Ziara hii ya Waziri Mkuu mbona haina utulivu?

Msafara wa Waziri Mkuu wiki hii hapa Iringa umekuwa si wa kawaida.

Si wa kawaida kwa kuwa tumezoea viongozi wa kitaifa wakianza Ziara kwa Mkoa fulani, huifanya yote mpaka imalizike.

Lakini nahisi waliopanga Ziara ya Waziri Mkuu kwenye Mkoa wa Njombe hawajaipanga kiumakini.

Juzi Waziri Mkuu alipita hapa ikisemwa anatokea Njombe kwenda Dodoma. Jana alipita tena ikisemwa anatokea Dodoma kwenda Njombe kuendelea na Ziara ya Mkoa wa Njombe.

Leo inaonesha alitakiwa awe Manda bandarini huko Ludewa, na inasemwa kuwa watu walikuwa tayari wamekusanyika ,lakini tena inasemwa anarudi tena Dodoma.

Nani ameipanga hovyo hii Ziara ya Mheshimiwa Waziri Mkuu kiasi kwamba inaonekana haina utulivu?

๐Ÿ™„๐Ÿ™„
 
Hivi nyie watu mbona mna Mambo ya ajabu sana ni kwa nini mnatia hasira nyie kwa hiyo mnataka kumpangia waziri mkuu nia yenu ni nini maana naona sijui mnataka kusikia Tanzania imekuwa ya ajabu sana hii miaka.
Anayesebabisha huo upumbavu ni huyo jamaa yenu anayejiita Jiwe na kuwaambia wenzie waache mavi nyumbani hadharani. The most stupid president ever!! Na hilo linalosemwa kama ni kweli basi na iwe hivyo.
 
Nimeongea na waziri mmoja ambaye ni classmate wangu. Tulikuwa na maongezi ya kinyumbani tu ila nikaingiza udadisi wa hili swala la afya ya magufuli. Waziri anasema magufuli ni mzima kabisa ila kwa sasa hivi yuko kwenye mfungo ambao ameuchukulia kwa nguvu sana kutokana na mambo mbalimbali yanayoikumba nchi kwa kipindi hiki. Ila huwa anakutana na mawaziri kwa nyakati mbalimbali, wala hayuko Chato bali yuko Ikulu
Aheri hata wewe umeleta Tumaini kidogo tofauti na wengi wetu kuzua tafrani kwa interest
 
Nimeongea na waziri mmoja ambaye ni classmate wangu. Tulikuwa na maongezi ya kinyumbani tu ila nikaingiza udadisi wa hili swala la afya ya magufuli. Waziri anasema magufuli ni mzima kabisa ila kwa sasa hivi yuko kwenye mfungo ambao ameuchukulia kwa nguvu sana kutokana na mambo mbalimbali yanayoikumba nchi kwa kipindi hiki. Ila huwa anakutana na mawaziri kwa nyakati mbalimbali, wala hayuko Chato bali yuko Ikulu
Ikulu ipi? Chamwino? Chato? Magogoni?
 
Msafara wa Waziri Mkuu wiki hii hapa Iringa umekuwa si wa kawaida.

Si wa kawaida kwa kuwa tumezoea viongozi wa kitaifa wakianza Ziara kwa Mkoa fulani, huifanya yote mpaka imalizike.

Lakini nahisi waliopanga Ziara ya Waziri Mkuu kwenye Mkoa wa Njombe hawajaipanga kiumakini.

Juzi Waziri Mkuu alipita hapa ikisemwa anatokea Njombe kwenda Dodoma. Jana alipita tena ikisemwa anatokea Dodoma kwenda Njombe kuendelea na Ziara ya Mkoa wa Njombe.

Leo inaonesha alitakiwa awe Manda bandarini huko Ludewa, na inasemwa kuwa watu walikuwa tayari wamekusanyika ,lakini tena inasemwa anarudi tena Dodoma.

Nani ameipanga hovyo hii Ziara ya Mheshimiwa Waziri Mkuu kiasi kwamba inaonekana haina utulivu?
Kuna kitu kinawasumbua
 
Nimeongea na waziri mmoja ambaye ni classmate wangu. Tulikuwa na maongezi ya kinyumbani tu ila nikaingiza udadisi wa hili swala la afya ya magufuli. Waziri anasema magufuli ni mzima kabisa ila kwa sasa hivi yuko kwenye mfungo ambao ameuchukulia kwa nguvu sana kutokana na mambo mbalimbali yanayoikumba nchi kwa kipindi hiki. Ila huwa anakutana na mawaziri kwa nyakati mbalimbali, wala hayuko Chato bali yuko Ikulu
Huwa nawaza kwa sauti..utakuta Magufuli anapitia tweets za wabaya wake.

Kama ilivyokuwa kwa Kim wa Korea..CNN ikamchafua,Ila TRUMP akashtukia mchezo akaiambia dunia KIM ni mzima wa afya na atarudi kwenye shughuli zao.[emoji23][emoji23]
 
Msafara wa Waziri Mkuu wiki hii hapa Iringa umekuwa si wa kawaida.

Si wa kawaida kwa kuwa tumezoea viongozi wa kitaifa wakianza Ziara kwa Mkoa fulani, huifanya yote mpaka imalizike.

Lakini nahisi waliopanga Ziara ya Waziri Mkuu kwenye Mkoa wa Njombe hawajaipanga kiumakini.

Juzi Waziri Mkuu alipita hapa ikisemwa anatokea Njombe kwenda Dodoma. Jana alipita tena ikisemwa anatokea Dodoma kwenda Njombe kuendelea na Ziara ya Mkoa wa Njombe.

Leo inaonesha alitakiwa awe Manda bandarini huko Ludewa, na inasemwa kuwa watu walikuwa tayari wamekusanyika ,lakini tena inasemwa anarudi tena Dodoma.

Nani ameipanga hovyo hii Ziara ya Mheshimiwa Waziri Mkuu kiasi kwamba inaonekana haina utulivu?
Oh mara ikisemwa mara inasemekana sijui inasemwa sijui nini, blah blah tupu kama za mbelgiji Tundu.
 
Back
Top Bottom