mkuu wa kijiji
JF-Expert Member
- Apr 7, 2017
- 966
- 1,052
Tuna msemaji wa serikali, Tuna Waziri wa Habari na Waziri mkuu ndie msemaji mkuu. Tusikubali kupokea taarifa za vichochorini hao Ndio wasemaji wa Taifa hili. Tuna mengi ya kujenga nchi yaliyo mbele yetu . Ni aibu na fedheha kukaa kwenye mitandao na kufanya kazi Za uganga wa kienyeji kutabiria wengine mauti. Tanzania moja inaanza. na wewe na Tanzania ya mgawanyiko pia inaanza na wewe. Chagua UMOJA kuleta nguvu Kwa Taifa