Zelensky: Vita ya Urusi imefanya Afrika kuwa "Mateka"

Hajui anachoongea huyo...shida ni hizi movie za hollywood wanaona kana mmarekani ni mungu wao....hawajui kama leo ikitokea marekani na washirika wake wakapotea chance ya dunia kuwa sehemu salama ni kubwa


Sent from my LG-M200 using JamiiForums mobile app
 
Nani katekwa?, Miji yake kutekwa anasema Africa imetekwa, sisi tulishatekwa miaka kibao ni sehemu yetu ya maisha, ajinasue yeye mwenye sisi atuache.
[emoji38][emoji38][emoji38][emoji38]
 
Msumbiji pale kuna machafuko makubwa na mauaji Yana endelea sijawahi kusikia hata wakitafuta namna ya kuikomboa msumbiji ila kwakuwa this time around wazungu Wana kong'otwa wao Wana taka tuwaunge mkono .. period. Blood faken
 
We jamaa lazima umeangukiwa na kitu kizito.....unasema marekani anatoa hela nyingi ili vita ziishe? Au umekosea kutype umweahi kujiuliza anaewafadhili hao magaidi ni nani?, matoyota mapya tena new model nan supplier wao?.anayengoza kuhalibu nchi nyingi na kuziingiza kwenye machafuko ni nan(libya congo iraq Afghanistan n.k) . nenda kajifanyie uchunguzi kwanza kabla ya kuongea usiyoyafahamu

Sent from my LG-M200 using JamiiForums mobile app
 
Huyu mwamba kapambana kinoma.Ni muda tokea vita ianze,nashangaa hata kama anao uwezo wa kuitisha mkutano.Kwakweli ni mwamba,hivi bado yuko nchini mwake?
 
Maandamano makubwa Mjini Brussels.

Waandamanaji waingia barabarani za jiji wakiwa na bendera za vyama vya wafanyikazi, wakipinga ongezeko la bei ya mafuta na umeme, iliyochochewa na vikwazo. "Pesa ni kwa mishahara, sio kwa vita.Komesha NATO!" kauli mbiu za waandamanaji.[emoji116] https://t.co/AjTql9xvBG
 
viongozi wa Africa ni waoga sana
Nashangaa eti wanne tu ndio walimsikiliza
Huu ni ushahidi kuwa viongozi wa kiafrika hawathamini freedom of expression

Fikiria kama kumsikiliza Raisi mwenzao wanajizuia sembuse raia wao
Kwani wangemdikiliza wangeumwa malaria?
 
Huyo Zenkily sijui nani' atukome kabisa hatutegemei chakula chao, asitafute huruma kwetu ili aungwe mkono na upuuzi wake, acha wafe na sisi tunapambana hali zetu,
Tanzania inategemea sana Ukraine kwenye chakula

Tanzania Imports from Ukraine of Wheat and meslin was US$41.07 Million during 2021, according to the United Nations COMTRADE database on international trade.​

 
Ukrain alikua na majeshi ya kulinda amani congo vita ilivyo anza wakaitwa wote
 
Alipeleka majeshi DRC KONGO Hakuna wanalolifanya, wanakimbia risasi na KUNUNUA madini kwa uranguzi.
Natamani conference ya Vladimir Putin, Africa.
 
Hatakiwi kuondoka madarakani, anatakiwa kujionea nguvu ya Jeshi la Urusi alinganishe na Nguvu za Mashoga zaidi ya 50 wanaomsaidia.
Binafsi siungi mkono West sababu za itikadi zao za ushoga,
Wakati MSAAFU NA BIBLIA, MAANDIKO YANAKATAZA KUSHIRIKI VITENDO HIVYO VICHAFU.
 
Nashangaa eti wanne tu ndio walimsikiliza
Huu ni ushahidi kuwa viongozi wa kiafrika hawathamini freedom of expression

Fikiria kama kumsikiliza Raisi mwenzao wanajizuia sembuse raia wao
Kwani wangemdikiliza wangeumwa malaria?
Wamsikilize nn wakati kajitakia
 
Chakula cha Urusi na Mbolea vyaondolewa kwenye vikwazo - EU [emoji36][emoji36][emoji36].

"Yeyote anayetaka kununua chakula cha Kirusi na mbolea anaweza kufanya hivyo kwa uhuru na bila hofu ya vikwazo", Mkuu wa Sera ya Kigeni wa Umoja wa Ulaya, Josep Borrell.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…