Ziara hii ya Waziri Mkuu mbona haina utulivu?

Ziara hii ya Waziri Mkuu mbona haina utulivu?

Kama siyo Passed like shadow huenda ni Candle in the wind
 
Mi nilipomsikia Ndugu Kasimu anadai kaongea na Rais kwa simu sio kumuona nilipata mashaka zaidi
 
1615665793657.png
 
Wiki ijayo Mkuu anapiga ziara Dodoma kalieni Uzumbukuku tu. Baada ya kutafuta hela upo busy kuangalia msafara.
 
JF ya siku hizi imeshushwa thamani na hizi nyumbu asee, hakuna la kujifunza tena

No facts, ni uzushi uongo na matusi tu asee

Bahati mbaya mods wapo.
 
Back
Top Bottom