Wewe unaonekana una hasira na maisha tu fanya kaziakil zako zipo sawa kwel ? unashabikia Urusi kisa hajawai kukutawala au unashabikia Urusi kisa tabia ya kutaka kuya colonize maeneo ya Ukraine ni sawa ? ukiitwa chimpazeeey sitokuteteaa maana hujui moja huzaa mbili