Ziara ya Rais kwenye nchi moja (US) kwa zaidi ya siku 5 haina tija. Muda mwingi wapo "idle" hotelini

Wivu tu na chuki. Unasumbuka sana Rais Samia. Yule mtu wenu katili aliondolewa na Maksud na Mungu. Na tukaletewa mama.

Stop at once this reckless bitterness of yours!

Sauh'waaa
 
Rais na msafara wake wanakuwa redundant kwenye nchi ya kigeni huku kodi za wananchi maskini zikiendelea kuteketea, kwa hiyo hayo masaa ya bure ni kuzurura huku na huko kufanya shopping maana miposho ni ya kumwaga tu.......
Unajali kodi wewee? Kodi zetu matrilion yameenda kwa uwanja wa ndege hovyo porini na kutapanywa kwa mahawara
 
Matàgaaaaa Mtaisoma mpaka huko UKENYENGE ndani ndani......
 
Watu wanakula kwa urefu wa kamba zao.

Ila Rais kwenda kukaa nje week nzima, hii ni hatari sana. tuombe hii project itick vinginevyo tutatafutana kuanzia mwakani.
 
Kazi ya Mula mula hiyo🤣🤣
 
Kimeumana
 
Aliyekwambia Kura zina maana yoyote tanzania ni nani?
 
Hata hicho kinachosubiriwa ni hopeless hakuna la maana. Kifupi nchi imeshamshinda ikibidi ajiuzulu mwenyewe au asubiri 2025 aondoke kwa aibu
ujasusi si kuchunguza tu maadui wa kivita bali hata uchumi.Je watalam hawa wamechunguza na kuona filam akirekodi rais nje ya nchi ndiyo itafana na kuleta matokeo chanya?Isije tukatumia hela nyingi mwisgo wa siku ikabaki makumbusho.
 
Watanzania hatuchukii mafisadi,, ila tunawaonea Wivu....tunatamani kuwa sisi.....

Chuki ni kwanini sio sisi... ndio maana tukipewa hvyo vyeo tunafanya kama wao.

Na hili ndio jipu linalotakiwa kutumbuliwa,,kila mtu ajitumbue... hapo maendeleo yatakuja...

Wenye dhambi, wanaochukia wenye dhambi wengine,, kwasabu wamefanya dhambi tofauti na dhambi yao
 
umezikosa hizo perdime za foreign bad shukuru na wewe rizk yako ipo.sio kilankitu kipite kwako waache wenzo nawo wajipatie memanyannch hiv unaijua raha unayoipata pale unapojaza dokezo la perdiyem ya nke wewe?kale kafeeling kale ? safar ziwe nying sana tena
 
Rais na msafara wake wanakuwa redundant kwenye nchi ya kigeni huku kodi za wananchi maskini zikiendelea kuteketea, kwa hiyo hayo masaa ya bure ni kuzurura huku na huko kufanya shopping maana miposho ni ya kumwaga tu.......
ndio hapa mmekalia loho mbaya na husda waechen wenzen
mola hupanga kwa kila mja
 
Kwa akili zako fupi,ndio umewaza hivyo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…