Ziara ya viongozi wa nchi 4 nchini Ukraine: Sura zao hazioneshi matumaini

Ziara ya viongozi wa nchi 4 nchini Ukraine: Sura zao hazioneshi matumaini

mbingunikwetu

JF-Expert Member
Joined
Feb 17, 2015
Posts
13,897
Reaction score
18,477
1655387543240.png
 
Alichokikataa na alichokipata sijui anajifikiriaje? Mkataba wa Minsky ulikuwa mzuri sana, ilikuwa ni kutoa tu madaraka ya ndani kwa jimbo la Donbas na bado likawa chini ya Ukraine kama ilivyo Hongkong. Alikataa hilo matokeo yake jimbo limejitenga na kujitangazia uhuru wake na Urisi imeamua kuwakingia kifua na kuwalinda!!
 
Aachane na kubembeleza kupewa silaha alinde watu wake alinde taifa lake,akae mezani na Mwamba wamalize tofauti maisha yaendelee
dah nyiny ndo mnajiita waafrika sipat picha mngekuwa kile kizaz cha ukoron mngekuwa kila mkipigwa biti mnatoa had wake zenu kwa wafaransa , na ss hv ndo mnakuwaga wa kwanza kuwatukana akina Nyerere eti waliiongoza wapumbav , weny akili ndo nyiny hamjitambui , at the end of the day Urusi kashajifungulia njia mbaya iwe leo au baada ya miaka 5 ila tambua Urusi atashindwa tu na Ukraine ndo anafungua njia ya kujitenga na Urusi , hata akina Hitler na Napoleon walianza kwa kushinda maeneo makubwa zaid ya haya Putin kayateka ila mwishowe walishindwa , Hata huyo China inaeza fika point akamgeuka Urusi kwa sabab ya misimamo ya Urusi , kwasasa China anataka kuhakikishiwa kutoingiliwa maslai yake huko Hongkong na Taiwan , pia India sio wa Kutegemea kbs maana wanaujua uchumi wao so hawawez jiingiza kwenye mgogoro mzito namna hii , wahindi sio wa kuhamini kbs
 
Alichokikataa na alichokipata sijui anajifikiriaje? Mkataba wa Minsky ulikuwa mzuri sana, ilikuwa ni kutoa tu madaraka ya ndani kwa jimbo la Donbas na bado likawa chini ya Ukraine kama ilivyo Hongkong. Alikataa hilo matokeo yake jimbo limejitenga na kujitangazia uhuru wake na Urisi imeamua kuwakingia kifua na kuwalinda!!
ww unaeza kubali bint yako umpe uhuru binafs ila bado anakaa kwako yaan ndan ya nyumba yako yy awe na maamuz binafs na yaheshimiwe , akitaka kulala nje sawa ila akipata matatizo unayabeba ww , muda mwingine muache ushabiki maandaz , Ipo siku yakitokea kwenye nchi yako ndo utaelewa ,Putin kuvamia Crimea ndo alivunja makubaliano ya Uhuru wa Ukraine kutoka USSR kuwa Urusi haitokuja kuivamia Ukraine au kuhatarisha usalama wake ( hili ndio lilikuwa la kwanza mulizungumzuie ila mmeruka hadi matukio ya mbele kbs , najiulizaga tu hizi chuki zenu kwa MAREKANI na huku huyo MAREKAN ndo anawajengea vyoo watoto zenu shuleni wanye na pia mnatibiwa kwa misaada ya dawa za marekani bila kisahau vitabu mashuleni ni misaada ya Marekank hata bajeti yenu misaada ya Marekani , Siku USA ikijitoa kbs nchinI mwenu ndo mnakuwaga wakwanza kusema mbona zaman ilikuwa hv , waafrika bado tuna element za wanyama wa mwituni hatujitambui , Kobaz umeweka mbele kuliko akili )
 
Back
Top Bottom