Meno ya mbwa yameumana huko Lugalo. Baadaye jioni tunajiandaa kumpokea hapa airport ya Dar
Msafara wa Waziri Mkuu wiki hii hapa Iringa umekuwa si wa kawaida.
Si wa kawaida kwa kuwa tumezoea viongozi wa kitaifa wakianza Ziara kwa Mkoa fulani, huifanya yote mpaka imalizike.
Lakini nahisi waliopanga Ziara ya Waziri Mkuu kwenye Mkoa wa Njombe hawajaipanga kiumakini.
Juzi Waziri Mkuu alipita hapa ikisemwa anatokea Njombe kwenda Dodoma. Jana alipita tena ikisemwa anatokea Dodoma kwenda Njombe kuendelea na Ziara ya Mkoa wa Njombe.
Leo inaonesha alitakiwa awe Manda bandarini huko Ludewa, na inasemwa kuwa watu walikuwa tayari wamekusanyika ,lakini tena inasemwa anarudi tena Dodoma.
Nani ameipanga hovyo hii Ziara ya Mheshimiwa Waziri Mkuu kiasi kwamba inaonekana haina utulivu?
Anayesebabisha huo upumbavu ni huyo jamaa yenu anayejiita Jiwe na kuwaambia wenzie waache mavi nyumbani hadharani. The most stupid president ever!! Na hilo linalosemwa kama ni kweli basi na iwe hivyo.Hivi nyie watu mbona mna Mambo ya ajabu sana ni kwa nini mnatia hasira nyie kwa hiyo mnataka kumpangia waziri mkuu nia yenu ni nini maana naona sijui mnataka kusikia Tanzania imekuwa ya ajabu sana hii miaka.
Aheri hata wewe umeleta Tumaini kidogo tofauti na wengi wetu kuzua tafrani kwa interestNimeongea na waziri mmoja ambaye ni classmate wangu. Tulikuwa na maongezi ya kinyumbani tu ila nikaingiza udadisi wa hili swala la afya ya magufuli. Waziri anasema magufuli ni mzima kabisa ila kwa sasa hivi yuko kwenye mfungo ambao ameuchukulia kwa nguvu sana kutokana na mambo mbalimbali yanayoikumba nchi kwa kipindi hiki. Ila huwa anakutana na mawaziri kwa nyakati mbalimbali, wala hayuko Chato bali yuko Ikulu
Acha hasira Mzee, Meko hatunaye[emoji23][emoji23]Wewe utaishi milele sio
Mafanta
Ikulu ipi? Chamwino? Chato? Magogoni?Nimeongea na waziri mmoja ambaye ni classmate wangu. Tulikuwa na maongezi ya kinyumbani tu ila nikaingiza udadisi wa hili swala la afya ya magufuli. Waziri anasema magufuli ni mzima kabisa ila kwa sasa hivi yuko kwenye mfungo ambao ameuchukulia kwa nguvu sana kutokana na mambo mbalimbali yanayoikumba nchi kwa kipindi hiki. Ila huwa anakutana na mawaziri kwa nyakati mbalimbali, wala hayuko Chato bali yuko Ikulu
Acha kushadidia vitu vidogo hivyo.Ww haujakaa iringa ukienda Dom unapita wapi wadhani
Tunaishi halafu tunaishiaView attachment 1724257
Kuna kitu kinawasumbuaMsafara wa Waziri Mkuu wiki hii hapa Iringa umekuwa si wa kawaida.
Si wa kawaida kwa kuwa tumezoea viongozi wa kitaifa wakianza Ziara kwa Mkoa fulani, huifanya yote mpaka imalizike.
Lakini nahisi waliopanga Ziara ya Waziri Mkuu kwenye Mkoa wa Njombe hawajaipanga kiumakini.
Juzi Waziri Mkuu alipita hapa ikisemwa anatokea Njombe kwenda Dodoma. Jana alipita tena ikisemwa anatokea Dodoma kwenda Njombe kuendelea na Ziara ya Mkoa wa Njombe.
Leo inaonesha alitakiwa awe Manda bandarini huko Ludewa, na inasemwa kuwa watu walikuwa tayari wamekusanyika ,lakini tena inasemwa anarudi tena Dodoma.
Nani ameipanga hovyo hii Ziara ya Mheshimiwa Waziri Mkuu kiasi kwamba inaonekana haina utulivu?
Mods gani?Mnhhh... Hii itakuwa kweli. Or else mods wangeshaiondoa.
Wanataka simu ziwe zikate motoNa umeme hakuna toka asubuhi
Kwani ukikua nae? Au kimada au pamewashaππ·Acha hasira Mzee, Meko hatunaye[emoji23][emoji23]
Wewe unamtetea jiwe huna maslai nae?Aheri hata wewe umeleta Tumaini kidogo tofauti na wengi wetu kuzua tafrani kwa interest
Huwa nawaza kwa sauti..utakuta Magufuli anapitia tweets za wabaya wake.Nimeongea na waziri mmoja ambaye ni classmate wangu. Tulikuwa na maongezi ya kinyumbani tu ila nikaingiza udadisi wa hili swala la afya ya magufuli. Waziri anasema magufuli ni mzima kabisa ila kwa sasa hivi yuko kwenye mfungo ambao ameuchukulia kwa nguvu sana kutokana na mambo mbalimbali yanayoikumba nchi kwa kipindi hiki. Ila huwa anakutana na mawaziri kwa nyakati mbalimbali, wala hayuko Chato bali yuko Ikulu
Tackle lako...Mods gani?
Pameniwasha mkuuKwani ukikua nae? Au kimada au pamewashaππ·
Bwasheee Muumba akupe maisha marefu majibu na maswali yako huwa yana nifikishaga sana!Umemuona akipita hapo Kihesa kurudi Dodoma?
Oh mara ikisemwa mara inasemekana sijui inasemwa sijui nini, blah blah tupu kama za mbelgiji Tundu.Msafara wa Waziri Mkuu wiki hii hapa Iringa umekuwa si wa kawaida.
Si wa kawaida kwa kuwa tumezoea viongozi wa kitaifa wakianza Ziara kwa Mkoa fulani, huifanya yote mpaka imalizike.
Lakini nahisi waliopanga Ziara ya Waziri Mkuu kwenye Mkoa wa Njombe hawajaipanga kiumakini.
Juzi Waziri Mkuu alipita hapa ikisemwa anatokea Njombe kwenda Dodoma. Jana alipita tena ikisemwa anatokea Dodoma kwenda Njombe kuendelea na Ziara ya Mkoa wa Njombe.
Leo inaonesha alitakiwa awe Manda bandarini huko Ludewa, na inasemwa kuwa watu walikuwa tayari wamekusanyika ,lakini tena inasemwa anarudi tena Dodoma.
Nani ameipanga hovyo hii Ziara ya Mheshimiwa Waziri Mkuu kiasi kwamba inaonekana haina utulivu?
Amina bwashee!Bwasheee Muumba akupe maisha marefu majibu na maswali yako huwa yana nifikishaga sana!
Jumamosi njema bwasheee
Mimi nipo hapa gangilonga nataka nishuke hapo kihesa jioni kwenye kahawa niulize kama kweli alipita kuelekea nduliNiko hapa Mkimbizi mbona sijamuona?