Ziara hii ya Waziri Mkuu mbona haina utulivu?

Hii serikali ni kituko, watangaze nini kinaendelea wananchi watulie
 
Meno ya mbwa yameumana huko Lugalo. Baadaye jioni tunajiandaa kumpokea hapa airport ya Dar
Kama tumefikia hatua ya kusema haya ni wazi tuko na shida, chuki, ubinafsi,wivu wa kijinga na ukosefu wa adabu wenye usio na utu.
Ugreat thinker ni Hekima ya kusaidia, kuwatakia wengine mema na kuheshima utu hata kama hupendi kufanya hivyo, lakini pia ni busara kukaa kimya/kusema na moyo wako kabla ya kutenda.
 
Uliona Alphonce Mawazo alivyouwawa?
 
Wakati ukuta. Soma alama za nyakati
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…