Zelensky: Vita ya Urusi imefanya Afrika kuwa "Mateka"

Zelensky: Vita ya Urusi imefanya Afrika kuwa "Mateka"

Belarusi imekusanya karibu askari elfu 4 karibu na mipaka ya Ukraine, Urusi linaweza kuhamisha askari wake haraka huko na kuandaa mapigano mpya, - msemaji wa Wizara ya Ulinzi ya Ukraine Motuzyanik[emoji845]
 
kipind ukolon unaingia pwan za Afrika wapo wajinga walikuwa wanasema km ww , kila tabia huanza kidogo then inakomaa , soon Afrika mkae wa kula
Jifunze kuandika hoja au reply bila matusi . Unaweza kuelewesha TU lakini ukinzani wa kimtizamo si Jambo la kuleta chuki na matusi
 
Hii koment ukiiona inasambaa huko social media kwengne inasambaa usiulize aloisambaza MKUU
Kiufupi UKRAINE waendelee kufa kwa Dozen ili wajue machungu wanayosababishiwa ndugu zetu Kongo Sudan Libya nakwengineko Afrique kote
Bila kusahau madhila wapitiayo IRAQ SYRIA LEBANON PHALESTINE
Kwakweli waache wafe ingawaje ukweli mchungu wanakufa wasio hatia tena kwenye ardhi yakwao
RUSSIA TAIFA TEULE
Kumbe inatembea . Mi hata simo kote huko
 
Umeongea ukweli tena kwa hisia kuu.
Wazungu wangejua namna wametufanya africa wahanga wa kila kitu na tunawachukia wasingetuingiza kwenye upuuzi wao.

Suala la russia na ukraine linajulikana kwa kila mwenye akili kwamba ni vita ya kupambania uhuru wa kiusalama, kisiasa na kiuchumi kati ya russia na marekan na washirika wake. Wasituingize walishatuona manyan na wao ndo watu.

I hate America!

I hate the white's hypocrisy!
Kama unapiga ulabu,agiza me ntalipia,nmependa uo mstari "i hate america" naomba niongeze with every breath of my lyf
 
Unawachukia America wakati Kama wasingekuwa wao hata hapa husingebwabwaja, mkeo anategemea kupata chanjo ya Bure ya Kansa ya mlango wa kizazi, mtoto wako atapata bure chanjo za Surua, polio, pepopunda, saver za JF Ni za US, afu unabwabwaja,,, ng'ombe
Hee,ndio tuipende??? So tuipende German na Britain as well ama wabelgium waliokata sana mikono ya ndugu zetu wakongo kisa now kuna kitu wanaofa, do they ofa for free mate? Si wao walioleta aya majanga?
 
Africa ina majuha wengi
Pamoja na matokeo haya bado kuna watu Africa wanaishabikia Russia na Putin kuivamia Ukraine., waafrika wengi wamelala usingizi wa pono katika hili nadhan Zelensky anawaamsha Africa kumtambua aduni Putin
 
AU na SADC zinafanya kazi gani ??
Msumbiji pale kuna machafuko makubwa na mauaji Yana endelea sijawahi kusikia hata wakitafuta namna ya kuikomboa msumbiji ila kwakuwa this time around wazungu Wana kong'otwa wao Wana taka tuwaunge mkono .. period. Blood faken
 
Wengi ni aina ya jiwe.
Nashangaa eti wanne tu ndio walimsikiliza
Huu ni ushahidi kuwa viongozi wa kiafrika hawathamini freedom of expression

Fikiria kama kumsikiliza Raisi mwenzao wanajizuia sembuse raia wao
Kwani wangemdikiliza wangeumwa malaria?
 
Akihutubia Umoja wa Afrika (AU), Rais Volodymyr Zelensky amesema Afrika ni "mateka" katika Vita ya Urusi dhidi ya Taifa lake, kwani kuzuiwa kwa usafirishaji wa Nafaka Ukraine kumepelekea uhaba ambao unaweka Mamilioni ya watu katika hatari ya njaa.

Amesema inawezekana Vita inaendelea mbali na Mataifa ya Afrika, lakini ongezeko katika bei za Vyakula tayari limeileta Vita hiyo kwa Mamilioni ya Familia.

Inaripotiwa kuwa Viongozi 55 wa Nchi walikaribishwa kushiriki Majadiliano hayo kwa Njia ya Mtandao, lakini kwa mujibu wa BBC walioshiriki ni Wanne, huku wengine wakituma Wawakilishi.

===

Ukrainian President Volodymyr Zelensky has called Africa "a hostage" of Russia's war during an address to the African Union (AU) on Monday.

Russia's invasion, and its blockade of Ukraine's grain exports, have sparked grain and fertiliser shortages and put millions of people at risk of hunger.

The chair of the AU commission said there was an "urgent need for dialogue" to restore global stability.

Western countries have urged Russia to release Ukraine's vast grain stores.
The blockade has sent food prices soaring.

"Africa is actually a hostage... of those who unleashed war against our state", Mr Zelensky said in his speech.

He said his government was engaged in "complex negotiations" to unblock grain reserves trapped in Ukraine's Black Sea ports.

"This war may seem very distant to you and your countries," he told the AU. "But the food prices that are catastrophically rising have already brought [the war] to the homes of millions of African families."

Mr Zelensky's AU speech comes nearly 10 weeks after he first asked to address the continental body.

The BBC understands that 55 heads of state were invited to the virtual session, but only four attended. The rest of the countries sent representatives.
Konde boy Zelenski anaropoka bila kujielewa
 
Kama unapiga ulabu,agiza me ntalipia,nmependa uo mstari "i hate america" naomba niongeze with every breath of my lyf
We ni mswahili safi sana.Itakuwa unatokea maeneo ya Kisarawe.
 
Duh hivi Zelensky anahisi nchi yake Ni Bora kuliko wengine wote duniani?

Afrika tuna matatizo yet meengi Sana! Vita ipo! Dhuluma zipo! Njaa ipo kote hata kabla ya Vita. Ndio ipo na itaendelea kuwepo! Ni ajabu? Si ajabu!

Hivi Afrika Ni lini tuliskia DRC ikionewa huruma na Ukraine? Wakongo wana Vita kwa miaka 60+ Sasa. lakini Ukraine haijawahi kukemea? Iwe sisi leo?

Kweli waukren wanachofanyiwa na warusi hata Mimi sipendi. Ndio sipendi na inatisha. Lakini ifikie kipindi mabeberu wakitumika na maberu kuumizana tuwaache waumizane! Waumie Sana. Pengine siku inakuja ya wao kuikumbuka na kutuonea huruma Afrika!

Oh Libya ! Libya kutoka taifa tajiri zaidi miongoni mwa Afrika! Leo Libya Ni Kama kaburini!
Sababu Ni wao!

Sina huruma kwao Kama njaa tulishaanza kufa nayo miaka kabla ya kristo.
Wa Congo wanasubumbuliwa na kijitu kirefu ambacho kina 49Kgs wanashindwa kukifurusha.
 
Back
Top Bottom