Hatujasema wote ni masikini ila wengi wao maisha yao ya kawaida sana na hawawezi kufanya chochote outside worldMimi ni academician, I teach so najua mabosi wangu walivyo na ukwasi ila tu hawapendi makubwa ila pesa tu kama pesa wanazo hasa wanaofanya consultancy.
Wanafunzi wa PhD tu wakiwa field siku moja kukusanya data ni laki 1 nje ya gharama za malazi na chakula. Sembuse professor.
Naomba uingie Twitter kuna mdada anaitwa Dokta Neema mduma (PhD) "Nakadori" naomba uangalie maisha yake ndio utaelewa nachosema maana anapost mpaka pesa anazopewa kwenye research funding