road master
JF-Expert Member
- Jun 11, 2020
- 2,064
- 3,021
Muongo weweTanzania ghafla inakuwa nchi ya ajabu ni aibu kubwa sana
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Muongo weweTanzania ghafla inakuwa nchi ya ajabu ni aibu kubwa sana
Heri kuongozwa na Mwanamke mwenye busara kuliko mwanamume mpumbavuMwanamke huongozwa na mwanaume!eti leo hi mwanamke anaongoza wanaume zaidi ya milion,kadili muda unavyozidi kwenda tutegemee kufeli zaidi
Wewe hujui lugha kama mwendazakeUnaandika vizungu viiingiii ushuzi mtupu!
Monopolistik sijui manini nini!
Uhuru Kenyatta ni mjanja wa mjini yule.
Kashampiga bao Bibi SASHA.
Kunywa pepsi nakuja lipaKwani ulisikia Samia katoka Kolomije? Naye ni wa mjini kuliko Kenyatta kwahiyo ngoma droo. Aliyekuwa wa shamba now anaongoza malaika huko nchi ipo kwa mtoto wa mjini sasa hivi.
Tuna simama na mama Samia !!! Mama shupavu ,Mama mjanja ,Mama mstaarabu Misukuma tupa kuleeee chooniHilo liswahili lako limeshapigwa!
Chezea Kenyatta wewe!
He is a business-oriented politician, sio kama huyo kikongwe wa pwani.
Ndio maana wakenya wanamchekea usoni na kumzoza kisogoni maana wanajua wameshapata GOIGOI la kulichuna.
Hapo hapo wajinga hawaelewiUZI WA VILAZA HUU,WENYE POOR I.Q SHOULD BE IGNORED....!
*GES ITAUZWA KENYA
*UMEME TUTAUZA KENYA
*MAMA AMESISITIZA UJAZO WA KIBIASHARA
BAINA YA NCHI ZETU.
*KUONDOA MAKWAZO MIPAKANI
*KODI ZA MIPAKANI KUANGALIWA UPYA
*KAMATI ZA BIASHARA KUKUTANA MARA KWA MARA
*TWENDENI TUKAWEKEZE KENYA,SIONI UBAYA MOJA YA BANK ZETU KUFUNGUA TAWI KENYA KURAHISISHA BIASHARA ZA WATANZANIA KENYA KAMA WAO NA KCB YAO HAPA.A
Kwahiyo miaka yote hatuna viwanda kwa sababu tulikua hatuna ges!!Kinacholalamikiwa ni viwanda vya ndani kunyimwa gesi halafu unaenda kumpa mtu wa nje, kwani ukatumia hata 1% tu ya ubongo wako, utapungukiwa na nini?
Acha tuone kuliko kua chini ya washambaBado kidogo tu, kila rangi tutaona
Marehemu aluwadanganya sana mkamuona yeye ni Mungu wenu mkamuita Mungu !!! Mama ni mjanja kuliko mwendazake mama anafufua uchumi uliokua ICU !!!!Kwahili kweli tutamkumbuka JPM
Mama Samia asijilegeze kwa Wakenya, Hawa watu sio wazuri wanataka tuendelee kuwa soko la viwanda vyao ilihali products zingine tunaweza kuzitengeneza wwnyewe
Mama awe makini sana na aendelee kuwapiga pini kama JPM alivyofanya.
Shauri yetu Wadanganyika
Lisukuma hilo limepagawaHayo maneno ya mkosaji !!fikra za miaka ya 50!!, wanawake wameongoza wazungu na kuleta maendeleo makubwa itakuwa kwa mwafrika, tena mtanzania?!!huyo mwanaume aliyeongoza miaka mitano , maendeleo gani ameyaleta?hao kina mseveni, mugabe, derby, biya, sasongweso zaidi ya miaka 30, madarakani walifanya nini?!acheni hizo muhukumuni mtu kwa uwezo wake na sio JINSI, yake.MAMA KANYAJA TWENDE,
Shida sio kuuza nje..Tunauza nje kwa faida ipi je sisi wenyewe imetutosheleza kwanza?
Kama uwekejazi wa gas ulitokana na kodi za watanzania basi watanzania hao hao kwanza ndio wafaidike na kodi zao..
Tuuze gas baada ya sisi kuwa imetutosheleza kile kinachozidi (surplus)ndio kiuuzwe..
Viwanda vyetu wenyewe vinahitaji gas lakini gas hiyo hiyo hawapewi..inakuwaje unakwenda kumpa jirani yako!..
Jibu kisomi..hiyo ndo fact! Acha mipashoUnaandika vizungu viiingiii ushuzi mtupu!
Monopolistik sijui manini nini!
Uhuru Kenyatta ni mjanja wa mjini yule.
Kashampiga bao Bibi SASHA.
Ulichoandika hapo ni sawa na kusema tusiwauzie mahindi Wakenya, kwa sababu tukiwauzia watakuwa hawana shida ya chakula, na matokeo yake watakuwa wanashiba na kufanya kazi vizuri sana na hivyo watatuzidi!!!Napenda kuandika kidogo tu kulingana na uwelewa wangu juu ya Ziara ya Mama nchi Kenya na mikataba mlio tiana sign..
1.Ujenzi wa bomba la gas kutoka Tanzania kwenda Mombasa kwa ajili ya matumizi ya viwanda nchini Kenya,hapa mama unefail pakubwa sana maana yake nikwamba bidhaa za Kenya zitakuwa zinazalishwa kwa gharama nafuu zaidi na kuteka soko la Africa Mashariki kuliko Tanzania..Tutarudi miaka ya nyuma tena kila kitu Made in Kenya.
a.Hii sera yetu ya viwanda itakufa maana hatuweza kushindana tena na product kutoka Kenya na vijana wetu watazidi kuwa wachuuzi wa bidhaa kutoka nje.
Kwanini Tanzania tushindwe?! Kama hao wawekezaji watavutika kutokana na gesi kutoka Tanzania, nini kitafanya washindwe kuingia Tanzania inakotoka hiyo gas?b.Kenya itatumia mwanya huu kuvutia wawekezaji kutoka nje kuwekeza Kenya kuliko kuja kuwekeza Tanzania.
Elimu inahitajika kuhusu raslimali ya gesi manake hapa watu wanachanganya sana madesa!!!c.Tunasafirisha gas kama kuna surplus ya viwanda vyetu na matumizi yetu kama Taifa.Viwanda vyetu bado vinahitaji nishati ya gas lakini bado upatikanaji wake umekuwa mgumu na kwa gharama kubwa
Kwa sababu tu wanatarajia kuuza gesi Kenya?!d.Kenyatta amecheza karata yake vizuri katika ujenzi wa gas kuliko Mama sijui washauri wake wamekwama wapi natarajia kuona Kenya ikinufaika zaidi katika utawala wa Mama kuliko kipindi chochote kile katika historia ya Tanzania na Kenya.
Lini KQ iliacha kuingia Tanzania? Wakati KQ bado inaingia Tanzania, kuna route ngapi za ATCL zinazohusisha Tanzania na Kenya?2.Ushirikiano wa anga..hapa Kenyatta anatafuta namna ya kuisaidia Kenya airways..inakwenda ku dominate soko na anga tena kama huko nyuma.hapa kumbuka faidia kubwa ya Kenya Airways inatokana na safari za Tanzania.Dsm,Zanzibar na Kilimanjaro.
Hapa tutalajie Air Tanzania ikifa kifo cha mende kutokana kutoweza kumudu ushindani na Kenya airways..otherwise kufanyike changes za haraka katika Management ya Air Tanzania.
3.Soko la utalii hapa Kenyatta amecheza vizuri kama pele..
Magufuli na Kikwete nani aliua uchumi. Au ule uchumi wa madawa ya kulevya ndiyo mliona maendeleo. Mpende msipende hakuna raisi wa TZ ambaye aliupandiksha na kuukuza uchumi kama Magufuli. Mnaweza mkamchukia lakini alitutoa chini kabisa na kutufikisha uchumi wa kati. Hata Nyere hakuweza hilo. Leo hii ingekuwa bado awamu ya NNE hata mawaziri na viongozi wakuu wa serkali wangekuw wamekwisha kuwa MATEJA.Muacheni mama awajengee uchumi wenu maana kiongozi wa malaika alishauua. Mshukuruni Mungu amewaokoa huo uchumi wenu ulishaenda kuzimu. Hujasoma media za bongo huko kwamba soko la hisa la Dar limeanza kurejea hali yake.
Ww ndio kiazi kweli...UZI WA VILAZA HUU,WENYE POOR I.Q SHOULD BE IGNORED....!
*GES ITAUZWA KENYA
*UMEME TUTAUZA KENYA
*MAMA AMESISITIZA UJAZO WA KIBIASHARA
BAINA YA NCHI ZETU.
*KUONDOA MAKWAZO MIPAKANI
*KODI ZA MIPAKANI KUANGALIWA UPYA
*KAMATI ZA BIASHARA KUKUTANA MARA KWA MARA
*TWENDENI TUKAWEKEZE KENYA,SIONI UBAYA MOJA YA BANK ZETU KUFUNGUA TAWI KENYA KURAHISISHA BIASHARA ZA WATANZANIA KENYA KAMA WAO NA KCB YAO HAPA.A
Akili za mabek tatuTuna simama na mama Samia !!! Mama shupavu ,Mama mjanja ,Mama mstaarabu Misukuma tupa kuleeee chooni