Zelensky: Tumewapa hasara kubwa hurusi

Ahahaha hiyo video naikumbuka, hata humu kuna thread jamaa flan aliipost.
 
Vita vilikuwepo, vipo na vitaendelea kuwepo hadi mwisho wa dahali

Ninyi mabingwa wa kumtukana Zele nendeni mkawatukane na wapalestina ambao wakikubali kutii na kutawaliwa na waisraeli watoto na wake zao na wao wenye wataishi kwa amani

Kuna watu humu wakivamiwa na majambazi watakua radhi hata kushikishwa ukuta ili “kuokoa” familia zao
 
... Katiba za nchi haziko hivyo wewe; hata Katiba ya JMT hairuhusu Amiri Jeshi Mkuu ku-surrender nchi kwa nchi vamizi kasome Katiba uelewe.
Hivi wewe unajua hata kwanini Russia aliingia ukraine in the first place?
Hapa hatuongelei hisia tunaongelea uhalisia wa maisha na roho za watu.
 
Matusi hata mimi nayaweza tena vizuri sana.
Haya mambo ya kitaifa kwako wewe bado sana mkuu, mimi naongelea facts na uhalisia wewe unaleta ushabiki.
 
Tuwekee hapa na hasara iliyopata ukreini ili twende sawa
 
Ona na wewe unaongelea ushabiki vilevile kwenye issue zinazohitaji tremendous critical thinking.
Wale wanawake na watoto wanaokufa kule Ukraine nao wana strong balls?

Hizi ndio akili za zelenskyy, mtu mwenye akili angelinda maisha ya wananchi wake na nchi isingechukuliwa ni mwendo wa diplomacy na akili nguvu zitakuja baadae sio unaingia kichwa kichwa kwa taifa lilokuzidi nguvu.
The calculation of risk and it's consequences.

Idiot comedian leader.
 
SAWASAWA KABISA.
 
Hiyo ndio critical thinking yako, waulize watu waliosoma political science wakusaidie angalau ujue kuwa war is an alternative of peace. Ukraine sio wajinga ndio maana wameungana na kiongozi wao, like ni taifa huru wana interest zao hata kujilinda dhidi ya uvamizi wowote. Meza ya maridhiano wamekaa sana kuleta upatanishi. Russia ina tabia ya kufanya territorial invasion pale panye maslahi yake. Yaani wewe critical thinker umeshindwa kujiuliza kwanini Russia kaamua kuvamia kwamba yeye ndio ana haki ya kufanya hivyo. Heshima na matakwa yao lazima vilindwe hata kwa damu na jasho. Una feel sympathy with irationalities, acha wanaume wazichape nidhamu yako ibaki huko kwenu wanzako wameamua kufia vitani kuliko kufuata matakwa ya warusi
 
Hivi wewe unajua hata kwanini Russia aliingia ukraine in the first place?
Hapa hatuongelei hisia tunaongelea uhalisia wa maisha na roho za watu.
Ivi wewe ni mwehu eeeh sasa unabisha nini apa jamaa ajataka ubishi na wewe kakupeleka moja kwa moja kwenye jukumu no moja la Raisi katika nchi husika, katiba zote duniani jukumu la raisi la kwanza ni kuilinda mipaka ya nchi yake sasa wewe sijui unachobishania ni nini je unabishana na katiba au umelewa gongo?
 
Ukifikiri nje ya box utaelewa! Zele ni puppet leader kama mlivyo wengi hapa Afrika! Mawazo yako yananifanya niamini na wewe ni miongoni mwa viongozi vibaraka wa magharibi!
Wewe Mwenye akili mbona unahangaika na kuipamba ccm tu
 
Watoto wa 1996 hawajui hii
 
Matusi hata mimi nayaweza tena vizuri sana.
Haya mambo ya kitaifa kwako wewe bado sana mkuu, mimi naongelea facts na uhalisia wewe unaleta ushabiki.
Wewe ni mwehu huna fact zozote asee hakuna mwanaume kamili mwenye akili kama za kwako kwamba nyumbani kwako jirani yako akikuvamia na kukupangia masharti unapaswa kumpigia magoti na kumkabidhi familia yako yote ili akuonee huruma acha ubwege wewe mwanaume kamili ni yule anayeipambania familia yake kwa jasho na damu na siyo kuwa na akili za komoni eti ukubali kuvuliwa chupi na mwanaume mwenzio kisa eti ukibisha familia yako itapata maumivu huu ujonga wa design hii kawshauri nduguzo na mkeo!!
 
Hurusi ndio nini?
 
Sasa matusi ya nini badala ya kutumia hoja?
Hapana mimi sio mwehu ila bila shaka mwehu atakuwa mama yako mkuu.
Mimi nimetoa Opinion yangu kama haukubali nayo then nakwambia how about you stop suckin my Dik?

Mimi sipendi ligi za matusi.
 
Sawasawa kabisa, ukizingatia mimi silipwi hapa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…