Zelensky: Vita ya Urusi imefanya Afrika kuwa "Mateka"

Zelensky: Vita ya Urusi imefanya Afrika kuwa "Mateka"

beth

JF-Expert Member
Joined
Aug 19, 2012
Posts
3,880
Reaction score
6,368
Akihutubia Umoja wa Afrika (AU), Rais Volodymyr Zelensky amesema Afrika ni "mateka" katika Vita ya Urusi dhidi ya Taifa lake, kwani kuzuiwa kwa usafirishaji wa Nafaka Ukraine kumepelekea uhaba ambao unaweka Mamilioni ya watu katika hatari ya njaa.

Amesema inawezekana Vita inaendelea mbali na Mataifa ya Afrika, lakini ongezeko katika bei za Vyakula tayari limeileta Vita hiyo kwa Mamilioni ya Familia.

Inaripotiwa kuwa Viongozi 55 wa Nchi walikaribishwa kushiriki Majadiliano hayo kwa Njia ya Mtandao, lakini kwa mujibu wa BBC walioshiriki ni Wanne, huku wengine wakituma Wawakilishi.

===

Ukrainian President Volodymyr Zelensky has called Africa "a hostage" of Russia's war during an address to the African Union (AU) on Monday.

Russia's invasion, and its blockade of Ukraine's grain exports, have sparked grain and fertiliser shortages and put millions of people at risk of hunger.

The chair of the AU commission said there was an "urgent need for dialogue" to restore global stability.

Western countries have urged Russia to release Ukraine's vast grain stores.
The blockade has sent food prices soaring.

"Africa is actually a hostage... of those who unleashed war against our state", Mr Zelensky said in his speech.

He said his government was engaged in "complex negotiations" to unblock grain reserves trapped in Ukraine's Black Sea ports.

"This war may seem very distant to you and your countries," he told the AU. "But the food prices that are catastrophically rising have already brought [the war] to the homes of millions of African families."

Mr Zelensky's AU speech comes nearly 10 weeks after he first asked to address the continental body.

The BBC understands that 55 heads of state were invited to the virtual session, but only four attended. The rest of the countries sent representatives.
 
Duh hivi Zelensky anahisi nchi yake Ni Bora kuliko wengine wote duniani?

Afrika tuna matatizo yet meengi Sana! Vita ipo! Dhuluma zipo! Njaa ipo kote hata kabla ya Vita. Ndio ipo na itaendelea kuwepo! Ni ajabu? Si ajabu!

Hivi Afrika Ni lini tuliskia DRC ikionewa huruma na Ukraine? Wakongo wana Vita kwa miaka 60+ Sasa. lakini Ukraine haijawahi kukemea? Iwe sisi leo?

Kweli waukren wanachofanyiwa na warusi hata Mimi sipendi. Ndio sipendi na inatisha. Lakini ifikie kipindi mabeberu wakitumika na maberu kuumizana tuwaache waumizane! Waumie Sana. Pengine siku inakuja ya wao kuikumbuka na kutuonea huruma Afrika!

Oh Libya ! Libya kutoka taifa tajiri zaidi miongoni mwa Afrika! Leo Libya Ni Kama kaburini!
Sababu Ni wao!

Sina huruma kwao Kama njaa tulishaanza kufa nayo miaka kabla ya kristo.
 
Duh hivi Zelensky anahisi nchi yake Ni Bora kuliko wengine wote duniani?
Afrika tuna matatizo yet meengi Sana! Vita ipo! Dhuluma zipo! Njaa ipo kote hata kabla ya Vita. Ndio ipo na itaendelea kuwepo! Ni ajabu? Si ajabu...
Umeongea ukweli tena kwa hisia kuu.

Wazungu wangejua namna wametufanya africa wahanga wa kila kitu na tunawachukia wasingetuingiza kwenye upuuzi wao.

Suala la russia na ukraine linajulikana kwa kila mwenye akili kwamba ni vita ya kupambania uhuru wa kiusalama, kisiasa na kiuchumi kati ya russia na marekan na washirika wake. Wasituingize walishatuona manyan na wao ndo watu.

I hate America!

I hate the white's devilish hypocrisy!
 
Afrika hatuna haja ya chakula cha Ukraine,

Tuna kila kitu, bali vita hii itatusaidia kujipanga vizuri zaidi.

Tumeathirika kwenye Elimu tuu ya Chuo kikuu, Ykrain elimu ni Rahisi sana Kuliko nchi yoyote duniani.

Kwa hili nakubali.
 
Umeongea ukweli tena kwa hisia kuu.
Wazungu wangejua namna wametufanya africa wahanga wa kila kitu na tunawachukia wasingetuingiza kwenye upuuzi wao.
Suala la russia na ukraine linajulikana kwa kila mwenye akili kwamba ni vita ya kupambania uhuru wa kiusalama, kisiasa na kiuchumi kati ya russia na marekan na washirika wake. Wasituingize walishatuona manyan na wao ndo watu.
I hate America!
I hate the white's hypocrisy!
Unawachukia America wakati Kama wasingekuwa wao hata hapa husingebwabwaja, mkeo anategemea kupata chanjo ya Bure ya Kansa ya mlango wa kizazi, mtoto wako atapata bure chanjo za Surua, polio, pepopunda, saver za JF Ni za US, afu unabwabwaja, ng'ombe
 
Hata hao wanne waliouduhulia nao ni njaa tu ilitakiwa aachwe aongee mwenyewe yaani Congo, Somaria, Libya, Mali, Nigeria, Africa ya kati,,Watu wanakufa Kila kukicha sababu ya mataifa ya Magharibi na Mme wao Marecani alafu anataka huruma kutoka Africa hatuitaji unafiki,, sema viongozi wetu nao ni sawa nawewe tu Ila Sie niwa ni Warussi Damudamu
 
Eti alikua na uwezo wa kutoshindana na Mrusi kuepusha mapigano lakini alisikiliza wajinga wako miles za far huko kwa kupewa risasi na bunduki sasa unafkri nani atakaehudhuria mkutano huo huku Africa, kwanza viongozi wana mambo mengi so ni nani atakaeskiliza ujinga wake wa kujitakia, apambane tu
 
Duh hivi Zelensky anahisi nchi yake Ni Bora kuliko wengine wote duniani?
Afrika tuna matatizo yet meengi Sana! Vita ipo! Dhuluma zipo! Njaa ipo kote hata kabla ya Vita. Ndio ipo na itaendelea kuwepo! Ni ajabu? Si ajabu!
Hivi Afrika Ni lini tuliskia DRC ikionewa huruma na Ukraine? Wakongo wana Vita kwa miaka 60+ Sasa. lakini Ukraine haijawahi kukemea? Iwe sisi leo?
Kweli waukren wanachofanyiwa na warusi hata Mimi sipendi. Ndio sipendi na inatisha. Lakini ifikie kipindi mabeberu wakitumika na maberu kuumizana tuwaache waumizane! Waumie Sana. Pengine siku inakuja ya wao kuikumbuka na kutuonea huruma Afrika!
Oh Libya ! Libya kutoka taifa tajiri zaidi miongoni mwa Afrika! Leo Libya Ni Kama kaburini!
Sababu Ni wao!
Sina huruma kwao Kama njaa tulishaanza kufa nayo miaka kabla ya kristo.
Naomba wauwone huu ukweli
 
Akihutubia Umoja wa Afrika (AU), Rais Volodymyr Zelensky amesema Afrika ni "mateka" katika Vita ya Urusi dhidi ya Taifa lake, kwani kuzuiwa kwa usafirishaji wa Nafaka Ukraine kumepelekea uhaba ambao unaweka Mamilioni ya watu katika hatari ya njaa...
Mpumbavu Sana atuache Africa hatuna njaa Kama wao huku Mihogo ,magimbi ,mchele,makande ,ndondo yamejaa tele apambane na majanga yake Pambafu Sana
 
Duh hivi Zelensky anahisi nchi yake Ni Bora kuliko wengine wote duniani?
Afrika tuna matatizo yet meengi Sana! Vita ipo! Dhuluma zipo! Njaa ipo kote hata kabla ya Vita. Ndio ipo na itaendelea kuwepo! Ni ajabu? Si ajabu!
Hivi Afrika Ni lini tuliskia DRC ikionewa huruma na Ukraine? Wakongo wana Vita kwa miaka 60+ Sasa. lakini Ukraine haijawahi kukemea? Iwe sisi leo?
Kweli waukren wanachofanyiwa na warusi hata Mimi sipendi. Ndio sipendi na inatisha. Lakini ifikie kipindi mabeberu wakitumika na maberu kuumizana tuwaache waumizane! Waumie Sana. Pengine siku inakuja ya wao kuikumbuka na kutuonea huruma Afrika!
Oh Libya ! Libya kutoka taifa tajiri zaidi miongoni mwa Afrika! Leo Libya Ni Kama kaburini!
Sababu Ni wao!
Sina huruma kwao Kama njaa tulishaanza kufa nayo miaka kabla ya kristo.
kipind ukolon unaingia pwan za Afrika wapo wajinga walikuwa wanasema km ww , kila tabia huanza kidogo then inakomaa , soon Afrika mkae wa kula
 
Back
Top Bottom