Ziara Ya Rais Samia Mkoani Tanga Itakuwa Ya Hisia Kali Sana na Nchi Itasimama. Kwa sababu ndio Mkoa aliotangazia Kifo cha Hayati Magufuli

Lucas Mwashambwa

JF-Expert Member
Joined
Jul 28, 2022
Posts
28,722
Reaction score
20,610
Ndugu zangu Watanzania,

Rais Wetu Mpendwa na Jemedari wetu kipenzi cha watanzania Mheshimiwa Daktari Mama Samia Suluhu Hasssan Mama wa shoka, chuma cha Reli, shujaa wa Afrika, jasiri muongoza njia, simba wa nyika, komandoo wa vita, nyota ya matumaini na nuru ya wanyonge anatarajiwa kufanya ziara ya kikazi mkoani Tanga kuanzia Tarehe 23 mwezi huu wa Februari.

Ni ziara ya kihistoria kwa Rais Samia na Mama yetu Mpendwa,Ni ziara ambayo itamkumbusha mambo mengi sana Mama yetu,ni ziara ambayo itagusa hisia na pengine kumbubujisha machozi ya huzuni ndani ya moyo wake ,ni ziara ambayo itakuwa na msisimuko wa kipekee sana,ni ziara ambayo itakuwa tofauti kabisa na ziara zote ambazo amewahi kuzifanya ndani na nje ya Nchi yetu tangia alipoapishwa kuwa Rais wetu na Amiri Jeshi Mkuu wetu wa Majeshi ya ulinzi na usalama.

Kwa sababu Tanga ndio Mkoa ambao Mama yetu Mpendwa Daktari Mama Samia Suluhu Hasssan.alitakiwa kwa mamlaka aliyopewa kikatiba na kisheria kulitangazia Taifa letu na Dunia nzima kwa ujumla wake Kuwa kwa masikitiko Makubwa sana na huzuni na uchungu wa hali ya juu sana kuwa Rais Daktari John Pombe Joseph Magufuli Amefariki Dunia na Hatunaye tenaa.

Kwa hakika hii ilikuwa ni siku nzito sana na ya giza zito katika moyo na Kifua cha Mama yetu Kabla yetu watanzania kupewa Taarifa hizo muda ule wa saa tano usiku. Hata mimi mwenyewe nilipokuwa nikitazama video ya Mama yetu akitangaza jambo hilo zito niliona wazi namna Moyo wa Mama ulivyo elemewa na kujawa na majonzi ,huzuni ,maumivu,uchungu na machozi yasiyokatika katika moyo wake.

Ni ujasiri na ushupavu wa kiuongozi alionao na aliojaliwa na Mwenyezi Mungu ndio uliowezesha Mama kumaliza kusoma taarifa ya kulitangazia Taifa taarifa hiyo ya majonzi na masikitiko katika Historia ya Taifa letu ya kuondokewa na Rais aliyepo madarakani.

Kwa hiyo kurejea kwa Mama yetu Mpendwa kwa mara ya kwanza na kuingia ndani ya Mkoa wa Tanga katika ziara yake ya kikazi . Kutamkumbusha Mambo Mengi sana na kile kilichotokea kabla ya kutoa taarifa rasmi na namna moyo na mwili wake vilivyokuwa,,atakumbuka hali aliyokuwa nayo alipopewa taarifa hizo,itamkumbusha namna alivyojihisi pengine hata kuishiwa nguvu mwilini kabla ya kutokea mbele ya Camera kulitangazia Taifa.

Kwa hakika kibinadamu bila shaka ilikuwa ni siku ngumu sana kwa Mama yetu katika Historia yake tangia kuzaliwa kwake, ilikuwa ni siku chungu na yenye kila aina ya maswali yaliyomzunguka kichwani mwake. Hususani juu ya mzigo na msalaba mzito wa kulitumikia na kuliongoza Taifa letu uliokuwa mabegani Mwake kikatiba na kisheria.

Bila shaka Rais wetu alikuwa anawaza mambo mengi sana na kumzunguka kichwani Mwake kuwa ni nini kinakwenda kutokea sasa? Anaanzia wapi? Anaanza na nini? Anaanza na kauli ipi baada ya kuapishwa? Anatoa hotuba ipi kuwaunganisha,kuwafuta machozi na kuwafariji Watanzania ilihali naye anabubujikwa na machozi .lakini yeye sasa kama kiongozi anatakiwa sasa awafute machozi watu,kuwapa matumaini na aongoze njia yenye Mwanga na yenye kuonyesha Matumaini .

Bila shaka yalikuwa ni maswali juu ya maswali juu ya nani na nani afanye nao kazi na nani akae wapi na nani abakie wapi na nani akae pembeni yake na nani amsaidie kwenye hili na lile na lile.

Yalikuwa ni maswali juu ya maswali yakimzunguka kichwani mwake juu ya kulivusha Taifa salama . Yalikuwa ni maswali juu ya nini cha haraka kifanyike na kutekelezwa kwa upesi.

Ndugu zangu Watanzania Ni mkoa ambao bila shaka hata hotuba ya kwanza ya Raisi wetu Mpendwa Mama Samia atakapotua ndani ya mkoa huo, itakuwa yenye msisimuko mkali sana na yenye kugusa hisia za wengi sana na itakayofuatiliwa Nchini kwote na ambayo itaacha alama katika mioyo ya mamilioni ya watanzania Nchini.

Ndio Maana nasema kuwa Ni ziara ambayo wewe mtanzania mwenzangu hupaswi kukosa kuifuatilia kupitia vyombo vya habari. Lakini kwa wana Tanga ni muhimu sana kumiminika na kufurika katika kumlaki na kumpokea shujaa wetu aliyelivusha Taifa katika nyakati zote ngumu .ambazo pengine wengine walifikiria pengine tusingeweza kuvuka au tungepasuka na kugawanyika Kama Taifa au Amani na utulivu wetu kuwa mwisho na kubakia historia.

Tuendelee kumuombea afya njema Rais wetu na nguvu za kuendelea kututumikia watanzania.tuendeleee kujinyenyekeza mbele za Mungu kila uchao Kabla ya kulala na baada ya kuamka asubuhi kumuomba Mungu amlinde ,kumtetea na kumpigania Rais wetu. Tukesheni Tukiomba kwa ajili ya Rais wetu Mpendwa.
Screenshot_20240809-222814_1.jpg

Kazi iendelee, Mama Ametufikia na kuwafikia watanzania kwa utumishi wake uliotukuka wa kugusa Maisha ya watanzania wanyonge wasio na Sauti.

Lucas Hebel Mwashambwa, Mama ANATOSHA kuendelea kuliongoza Taifa letu kwa muhula wa pili.
 
Hivi kumbe hajawahi kwenda tanga tokea msiba utokee.

Ajiangalie vizuri hio ziara.
 
Kwa hi
Ndugu zangu Watanzania,

Rais Wetu Mpendwa na Jemedari kipenzi cha watanzania Mheshimiwa Daktari Mama Samia Suluhu Hasssan Mama wa shoka, chuma cha Reli, shujaa wa Afrika, jasiri muongoza njia, simba wa nyika, komandoo wa vita, nyota ya matumaini na nuru ya wanyonge anatarajiwa kufanya ziara ya kikazi mkoani Tanga kuanzia Tarehe 23 mwezi huu wa Februari.

Ni ziara ya kihistoria kwa Rais Samia na Mama yetu Mpendwa,Ni ziara ambayo itamkumbusha mambo mengi sana Mama yetu,ni ziara ambayo itagusa hisia na pengine kumbubujisha machozi ya huzuni ndani ya moyo wake ,ni ziara ambayo itakuwa na msisimuko wa kipekee sana,ni ziara ambayo itakuwa tofauti kabisa na ziara zote ambazo amewahi kuzifanya ndani na nje ya Nchi yetu tangia alipoapishwa kuwa Rais wetu na Amiri Jeshi Mkuu wetu wa Majeshi ya ulinzi na usalama.

Kwa sababu Tanga ndio Mkoa ambao Mama yetu Mpendwa Daktari Mama Samia Suluhu Hasssan.alitakiwa kwa mamlaka aliyopewa kikatiba na kisheria kulitangazia Taifa letu na Dunia nzima kwa ujumla wake Kuwa kwa masikitiko Makubwa sana na huzuni na uchungu wa hali ya juu sana kuwa Rais Daktari John Pombe Joseph Magufuli Amefariki Dunia na Hatunaye tenaa.

Kwa hakika hii ilikuwa ni siku nzito sana na ya giza zito katika moyo na Kifua cha Mama yetu ,Kabla yetu watanzania kupewa Taarifa hizo muda ule wa saa tano usiku. Hata mimi mwenyewe nilipokuwa nikitazama video ya Mama yetu akitangaza jambo hilo zito niliona wazi namna Moyo wa Mama ulivyo elemewa na kujawa na majonzi ,huzuni ,maumivu,uchungu na machozi yasiyokatika katika moyo wake.

Ni ujasiri na ushupavu wa kiuongozi alionao na aliojaliwa na Mwenyezi Mungu ndio uliowezesha Mama kumaliza kusoma taarifa ya kulitangazia Taifa hiyo ya majonzi na masikitiko katika Historia ya Taifa letu ya kuondokewa na Rais aliyepo madarakani.

Kwa hiyo kurejea kwa Mama yetu Mpendwa kwa mara ya kwanza na kuingia ndani ya Mkoa wa Tanga katika ziara yake ya kikazi . Kutamkumbusha Mambo Mengi sana na kile kilichotokea kabla ya kutoa taarifa rasmi na namna moyo na mwili wake vilivyokuwa,,atakumbuka hali aliyokuwa nayo alipopewa taarifa hizo,itamkumbusha namna alivyojihisi pengine hata kuishiwa nguvu mwilini kabla ya kutokea mbele ya Camera kulitangazia Taifa.

Kwa hakika kibinadamu bila shaka ilikuwa ni siku ngumu sana kwa Mama yetu katika Historia yake tangia kuzaliwa kwake, ilikuwa ni siku chungu na yenye kila aina ya maswali yaliyomzunguka kichwani mwake. Hususani juu ya mzigo na msalaba mzito wa kulitumikia na kuliongoza Taifa letu uliokuwa mabegani Mwake kikatiba na kisheria.

Bila shaka Rais wetu alikuwa anawaza mambo mengi sana na kumzunguka kichwani Mwake kuwa ni nini kinakwenda kutokea sasa? Anaanzia wapi? Anaanza na nini? Anaanza na kauli ipi baada ya kuapishwa? Anatoa hotuba ipi kuwaunganisha,kuwafuta machozi na kuwafariji Watanzania ilihali naye anabubujikwa na machozi .lakini yeye sasa kama kiongozi anatakiwa sasa awafute machozi watu,kuwapa matumaini na aongoze njia yenye Mwanga na yenye kuonyesha Matumaini .

Bila shaka yalikuwa ni maswali juu ya maswali juu ya nani na nani afanye nao kazi na nani akae wapi na nani abakie wapi na nani akae pembeni yake na nani amsaidie kwenye hili na lile na lile.

Yalikuwa ni maswali juu ya maswali yakimzunguka kichwani mwake juu ya kulivusha Taifa salama . Yalikuwa ni maswali juu ya nini cha haraka kifanyike na kutekelezwa kwa upesi.

Ndugu zangu Watanzania Ni mkoa ambao bila shaka hata hotuba ya kwanza ya Raisi wetu Mpendwa Mama Samia atakapotua ndani ya mkoa huo, itakuwa yenye msisimuko mkali sana na yenye kugusa hisia za wengi sana na itakayofuatiliwa Nchini kwote na ambayo itaacha alama katika mioyo ya mamilioni ya watanzania Nchini.

Ndio Maana nasema kuwa Ni ziara ambayo wewe mtanzania mwenzangu hupaswi kukosa kuifuatilia kupitia vyombo vya habari. Lakini kwa wana Tanga ni muhimu sana kumiminika na kufurika katika kumlaki na kumpokea shujaa wetu aliyelivusha Taifa katika nyakati zote ngumu .ambazo pengine wengine walifikiria pengine tusingeweza kuvuka au tungepasuka na kugawanyika Kama Taifa au Amani na utulivu wetu kuwa mwisho na kubakia historia.

Tuendelee kumuombea afya njema Rais wetu na nguvu za kuendelea kututumikia watanzania.tuendeleee kujinyenyekeza mbele za Mungu kila uchao Kabla ya kulala na baada ya kuamka asubuhi kumuomba Mungu amlinde ,kumtetea na kumpigania Rais wetu. Tukesheni Tukiomba kwa ajili ya Rais wetu Mpendwa.View attachment 3242014

Kazi iendelee, Mama Ametufikia na kuwafikia watanzania kwa utumishi wake uliotukuka wa kugusa Maisha ya watanzania wanyonge wasio na Sauti.

Lucas Hebel Mwashambwa, Mama ANATOSHA kuendelea kuliongoza Taifa letu kwa muhula wa pili.
Kwa hiyo ilikuwa furaha kutangaza kifo Cha Rais Magufuli????? wewe ni jinga linaloishi. Chizi,mbwa na shetani. Wazazi wako waliuza ng'ombe kusomesha ng'ombe nyingine. Kufa haraka majinga yapungue nchini. Mungu chukua hili lishetani haraka lichome Moto liteketee kabisa
 
Magufuli alipokufa watu 45 walikufa kwenye mkanyagano wakiomboleza kifo chake, wakavunja uzio wa uwanja wa ndege kuikimbilia ndege iliyobeba mwili wake na kila mahali lilipopita jeneza walitandika nguo na kuweka matawi ya miti apite mkombozi wao Je Lucas huyu wa sara akifa watakufa wangapi wakimwomboleza ?
 
Jiulize ukifa kwanza wewe nini kitatokea. Maana naona unawaza kifo tu Utafikiri umejikatia tamaa ya maisha
 
Kwa hi

Kwa hiyo ilikuwa furaha kutangaza kifo Cha Rais Magufuli????? wewe ni jinga linaloishi. Chizi,mbwa na shetani. Wazazi wako waliuza ng'ombe kusomesha ng'ombe nyingine. Kufa haraka majinga yapungue nchini. Mungu chukua hili lishetani haraka lichome Moto liteketee kabisa
Una matatizo makubwa sana kichwani mwako. Mungu akusamehe sana na kukuondolea pepo lililo ndani yako linalokutumikisha.
 
Ndugu zangu Watanzania,

Rais Wetu Mpendwa na Jemedari kipenzi cha watanzania Mheshimiwa Daktari Mama Samia Suluhu Hasssan Mama wa shoka, chuma cha Reli, shujaa wa Afrika, jasiri muongoza njia, simba wa nyika, komandoo wa vita, nyota ya matumaini na nuru ya wanyonge anatarajiwa kufanya ziara ya kikazi mkoani Tanga kuanzia Tarehe 23 mwezi huu wa Februari.

Ni ziara ya kihistoria kwa Rais Samia na Mama yetu Mpendwa,Ni ziara ambayo itamkumbusha mambo mengi sana Mama yetu,ni ziara ambayo itagusa hisia na pengine kumbubujisha machozi ya huzuni ndani ya moyo wake ,ni ziara ambayo itakuwa na msisimuko wa kipekee sana,ni ziara ambayo itakuwa tofauti kabisa na ziara zote ambazo amewahi kuzifanya ndani na nje ya Nchi yetu tangia alipoapishwa kuwa Rais wetu na Amiri Jeshi Mkuu wetu wa Majeshi ya ulinzi na usalama.

Kwa sababu Tanga ndio Mkoa ambao Mama yetu Mpendwa Daktari Mama Samia Suluhu Hasssan.alitakiwa kwa mamlaka aliyopewa kikatiba na kisheria kulitangazia Taifa letu na Dunia nzima kwa ujumla wake Kuwa kwa masikitiko Makubwa sana na huzuni na uchungu wa hali ya juu sana kuwa Rais Daktari John Pombe Joseph Magufuli Amefariki Dunia na Hatunaye tenaa.

Kwa hakika hii ilikuwa ni siku nzito sana na ya giza zito katika moyo na Kifua cha Mama yetu ,Kabla yetu watanzania kupewa Taarifa hizo muda ule wa saa tano usiku. Hata mimi mwenyewe nilipokuwa nikitazama video ya Mama yetu akitangaza jambo hilo zito niliona wazi namna Moyo wa Mama ulivyo elemewa na kujawa na majonzi ,huzuni ,maumivu,uchungu na machozi yasiyokatika katika moyo wake.

Ni ujasiri na ushupavu wa kiuongozi alionao na aliojaliwa na Mwenyezi Mungu ndio uliowezesha Mama kumaliza kusoma taarifa ya kulitangazia Taifa hiyo ya majonzi na masikitiko katika Historia ya Taifa letu ya kuondokewa na Rais aliyepo madarakani.

Kwa hiyo kurejea kwa Mama yetu Mpendwa kwa mara ya kwanza na kuingia ndani ya Mkoa wa Tanga katika ziara yake ya kikazi . Kutamkumbusha Mambo Mengi sana na kile kilichotokea kabla ya kutoa taarifa rasmi na namna moyo na mwili wake vilivyokuwa,,atakumbuka hali aliyokuwa nayo alipopewa taarifa hizo,itamkumbusha namna alivyojihisi pengine hata kuishiwa nguvu mwilini kabla ya kutokea mbele ya Camera kulitangazia Taifa.

Kwa hakika kibinadamu bila shaka ilikuwa ni siku ngumu sana kwa Mama yetu katika Historia yake tangia kuzaliwa kwake, ilikuwa ni siku chungu na yenye kila aina ya maswali yaliyomzunguka kichwani mwake. Hususani juu ya mzigo na msalaba mzito wa kulitumikia na kuliongoza Taifa letu uliokuwa mabegani Mwake kikatiba na kisheria.

Bila shaka Rais wetu alikuwa anawaza mambo mengi sana na kumzunguka kichwani Mwake kuwa ni nini kinakwenda kutokea sasa? Anaanzia wapi? Anaanza na nini? Anaanza na kauli ipi baada ya kuapishwa? Anatoa hotuba ipi kuwaunganisha,kuwafuta machozi na kuwafariji Watanzania ilihali naye anabubujikwa na machozi .lakini yeye sasa kama kiongozi anatakiwa sasa awafute machozi watu,kuwapa matumaini na aongoze njia yenye Mwanga na yenye kuonyesha Matumaini .

Bila shaka yalikuwa ni maswali juu ya maswali juu ya nani na nani afanye nao kazi na nani akae wapi na nani abakie wapi na nani akae pembeni yake na nani amsaidie kwenye hili na lile na lile.

Yalikuwa ni maswali juu ya maswali yakimzunguka kichwani mwake juu ya kulivusha Taifa salama . Yalikuwa ni maswali juu ya nini cha haraka kifanyike na kutekelezwa kwa upesi.

Ndugu zangu Watanzania Ni mkoa ambao bila shaka hata hotuba ya kwanza ya Raisi wetu Mpendwa Mama Samia atakapotua ndani ya mkoa huo, itakuwa yenye msisimuko mkali sana na yenye kugusa hisia za wengi sana na itakayofuatiliwa Nchini kwote na ambayo itaacha alama katika mioyo ya mamilioni ya watanzania Nchini.

Ndio Maana nasema kuwa Ni ziara ambayo wewe mtanzania mwenzangu hupaswi kukosa kuifuatilia kupitia vyombo vya habari. Lakini kwa wana Tanga ni muhimu sana kumiminika na kufurika katika kumlaki na kumpokea shujaa wetu aliyelivusha Taifa katika nyakati zote ngumu .ambazo pengine wengine walifikiria pengine tusingeweza kuvuka au tungepasuka na kugawanyika Kama Taifa au Amani na utulivu wetu kuwa mwisho na kubakia historia.

Tuendelee kumuombea afya njema Rais wetu na nguvu za kuendelea kututumikia watanzania.tuendeleee kujinyenyekeza mbele za Mungu kila uchao Kabla ya kulala na baada ya kuamka asubuhi kumuomba Mungu amlinde ,kumtetea na kumpigania Rais wetu. Tukesheni Tukiomba kwa ajili ya Rais wetu Mpendwa.View attachment 3242014

Kazi iendelee, Mama Ametufikia na kuwafikia watanzania kwa utumishi wake uliotukuka wa kugusa Maisha ya watanzania wanyonge wasio na Sauti.

Lucas Hebel Mwashambwa, Mama ANATOSHA kuendelea kuliongoza Taifa letu kwa muhula wa pili.

Watamkumbuka mzee wao alio uwawa na wasiojulikana!!!. Mama kachuja sana huo ndiyo ukweli.
 
Chawa katika uchawa wako
 
Watamkumbuka mzee wao alio uwawa na wasiojulikana!!!. Mama kachuja sana huo ndiyo ukweli.
Rais Samia ni miongoni mwa wanawake mia moja wenye ushawishi zaidi Duniani. Ndiye kiongozi mwenye uwezo wa kuzungumza na akasikilizwa na Bara zima la Afrika na Dunia nzima kwa ujumla wake. Ndiye kiongozi aliyebeba matumaini na furaha ya watanzania
 
Back
Top Bottom