Ziara ya Rais Samia nchini Kenya, Mama anakosea

Mimi binafsi sioni shida ya hayo yote ulioyataja. Uhusiano kati ya taifa moja na jingine ni muhimu cha msingi ni kujali maslahi yenye usawa kwa manufaa ya raia wa hizo nchi. Cha msingi ni kuzitazama upya sera zetu za mahusiano na ushirikiano dhidi ya mataifa mengine ziwe zenye kuleta manufaa kwa umma. Wawekezaji sio shida au kuuza raslimali sio shida. Shida inakuja unauza kwa sababu gani? Tena kwa shilingi ngapi? Na nani mnufaika wa hayo mauzo? Je taifa limeridhia kufanya hayo mauzo? Taifa letu limekuwa likipigwa na wajanja wachache ambao sio wazalendo kwa taifa hili.
Dunia ya sasa ni ya ushindani na ukishindana unakwenda mbele ila usiposhindana wewe unakuwa hoehae. Cha msingi tuboreshe na tutekeleze sera mazubuti na safi katika sekta za elimu,viwanda,kilimo,usafirishaji na nishati.
 
Note: Mama washuri wake wamshauri vizuri kabla yakwenda kufanya mikataba kwa niaba ya Watanganyika. Otherwise akubali kutuachia Tanganyika yetu!
Hapa unamaanisha nini?
 
Nyie watu ni wajinga sana.
 
Hii gas ni ya waliogundua. Sio ya serikali kwa asilimia 100
Waliogundua ni kina nani na waligundua lini?

Rangi ya dhahabu/njano kwenye bendera yetu inawakilisha nini?
 
Ukisoma baadhi ya michango humu unabaki kujiuliza hivi hawa watu waneenda shule au walikuwa wanasindikiza wenzao ?
 
Unaikumbuka ile ahadi ya Tanzania ya viwanda? Iliishia wapi?
Unajua maana ya protection policy?
Kama ni hivyo basi Holland wasingekuwa wanauza gas yao kwa nchi majirani zake huko ulaya? Yaani nchi iache kushirikiana na majirani KISA kulinda gas???
 
Kama kura ingekuwa ndio inachagua viongozi usingeruhusiwa kupiga. Lakini kura yako ni tafrija tu mama hadi 2030

Sent from my vivo 1915 using JamiiForums mobile app
 
Nonesense ….. Wapinga kristo …..Wanaoteseka …..Wafuasi wa ……..
 
Mama Rais Samia Suluhu Hassan ametimiza kiu yetu ya muda mrefu ya kuona Kenya na Tanzania tukiishi kama Majirani na ndugu. Kenya ni kama Zanzibar tu hatuwezi kuikwepa.

Gas yetu imeka ardhini huko Mtwara ni wakati sasa iende Kenya na sisi tukafaidi njiani. Itakapopita kwenda Kenya kwenye njia Nzima Viwanda vitawekezwa na wananchi wetu watapata ajira.

Uganda wanaitaka pia itafuata Bomba hilo hilo la mafuta toka Tanga itaenda Uganda sisi tunakuwa na bidhaa mpya ya kuuza nje.

Jana amesema wazi tunakalia Uchumi ni wakati wa kuamka.

Rais Samia anataka tushurikiane na Kenya kwenye Utalii ni jambo kubwa mno tutapata watalii wengi sana kama wataweza kujua kwamba anaweza kupanda mlima Kilimanjaro na akaenda kufurahia Bahari kule Mombasa kwa kampuni ile ile

Sent from my vivo 1915 using JamiiForums mobile app
 
Mkuu pamoja na yote....wasiwasi wangu mkubwa ni jinsi tunavyopeleka natura gas kenya....wanaweza wakajenga kiwanda cha kuiprocess na kutuuzia tena huku tz....upuuzi huu hauvumiliki kwa kweli...

Issue za utalii...mambo ya free visa na mambo mengine ya biashara yatupasa kushirikiana nao kwa akili.....bora equal competition ukawepo na si unequal terms

Mfano issue ya ardhi...asilimia kubwa kenya ni ghali na haipo imemilikiwa....tofauti na Tz......hivyo kuna baadhi ya mambo hayatakiwi yaruhusiwe....kufanya hivyo ni kuuza nchi hii
 
Vipi wakiifanyia biashara na kuunza kuuza nje ya nchi kupitia mombasa port?...
 
Hatuna haraka....ni bora ikae kuliko kutumiwa isivyo....mbeleni huko yamkini tuta.............
 
Unaandika vizungu viiingiii ushuzi mtupu!

Monopolistik sijui manini nini!

Uhuru Kenyatta ni mjanja wa mjini yule.

Kashampiga bao Bibi SASHA.

Umesababisha nimecheka sana, ila mwenzako anakuambia ukweli haswa. Kwa mfano sisi huku tunauza maua kwenda Ulaya, haimaanishi ni yapo surplus kwetu.
 
Kuna wajinga wa CCM wameanza kampeni ya chini kwa chini eti Mama Samia awe Raisi wa Muhula mmoja na wanataka yule Waziri Mkuu Bogus awe Raisi
Tunasema hivi hatutaki kuwa Korea ya Kaskazini
Mkuu Imhotep, ni vyema tukawaambia mapema! Sote tunasema kwa mwendo huu wa Mama ni MITANO TENA. Wakulima wa Kaskazini Mashariki sote tupo kwa mama.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…