Zelensky: Vita ya Urusi imefanya Afrika kuwa "Mateka"

unahis kuna taifa linawapenda waafrika ? China ilifanikiwa sabab ya kutambua kila kilichotokea huko nyuma ni historia tu so kikubwa kuangalia mbele , Huyo mzungu na muarabu unaowalaumu leo hawapo duniani na unaabudu dini waliyokuletea , lzm ujitambue ili uweze kupiga hatua , hakuna taifa litakufanyia km unavyotaka wkt ww binafs huonesh kuamka
 
Unawachukia America wakati Kama wasingekuwa wao hata hapa husingebwabwaja, mkeo anategemea kupata chanjo ya Bure ya Kansa ya mlango wa kizazi, mtoto wako atapata bure chanjo za Surua, polio, pepopunda, saver za JF Ni za US, afu unabwabwaja,,, ng'ombe
kweli wewe ni mtoto wa mbu "unajua thamani ya utu". Hizi vita afrAfr hawazioni nani ni msababishi ? Na Kama kila mtu abaki na ya kwake Africa anaishirikisha ili iweje ? Tumsaidie nini ? Si kuna supa bawa huko a.k.a Epson and canon, huyo ndie amsaidie.
Wakati putin kapitisha msosi kuja Afrika wakabweka ila kingepita ulaya kimya. Shtuka thamini utu Kwanza mambo sijui ya internet , chanjo mwarobaini upo.
 
Afrika hatuna haja ya chakula cha Ukrain,
Tuna kila kitu, bali vita hii itatusaidia kujipanga vizuri zaidi.
Tumeathirika kwenye Elimu tuu ya Chuo kikuu, Ykrain elimu ni Rahisi sana Kuliko nchi yoyote duniani..
Kwa hili nakubali.
unahis kuna taifa litakuja kukunyanyua ?
 
Unawachukia America wakati Kama wasingekuwa wao hata hapa husingebwabwaja, mkeo anategemea kupata chanjo ya Bure ya Kansa ya mlango wa kizazi, mtoto wako atapata bure chanjo za Surua, polio, pepopunda, saver za JF Ni za US, afu unabwabwaja,,, ng'ombe
Ukimwi, ebola, covid-19 nk nk wametuletea wao. Marekani ni champion wa kutengeneza tatizo na kulitatua. Bahati mbaya nyumbu kama wewe huwa mnaangalia ktk kutatua tu tatizo huwa hamhangalii nani kasababisha tatizo
 
Unawachukia America wakati Kama wasingekuwa wao hata hapa husingebwabwaja, mkeo anategemea kupata chanjo ya Bure ya Kansa ya mlango wa kizazi, mtoto wako atapata bure chanjo za Surua, polio, pepopunda, saver za JF Ni za US, afu unabwabwaja,,, ng'ombe
waafrika ni watu wa majito , huendeshwa na mihemko kuliko kutumia akili
 
Africa tunalishwa na nchi sawa na Burundi?
 
rekebisha sio sabab ya Magharibi , vita vyote ni ujinga wetu sisi waafrika km hujui uliza , Je panya road nan anawadhamini ? watoto wa mbwa nan anawadhaminI ? hao baadae wanakomaa na wanaanza kupambana na serikali , popote pale penye uasi au ugaid kosa la kwanza ni la raia husika na serikali yao , kwann magaid wasiwepo China au India au Korea kaskazin ? hao hizo ni marafiki wa magharibi ?
 
aliomba kuvamiwa sio ?
 
Unawachukia America wakati Kama wasingekuwa wao hata hapa husingebwabwaja, mkeo anategemea kupata chanjo ya Bure ya Kansa ya mlango wa kizazi, mtoto wako atapata bure chanjo za Surua, polio, pepopunda, saver za JF Ni za US, afu unabwabwaja,,, ng'ombe
Hizo chanjo unazochoma ww wakati wa kujifungua wazungu hawachomi hizo, watu wanapiga biashara na malengo yao ya siri ww unaona kama ni msaada pumbaaavv
 
hv Afrika kuna nchi imevamia jirani yake ? Una jua maana ya civil wars ww ? Huon alichopata Marekani pale Somalia ? Civil wars huwa sio nzur kuingilia instead una maslai binafs , all in all USA anatoa pesa ndefu kuendesha operation za Amani huko Somalia na DRC ila sisi waafrika ndo tunaviendeleza vita ili tuendelew kuipiga hiyo ela , lzm tuone makosa yetu ili tupige hatua , adui wa mwafrika ni mwafrika mwenyew , tawala mbovu zilizojaa rushwa hlf unawalaumu west
 
Ukraine ilipeleka majeshi Iraq wkt wa kumng'oa Saddam,kwa hio ilichangia kuiharibu Iraq mpk ikawa hivi ilivyo leo.So acha ukraine ipigwe pumbuh tu.
 
Sehemu zote zenye migogoro kuna mkono wa marekani. Acha upumbafu
 
hao wapiga pesa si ndio wanahamasishwa na ma sponsor wao.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…