANZO!
 
Big Balls & Co sasa wanatia timu kwa Zele!
KUMOTO!
 
Zelensky aliigizwa kwenye mess na Biden! Hakuna msaada wa bure unaotolewa na US kwa nchi yo yote.
 
Big Balls & Co sasa wanatia timu kwa Zele!
KUMOTO!
Trump hakuna cha bure na hajifichi ni pure business. Alimwambia bwana zele nipe rare earth mineral deal worth $500 bilions. Bwana zele akajizungusha so sasa anaanza kumwekea pressure.
Our next stop itakuwa taiwan.
Ulaya hawaamini wanachokiona wazee wa kufuata mkumbo. Naona wao wanadeal na makampuni makubwa ya tech ya US tu.
 
... magharibi waliipanga vita hii kabla haijaanza na uchokozi waliufanya wakijua matokeo na watakachofanya!
HII ILIKUWA VITA YA NATO VS RUSSIA TOKA MWANZO!
Magharibi walipanga pia uvamizi wa Crimea 2014?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…