Ziara ya Rais Samia nchini Kenya, Mama anakosea

Unaandika vizungu viiingiii ushuzi mtupu!

Monopolistik sijui manini nini!

Uhuru Kenyatta ni mjanja wa mjini yule.

Kashampiga bao Bibi SASHA.
Usemavyo ni kweli kabisa, Uhuru Kenyatta mjanja sana, tena amefurahi kakubaliwa hoja zake kirahisi sana, yeye ndiye alipaswa afanye ziara nchini kwa mazungumzo kwa sababu yeye ndiye alikuwa muhitaji.
 
Kuna kiwanda cha Tiles Goodwill kipo hapo mkoa wa Pwani wilaya ya Mkuranga kata ya Nyamato kijiji cha Mkiu mbona kinatumia gas ya Mtwara.
 
Unadhani wanapenda kutumia mkaa?

Kwa sera za kisenge za kufukarisha wananchi za Jiwe nani angeweza kupata pesa ya kununua gas?

Uchumi wa watu unawekewa mazingira ndio maana mama anakomaa kujenga uchumi wa watu Ili wawe na purchasing power ya kufanya hayo ikiwemo kununua nishati salama.
 
Twendeni hivyo hivyo tu but AKIDI huwa zinatunzwa hata humu jf tunazitunza, siku ikifika tutazifukua makaburi.

Acha tuendelee hivi hivi the day has come 😁!.
 
Awamu ya ngapi hiyo ?
 
Jibu wewe uliifanyia nini? Au unafikiri yote tungetumia sisi bila kutafuta masoko??
Hoja nyepesi, viwanda si lazima viwe Dar tu, itengenezwe distribution network kwa nchi nzima halafu ndio lije swali la ULIIFANYIA NINI.

Peleka bomba magharibi watu wakatumie chillers kuhifadhi samaki, peleka kaskazini na kusini, weka provision kila mkoa, fanya makadirio ya matumizi yake, kisha tuambie tunao uwezo wa kuuza kwa nchi jirani baada ya kukidhi mahitaji yetu.

Kuna watu walitaka wazalishe umeme, serikali iwajengee transmission line ya kuupeleka umeme huo Kenya kwa mauzo, hiyo ni miaka 8 nyuma, na mwenye akili hiyo ni mtanzania kiongozi.
 
Urusi wanauza gesi nje kwa sababu wanayo ya ziada, kila mwananchi urusi na viwanda vyao wqnatumia gesi wakati huku sisi wenyewe hatutumii gesi sanasana imewekwa kwenye nyumba za wqfanyakazi wa TPDC
 
Kwani wakenya wqkinunua mazao wanatumia wao, maparachichi wanauza ulaya, mahindi wanauza Sudan kusini
 
Wewe usha wekeza huko? Au uko una implement Idea ya wanaume wenzako then unasema twende tukawekeze kenya
 
Kazi ya gesi si kupikia, kujaza Ac, pia kuna gari sasa hivi zinatumia gesi
Urusi wanauza gesi ulaya nzima na wanawauzia mpaka waliowazidi warusi kiuchumi ina maana waache kuwauzia halafu wakae nayo kwa faida gani.? Hayo mawazo ya kichoyo yanaonyesha tabia yako. Unakuta mtu anakataa kukodishia mwingine shamba kisha mwaka jana alivuna mazao mengi kuliko yeye na analiacha shamba linalala na kutengeneza msitu.
 
Kwa hiyo bidhaa zinazotoka nje kuja Tanzania huko nazo zimezalishwa za ziada ndio zimekuja huku kwetu Japan inaongoza kwa kuuza magari nje ya Nchi ila wapo wajep kibao tuu wapo na baiskel zao hawataki hata kujua kuhusu Raum ungekua wewe magari yauzwe Afrika na wewe hauna ungeandamana...
 
Kinacholalamikiwa ni viwanda vya ndani kunyimwa gesi halafu unaenda kumpa mtu wa nje, kwani ukatumia hata 1% tu ya ubongo wako, utapungukiwa na nini?
Kiwanda gani kimenyimwa gesi au unajisemea vitu usivyovijua??
 
Kwa taarifa yako gas tuliyonayo ni nyingi sana inakadiriwa kutumika kwa takribani miaaka miatano acheni roho mbaya za mwendazake kila alichokifanya yeye ndiyo kilionekana kizuri
 
Kama kuuza nje kutaingiza fedha za kigeni na kuleta faida zaidi kwanini isiuzwe nje, mi nashauri ipelekwe tu hata Israel
 
Wabongo tuache woga na maneno mengi, tufanye kazi kwa bidii, Kumnyima mwenzako rasilimali ambayo wewe huwezi itumia yote kwa hofu kwamba atakupiga gape ni akili za kimaskini.

Kama hiyo gasi tinashindwa kuitumia kwenye viwanda umesema bei ni juu bora uuze kuliko ikae tuu.

Sera yetu ya viwanda no sanaa tu ipo kwenye makaratasi tu hatujawahi kuwa serious.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…