Ziara ya viongozi wa nchi 4 nchini Ukraine: Sura zao hazioneshi matumaini

Ziara ya viongozi wa nchi 4 nchini Ukraine: Sura zao hazioneshi matumaini

Siku si nyingi Zele ataanza kujiita yatima ili anao waomba msaada wamfikirie kwa huruma zaidi
 
Wameshamwambia ni hiari yake kuamua juu ya msitakabali wa nchi yake! Kama anataka Amani kwa Ghrama kubwa ya Vita sawa,au akubali kuachia baadhi ya maeneo ya Nchi yake kwa Urusi. Wazungu hawatampa kila silaha anayotaka kupigana na Majeshi aya Russia.
 
Aachane na kubembeleza kupewa silaha alinde watu wake alinde taifa lake,akae mezani na Mwamba wamalize tofauti maisha yaendelee
Binadamu tunatofautiana. Wako wanaopenda kunyenyekea miamba (subservience) na wako wasiokubali kunyanyaswa na wako tayari kujitoa mhanga.

Huyo “mwamba” keshasema kihistoria Ukraine si taifa huru bali ni sehemu halali ya Urusi. Anataka kuichukua jumla na kuifanya jimbo la Russian Federation. Keshaawambia kina Zelenskyy wavunje jeshi na serikali yao, wakabidhi silaha zote na kujisalimisha kwa jeshi la Urusi!

Ni mtu mwenye asili ya kuwa mtumwa wa miamba tu ndiye anayeweza kulilia Zelenskyy akubaliane na Putin kwa anachotaka. Kwanza kachakachua historia: Ukraine ilikuwa taifa kabla ya Urusi.
 
Kwa hiyo unaamini marekani Hana anachonufaika nacho kutoka kwetu..??.[emoji57][emoji57]..kwamba anajitolea tuu kama ..embu hamka usingizini kwanza...
 
Safi za Zele, pambania nchi yako dhidi ya mvamizi dikteta uchwara.
 
Kwasababu sheria zakinataifa au sheria za vita haziruhusu RAIS ama kiongozi wanchi husika
Kuuwawa ama kuuliwa wakati wa VITA
(Kuna mtu alinijibu hivi nluvyomuuliza swali kama lako)
Asante Mkuu kwa jibu lako, Japo bado napata kigugumizi Sadam hussein walikamata na kwenda kunyonga
 
Back
Top Bottom