Vita ni hasara nzito mno. Hapo hujaweka yale magari vita, ila kwa vifaru hakika putin wamemtia hasara, kwenye ile meli ndo kabisaaa.Mkuu unajua gharama ya kifaru kimoja cha urusi jaribu hata kugoogle ,kifaru kimoja ni billion 23 za kibongo ,sasa linganisha kifaru kimoja kinatoa gorofa ngap,hapo hujapigia gharama za helicopter, ndege,magar,na vifaa vingine tatizo wabongo mnajua kifaru ni bei ya vits.hapo sijajumuisha gharama za ile meli ya kisasa,vikwazo ,na asett zote ambazo ziko freezing zimetaifishwa