Zembwela/ Manara Wana maisha mazuri kuliko Profesa wa Tanzania

Zembwela/ Manara Wana maisha mazuri kuliko Profesa wa Tanzania

Mimi ni academician, I teach so najua mabosi wangu walivyo na ukwasi ila tu hawapendi makubwa ila pesa tu kama pesa wanazo hasa wanaofanya consultancy.

Wanafunzi wa PhD tu wakiwa field siku moja kukusanya data ni laki 1 nje ya gharama za malazi na chakula. Sembuse professor.

Naomba uingie Twitter kuna mdada anaitwa Dokta Neema mduma (PhD) "Nakadori" naomba uangalie maisha yake ndio utaelewa nachosema maana anapost mpaka pesa anazopewa kwenye research funding
Hatujasema wote ni masikini ila wengi wao maisha yao ya kawaida sana na hawawezi kufanya chochote outside world
 
hawawezi kufanya chochote outside world
Hii ni kweli ndio maana nikasema wao ni washauri sio watendaji. Mfano mimi sina working experience nimesoma nadharia na mie nazifundisha cha ajabu sijawahi kumiliki biashara ila nafundisha biashara!!

Having said that hela tunatoa kwenye consultancy hasa za NGOs ila sio ku manage biashara yoyote.
 
KAMA ULIKUWA HUJUI BASI CHUKUA HII.

KANUNI MOJA YA WATU WALIO FANIKIWA,NI KUTO JITAMGAZA NA KUTOKUWEKA WAZI MIPANGO YAO.
KATIKA KUNDI LA WATUMISHI WALIO WEKEZA SANA HAPA TANZANIA NI HAO MAPROFESA.
WENGI WAMEWEKEZA KWENYE VITEGAUCHUMI VYA MALI NYINGI KULIKO HAO UNAO WASEMA WEWE.

HAO WATU NI MATAJIRI WAKUBWA, SEMA WENYE AKILI HABA HAWACHELEWI KUSEMA MAFISADI.
KUNA PROFESA MMOJA ANA NYUMBA ZA KUPANGISHA 75 NINAZOZIJUA, APPARTMENTS ZA MAANA PUGU, KIGAMBONI, TEGETA, MBWENI, BAGAMAOYO,NA SASA ANAJENGA KULE NJEDENGWA DODOMA
 
Pamoja na kuwa na Elimu za Kuunga-unga Zembwela na Manara Wana maisha decent kuliko Maprofesa hapo SUA na kwingineko nchini
Yawezekana, ila sidhani, kabisa kabisa...
Ila kama wataka UTAJIRI kama wa Manara au Zembwela kuwa CHAWA ndugu, utatajirika mpaka watakushangaa..
Gharama zake? Uwe tayari kuwa kuwadi, uwe mropokaji, uwe shoga, usitumie akili unapotakiwa kufanya lolote, uwe tayari kutetea ujinga, ufisadi, wizi na uporaji...
Mbona rahisi sana sana...
 
Hakuna kitu kama hicho mtoe hata professor wa uchumi mpe biashara kama ataweza kufanya kama kishimba au bakhressa , maprofessor wengi ni bookworm ukiwatoa kwenye kufundisha huwa hata social life zao za shida sana
Sasa Prof afanye biashara ili iweje wakati wanafanya projects za mamilioni? Yaani aache projects za kusafiri nje ya nchi kila mwezi anakula maisha, aje kukimbizana na biashara za uchuuzi
 
Akili ndogo zinavyowaza, majuu kuna Eron musk, bill gates, vile vile kuna P didy na 50 cents!
Na kuna maprofesa na wanasayansi wanaopereka satellite anga za mbali! Wote hao w anafsnya dunia iende mbele! Akili za kijana wa bongo, akiona chawa mmoja, alieajiliwa, anaendesha ka arteza, au haria anashinda baa weekend, anaona huyo ana maisha Bora kuliko maprofesa wa kilimo SUA, ma profesa bingwa wanaofanya medical operation za life changing, au ma academia, wanaokuja na research za kuangsmiza magonjwa kama ndui, pepopunda, nk,
Tafsiri ya maendeleo inatofautiana bro! Wengine wanaridhika na basic needs, richa ya kwamba wanatoa mchango mkubwa kwenye jamii, hv Nyerere, Mandela, na Prof chachage na Bakhersa na dangote nani tajiri!
 
Back
Top Bottom