Hatujasema wote ni masikini ila wengi wao maisha yao ya kawaida sana na hawawezi kufanya chochote outside worldMimi ni academician, I teach so najua mabosi wangu walivyo na ukwasi ila tu hawapendi makubwa ila pesa tu kama pesa wanazo hasa wanaofanya consultancy.
Wanafunzi wa PhD tu wakiwa field siku moja kukusanya data ni laki 1 nje ya gharama za malazi na chakula. Sembuse professor.
Naomba uingie Twitter kuna mdada anaitwa Dokta Neema mduma (PhD) "Nakadori" naomba uangalie maisha yake ndio utaelewa nachosema maana anapost mpaka pesa anazopewa kwenye research funding
Hii ni kweli ndio maana nikasema wao ni washauri sio watendaji. Mfano mimi sina working experience nimesoma nadharia na mie nazifundisha cha ajabu sijawahi kumiliki biashara ila nafundisha biashara!!hawawezi kufanya chochote outside world
Well saidHii ni kweli ndio maana nikasema wao ni washauri sio watendaji. Mfano mimi sina working experience nimesoma nadharia na mie nazifundisha cha ajabu sijawahi kumiliki biashara ila nafundisha biashara!!
Having said that hela tunatoa kwenye consultancy hasa za NGOs ila sio ku manage biashara yoyote.
Kwenye KIOTA kama ndege! 😂🤣😅Sasa hio nayo ni akili? Badala ajenge kwake anaona fahari kuishi kwenye apartment?🤣
Tabia za kimaskini ungemuuliza reginald mengi na jitu patel kwa nini wanakaa kwenye apartmentsKwenye KIOTA kama ndege! 😂🤣😅
Professor of Nuclear power in Agriculture buildingNdio nani??
Prof Lipimbwa... Kama Profweza akiamua kujikita Katika media na kujitoa ufahamu mimi sina shaka kwamba atawazidi hao kina Zembwela kwa kiwango cha lami dhidi ya changalawe!
Yawezekana, ila sidhani, kabisa kabisa...Pamoja na kuwa na Elimu za Kuunga-unga Zembwela na Manara Wana maisha decent kuliko Maprofesa hapo SUA na kwingineko nchini
Serious bro! Yaani una angalia hao watu wawili, unasema wapo vzr kuliko maprofesa wote!Pamoja na kuwa na Elimu za Kuunga-unga Zembwela na Manara Wana maisha decent kuliko Maprofesa hapo SUA na kwingineko nchini
Profesa aliyetoa ushahidi mahakaman London?Pamoja na kuwa na Elimu za Kuunga-unga Zembwela na Manara Wana maisha decent kuliko Maprofesa hapo SUA na kwingineko nchini
Huwajui ma Prof wewe nyamaza. Halafu usidhani kila mtu motivation yake ni pesa. Hapo ndipo mnapokoseaPamoja na kuwa na Elimu za Kuunga-unga Zembwela na Manara Wana maisha decent kuliko Maprofesa hapo SUA na kwingineko nchini
Sasa Prof afanye biashara ili iweje wakati wanafanya projects za mamilioni? Yaani aache projects za kusafiri nje ya nchi kila mwezi anakula maisha, aje kukimbizana na biashara za uchuuziHakuna kitu kama hicho mtoe hata professor wa uchumi mpe biashara kama ataweza kufanya kama kishimba au bakhressa , maprofessor wengi ni bookworm ukiwatoa kwenye kufundisha huwa hata social life zao za shida sana
Jamaaa hajui kama academocian wana maisha makubwa sana na utajiriTatizo social media ndio mnaona success wapo maprofessor kibao UDSM wana hisa kwenye makampuni malubwa, wanamiliki real estates n.k ila kwakuwa hawana fujo basi unadhani hawana hela.
Wanapenda kujifariji, akasome ripoti za CAG hao academicians wanalipana maposho ya mabilion kufanya "upembuzi yakinifu".Jamaaa hajui kama academocian wana maisha makubwa sana na utajiri
Kwenye mitandao ya kijamii kweli wana maisha mazuri
Kabisa ma prof wanatengeneza pesa sanaWanapenda kujifariji, akasome ripoti za CAG hao academicians wanalipana maposho ya mabilion kufanya "upembuzi yakinifu".