Google Diggers
JF-Expert Member
- Aug 29, 2015
- 944
- 1,138
Ume analyse ukijenga hoja ipi.dah nyiny ndo mnajiita waafrika sipat picha mngekuwa kile kizaz cha ukoron mngekuwa kila mkipigwa biti mnatoa had wake zenu kwa wafaransa , na ss hv ndo mnakuwaga wa kwanza kuwatukana akina Nyerere eti waliiongoza wapumbav , weny akili ndo nyiny hamjitambui , at the end of the day Urusi kashajifungulia njia mbaya iwe leo au baada ya miaka 5 ila tambua Urusi atashindwa tu na Ukraine ndo anafungua njia ya kujitenga na Urusi , hata akina Hitler na Napoleon walianza kwa kushinda maeneo makubwa zaid ya haya Putin kayateka ila mwishowe walishindwa , Hata huyo China inaeza fika point akamgeuka Urusi kwa sabab ya misimamo ya Urusi , kwasasa China anataka kuhakikishiwa kutoingiliwa maslai yake huko Hongkong na Taiwan , pia India sio wa Kutegemea kbs maana wanaujua uchumi wao so hawawez jiingiza kwenye mgogoro mzito namna hii , wahindi sio wa kuhamini kbs
Katika kujenga hoja wewe unaongea as if, Dunia imeanza Leo na huu ni mgogoro namba moja wa Kwanza. Nooo.
Umeongea as if una hakika na hatua itayofata baada ya Aidha Ukraine kusalimu,au kifutwa kwenye ramani.
Mimi nilianaangia Finland na Sweden kufanya kile kilichomuudhi Russia Kwa kutaka kujaribu kujiunga na NATO, na Ili urusi achukie awavamie Sweden na Finland Kwa namna wanavyotaka kujaribu kutaka kujiunga. Lloh hawez kufanya hivyo, badala yake ataimarisha Mazoez kuleee eneo la karib na Poland, Latvia, Lithuania nk. Nikatika mbinu z kivita na kujihami.
Narudia kusema kwamba msisahau kuwa vita ya pili ya Dunia walioumizwa sio kwelykwamba wamesahau. German hajasahau,lkn hawez kujitoa ufahamu,itali na wengine, uingereza anakumbukumbu nyingi, Hawa watu hawawezi kufanya mnchofikiria, Russia bado ana uwezo wa kusoma vita. Polar la NATO bado itaendelea kuwa na nguvu lkn inajihani Sana kujihusisha individual