Ziara hii ya Waziri Mkuu mbona haina utulivu?

Tuna msemaji wa serikali, Tuna Waziri wa Habari na Waziri mkuu ndie msemaji mkuu. Tusikubali kupokea taarifa za vichochorini hao Ndio wasemaji wa Taifa hili. Tuna mengi ya kujenga nchi yaliyo mbele yetu . Ni aibu na fedheha kukaa kwenye mitandao na kufanya kazi Za uganga wa kienyeji kutabiria wengine mauti. Tanzania moja inaanza. na wewe na Tanzania ya mgawanyiko pia inaanza na wewe. Chagua UMOJA kuleta nguvu Kwa Taifa
 
Kuna Watu wamesafiri na Mingoma yao ya Kinyakyusa toka uko vijijini kwa ajiri ya kumpokea Waziri Mkuu na mara hawezi kuja ...we naibu sipika warudishe haraka wazee wetu na mingoma yao.
 
Tupo hapa makanyagio makaburini tulikuwa tunachimba kaburi na kwenye saa nne tulikuwa tumemaliza sasa tumekaa tunapiga story Tunasubiri kipimo cha sanduku na kuna shabiki wa jiwe akaanzisha story za kumuongezea jiwe mitano tena baada 2025 ghafla mwenye kipimo cha sanduku akaja na kipimo na ndoo mbili. Za msosi wa waliokuwa wanachimba kaburi mwenye kipimo baada kuangalia kaburi akatwambia tuongeze tena kuchumba futi nane maana wafiwa wametuongezea ndoo moja ya msosi
Shabiki wa jiwe akaangalia ndoo kuona ni wali wa Maji na pilau akashika sululu akaingia kuchimba hizo futi nane mpya
 

Mnachimba kaburi au shimo la choo mkuu
 
Tumebaki na MITANDAO tu ambayo angalau inathubutu kuhoji, kutoa mawazo mbadala, inakosoa, hayo mnayofanya serikali. BUNGE mmeua. Limekuwa NEC ya CCM. Vyombo vya habari mmevikaba koo. Vingine vimejifia kimyakimya. Upinzani ni kama haupo. Sasa mnatuwinda mitandaoni. Baadaye iweje?
 
Niko naskiliza TBC leo tangu asubui natamani naskie habari njema hata ya uchumi wa kati
 
Niko naskiliza TBC leo tangu asubui natamani naskie habari njema hata ya uchumi wa kati
Sijui kwa nini siku za hivi karibuni nmekuwa na ham sana ya kutazama TBC.

Nisipokuwa nyumban, lazima nisikilize tbc taifa kwa phone....

Ata Sjui kwa nini yaani
 
Huwezi elewa kwa nini imekua hivyo... itifaki imezingatiwa...
 

Inasikitisha. Huyu ndege kule kwa mabeberu anatumika kama alama ya hekima na busara. Taasisi kadhaa za great thinkers zimemuweka kwenye nembo zao.

Huku kwetu bongo, anatumika kupigia ramli chonganishi! Tusahau kabisa maendeleo ya viwanda na uchumi wa kati! [emoji15]
 

Kila nchi na tamaduni zake boss akili mgando hiyo.
 
Ila huyu kigogo anapiga spana kubabake... Anawavuruga ccm hawana hamu naye
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…