4by94
JF-Expert Member
- Oct 1, 2019
- 9,214
- 8,306
unahis kuna taifa linawapenda waafrika ? China ilifanikiwa sabab ya kutambua kila kilichotokea huko nyuma ni historia tu so kikubwa kuangalia mbele , Huyo mzungu na muarabu unaowalaumu leo hawapo duniani na unaabudu dini waliyokuletea , lzm ujitambue ili uweze kupiga hatua , hakuna taifa litakufanyia km unavyotaka wkt ww binafs huonesh kuamkaUmeongea ukweli tena kwa hisia kuu.
Wazungu wangejua namna wametufanya africa wahanga wa kila kitu na tunawachukia wasingetuingiza kwenye upuuzi wao.
Suala la russia na ukraine linajulikana kwa kila mwenye akili kwamba ni vita ya kupambania uhuru wa kiusalama, kisiasa na kiuchumi kati ya russia na marekan na washirika wake. Wasituingize walishatuona manyan na wao ndo watu.
I hate America!
I hate the white's hypocrisy!