Pulchra Animo
JF-Expert Member
- Jun 16, 2016
- 3,718
- 3,465
Hivi rais anaweza kuwa kwenye nchi ya watu halafu asionane na rais wa nchi hiyo inawezekana kweli? Rais wetu ameonana na Beaden au ndio hana nafasi ya kumwona?
Ulalamishi usio wa msingi ulitaka akae siku mbili !!! tofauti yake ni nini hasa na siku tano kama hata kuna mikutano ya uwekezaji au world bank .... zote hizi zipo USMkuu wa nchi/serikali anayesafiri kwa mkakati haishii kukutana na msaidizi au wasaidizi wa mkuu wa nchi/serikali wa nchi mwenyeji. Uliona hata joint press conference yao jinsi ambavyo ilikuwa empty (haikuwa na cha maana)!
Ulalamishi usio wa msingi ulitaka akae siku mbili !!! tofauti yake ni nini hasa na siku tano kama hata kuna mikutano ya uwekezaji au world bank .... zote hizi zipo US
Pumba tupu kapumzike. Utamwelewa Raisi Samia baada ya miaka huko mbele hii imekuzidi upeo. Kama hujui biashara za kitaifa, mahusiano ya kitaifa na jinsi ya kuleta utalii nchini huwezi kumwelewa.Ulisoma na kuelewa nilichondika katika andiko langu la kwanza au ulirukia kujibu kabla ya kusoma na kuelewa?
dua ya mwewe hiyo mungu c wa kuchezewa anajuwa fika unyama alioufanya magufuli hapa duniani kwa hivyo mungu atamuweka anapostahilihata sijui hii report ya CAG ataiosoma saa ngapi na kutoa maamuzi saa ngapi!!!
alale pema peponi kamandaaaa!R.I.P ChumaJPM
Hata Blinken yuko busy sana,ana maswala mengi sana ya kimataifa ya kudeal nayo.huyo Hangaya labda aonane na mayor tu ndio size yake.Schedule ya Biden haiwezi kuwa na slot ya kuonana na gate crashers. Chief Hangaya hayuko pale kwa mwaliko wa U.S. Government. Ana bahati hata kuonana na VP Harris. Angeweza kuambulia kukutana na Blinken (U.S. Secretary of State) tu!
Pumba tupu kapumzike. Utamwelewa Raisi Samia baada ya miaka huko mbele hii imekuzidi upeo. Kama hujui biashara za kitaifa, mahusiano ya kitaifa na jinsi ya kuleta utalii nchini huwezi kumwelewa.
Na ngoma za wapemba wanaume wakikata viuno.Alafu akirudi anashangiliwa nakupokelewa kwa shangwe.
bila shaka anaangalia series za netflixNdugu zangu,
Mnamo tarehe 13.04.2022 Rais Samia amekuwa katika ziara nchini Marekani akiambatana na "delegation" kubwa sana ya watumishi wa serikali.
Kama Rais alipaswa aende US kwa mambo ambayo ni "specific " na sio kukaa huko akisubiri matukio.
Kuna udhaifu mkubwa kwa wizara ya mambo ya nje wanaoratibu ziara hizi, Rais anakosa cha kufanya akisubiri matukio ambayo yapo siku za mbele. Wao wanaangalia posho zao na sio tija ya ziara ya Rais.
Siku zaidi ya tano kwa Rais kuzuru nchi moja humfanya kuwa "iddle" muda mwingi asiwe na cha kufanya.
Ni matumaini yangu udhaifu huu utarekebishwa.
Hawana jema?Silku hizi sijui nimekuwaje,
Ninachukia sana WATU wanaoongea sana kama CHIRIKU.
Watu wenye MAONI na hoja KWENYE kila kitu. I HATE THEM TO THE CORE
Mmmh ila viongozi wa Kiafrika wakiwa wanaume Wana tabu sana hata wizi unakua mkubwa mana wanawekeza kwenye michepuko na watoto wengi wanaofichwa.Unajali kodi wewee? Kodi zetu matrilion yameenda kwa uwanja wa ndege hovyo porini na kutapanywa kwa mahawara
Anaunganishia na likizo yake kwani kuna ubaya gani?Hata hicho kinachosubiriwa ni hopeless hakuna la maana. Kifupi nchi imeshamshinda ikibidi ajiuzulu mwenyewe au asubiri 2025 aondoke kwa aibu.
Okay, posho zimeliwa Chato Ikulu ilipohamia kijijini mwezi mzima, hiyo inaifanya posho kuliwa Marekanu kuwa sawa?Watu walipokuwa wakienda kuishi Chato zaidi ya mwezi mmoja walikuwa hawalipwi?
Si ndio watoto wa mjini hao wazee wa kula bata hata Kikwete aliona urais ulikuwa unambana baadhi ya starehe zake ila tunajua alisafiri sana.Hata hajui kama anatangulizwa kwa mambo apendayo huku wajanja wafanye yao. Anapenda sana safari hizo sijui shida iko wapi?!
Hata akiwepo wanapiga mnooWenye nchi wamempangia hivyo ili madili yasukwe huku.