Zelensky: Vita ya Urusi imefanya Afrika kuwa "Mateka"

Pamoja na matokeo haya bado kuna watu Africa wanaishabikia Russia na Putin kuivamia Ukraine., waafrika wengi wamelala usingizi wa pono katika hili nadhan Zelensky anawaamsha Africa kumtambua aduni Putin
 
Awache usanii wake na kututisha.Sisi si watoto wadogo.Tuna ardhi za rutba zinazoota kila kitu kama za kwake.Apigane mwenyewe.Sisi hatutaki ugomvi wake wa kijinga.
 
Ngoja tuone[emoji13][emoji13][emoji13]
Huyu kenge atuache
Ila nauliza hv bibi zangu wa Kenya waliwakilishwa nanani
Maana walikua waongeaji wazur sana kama watatoa sapot yakutoosha vile
Au nawao walialikwa na baloz washina akaenda kutikisa matakle
Kama walivyoambiwa na KREMLIN
 
Hii koment ukiiona inasambaa huko social media kwengne inasambaa usiulize aloisambaza MKUU
Kiufupi UKRAINE waendelee kufa kwa Dozen ili wajue machungu wanayosababishiwa ndugu zetu Kongo Sudan Libya nakwengineko Afrique kote
Bila kusahau madhila wapitiayo IRAQ SYRIA LEBANON PHALESTINE
Kwakweli waache wafe ingawaje ukweli mchungu wanakufa wasio hatia tena kwenye ardhi yakwao
RUSSIA TAIFA TEULE
 
Pamoja na matokeo haya bado kuna watu Africa wanaishabikia Russia na Putin kuivamia Ukraine., waafrika wengi wamelala usingizi wa pono katika hili nadhan Zelensky anawaamsha Africa kumtambua aduni Putin
Tena kazidi kutufanya tumsapot Kamanda PUT IN
Aende akawaambie NATO waingie wapeleke majeshi kama LIBYA sisi Waafrika tuliowengi hatumsapoti
Yeye ndio kalala naanazidi kulala kwaupuuzi wake
PUT IN nyoosha haswa hio PUNDA
 
tumekwambia hivo sisi ?

Rais wa kwanza anayevuta bangi ndiye huyu sasa
 
Anajipendekeza kenge huyo wakati wanaokoa raia wao walikua wanatubagua Waafrika
 
Unawachukia America wakati Kama wasingekuwa wao hata hapa husingebwabwaja, mkeo anategemea kupata chanjo ya Bure ya Kansa ya mlango wa kizazi, mtoto wako atapata bure chanjo za Surua, polio, pepopunda, saver za JF Ni za US, afu unabwabwaja,,, ng'ombe
Aliyekwambia marekani wanatoa hizo chanjo bure ni nani?...acha kuwasifia wanyonyaji hao.. We unajua ni utajiri kiasi gani wanaoiba huku afrika kila mwaka..magonjwa mwengi yanatoka kwao hukohuko wewe wanakufanya kuwa teja..ukikuta mtu anawapenda marekani kuna mawili au hajui kabisa historia ya hao watu ya uovu mwingi wanoufanya kwa mtu mweusi au ndio wale malcom x aliokuwa anawaita house negro yaani ni mtumwa anayenufaika na mateso ya watu wake mwenyewe ili kumfurahisha bwana wake (slave master)

Sent from my LG-M200 using JamiiForums mobile app
 
[emoji1787][emoji1787][emoji1787]nchi 55 lakini viongozi wanne tu jamani khaa, zele kachokwa mazima.
[emoji38][emoji38][emoji38] this time African leaders wamechoka kutumika as toilet paper
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…