Ziara ya viongozi wa nchi 4 nchini Ukraine: Sura zao hazioneshi matumaini

ww unaeza kubali bint yako umpe uhuru binafs ila bado anakaa kwako yaan ndan ya nyumba yako yy awe na maamuz binafs na yaheshimiwe , akitaka kulala nje sawa ila akipata matatizo unayabeba ww , muda mwingine muache ushabiki maandaz , Ipo siku yakitokea kwenye nchi yako ndo utaelewa ,Putin kuvamia Crimea ndo alivunja makubaliano ya Uhuru wa Ukraine kutoka USSR kuwa Urusi haitokuja kuivamia Ukraine au kuhatarisha usalama wake ( hili ndio lilikuwa la kwanza mulizungumzuie ila mmeruka hadi matukio ya mbele kbs , najiulizaga tu hizi chuki zenu kwa MAREKANI na huku huyo MAREKAN ndo anawajengea vyoo watoto zenu shuleni wanye na pia mnatibiwa kwa misaada ya dawa za marekani bila kisahau vitabu mashuleni ni misaada ya Marekank hata bajeti yenu misaada ya Marekani , Siku USA ikijitoa kbs nchinI mwenu ndo mnakuwaga wakwanza kusema mbona zaman ilikuwa hv , waafrika bado tuna element za wanyama wa mwituni hatujitambui , Kobaz umeweka mbele kuliko akili )
Unaongelea mkataba WA mwanzo kabisa bila kuongea Hali ya sasa na tabia za Ukrein Rusia alikubali kuilinda Ukrein na ata zamani alikubali kutoa majimbo yake Kwa Ukrein Ila ni nn Ukrein analipa Kwa Rusia? Tamaa na kuona kuwa Rusia ni adui kwao wanamkaribisha adui tena adui mkubwa kabisa na kujiisi Wana haki iyoo ndyo wanayoo VIP marekani angekubali haya yatokee Kwa Mexico Rusia akite kambi zake pale umeiandika kishabiki kama geopolitical ya dunia huijui kilichomtokea Ukrein Kwa Rusia ata Marekani angefanya Kwa Mexico unasma Rusia atajitenga mwenyewe Ila tatizo mnaichukulia Rusia kama Hungary au vinchi vingine vya ulaya mnabaki kusema Rusia Hana uchumi mkubwa Ila naona wote mmejionea jinsi dunia ilivyobadilika Kwa miezi hiii mitatu
 
Hiyo ziara nimiuonyesha dunia kuwa Ukraine maeneo yako salama

Urusi ilijitia kuwa I geiteka Kyiv ndaninya saa 72 ilishindwa

Sasa viongozi kutembelea wanatumia ujumbe kwa Russia kuwa hana chochote cha kuwafanya ukraine
 
Mkiulizwa puttin kasema lini atatumia masaa 72 mnaishi kuwa kimyaa hakuna anayejua operation ni ya muda gn na zaidi ya mwenyewe puttin mliobaki kauli za kujifariji wakati Ukraine inateketea
 
Mawazo Yako wakati nchi inaendelea kumegwa Kila kukicha,andelee kudanganywa na mabeberu aona siku kyvi ikifikiwa atafute pakutokea.
 
ebu twende kwa hoja , Ukraine aliikosea nini Urusi mpk ivamiwe ? ( ila km upo tyr kwa debate , km unaeka mahaba bas tuishie hapa )
 
Mkiulizwa puttin kasema lini atatumia masaa 72 mnaishi kuwa kimyaa hakuna anayejua operation ni ya muda gn na zaidi ya mwenyewe puttin mliobaki kauli za kujifariji wakati Ukraine inateketea
acha fuatilia , sio hawawez kukujib ila wanaona upo na low memory
 
Hiyo ziara nimiuonyesha dunia kuwa Ukraine maeneo yako salama

Urusi ilijitia kuwa I geiteka Kyiv ndaninya saa 72 ilishindwa

Sasa viongozi kutembelea wanatumia ujumbe kwa Russia kuwa hana chochote cha kuwafanya ukraine
Huwa nakuamini sana, lakini kwenye huu mgogoro naona unafanya makusudi na umeamua kusimamia unachokipenda na kuukwepa ukweli.

Bila ushabiki hebu jiulize kama Urusi wakitaka kuiharibu Kiev watashindwa?, jiulize iwapo wakitaka kumpoteza Zele watashindwa?, na WAKIONYESHA DHAMIRA YA WAZI YA KUWADHURU VIONGOZI WA NCHI ZINGINE WANAOTEMBELEA KIEV UNAFIKIRI KUNA KIONGOZI ANGETHUBUTU KWENDA HUKO?.

Hivi unafikiri katika hali ya Ukraine kwasasa kuna kiongozi wa kitaifa atakwenda huko bila mawasiliano na Moscow. Ni lazima wanataarifu ili mtu asije kusema alishambulia hakujua kuna rais wa nchi fulani humo.

Najua unauwezo wa kufikiria nje ya Box lakini unalazimisha akili yako ijifungie tu ndani ili kuufurahisha Moyo
 
Hivi Zele ndio hana nguo za kubadilisha au anavaa hivo ili aonewe huruma
nyie hamjamuelewa zele kwa nn kavaa hivyo .yaani hiyo ni meseji ya kuwaonyesha kuwa kwa Sasa anawachukulia poa ,na sio watu muhimu kwake .na Hana la kupoteza kuhusu wao ,waje au wasije ,poa tu !! Huoni wanajichekesha lkn zele Hana hisia na vitabasamu vyao . halafu huyo mwenye pia ndefu ni Kama ana anamwambia zele kimoyomoyo pole dogo,mjini shule!![emoji23]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hiyo ziara nimiuonyesha dunia kuwa Ukraine maeneo yako salama

Urusi ilijitia kuwa I geiteka Kyiv ndaninya saa 72 ilishindwa

Sasa viongozi kutembelea wanatumia ujumbe kwa Russia kuwa hana chochote cha kuwafanya ukraine
Af nyie machoko ficheni upumbavu, hivi Russia anashindwa kuipiga hio Kiev kwa akili zenu za mavi mavi? Huo ni mji wa serikali ndio maana hataki kupaharibu.

Angepatandika Iskander hapo hao kina boris na mashoga wenzao wangefikia juu ya vipande vya matofali na mahema ili kuendesha vikao vyao.
 
Mawazo Yako wakati nchi inaendelea kumegwa Kila kukicha,andelee kudanganywa na mabeberu aona siku kyvi ikifikiwa atafute pakutokea.
Mwezi 5 sasa taja eneo lilotangazwa rasmi na urusi kwamba wamefanikiwa kumega, russia anatumia zaidi ya $milioni 16 kwa siku vita ya Ukraine, na kwa taarifa za uhakika walizotoa Ukraine juzi Russia hupoteza askari 250 kila baada ya masaa 24., sasa kama bajeti ya Putin ni miezi 6 maana yake ni kwamba bado mwezi mmoja aendelee kufilisika bila ya mafanikio., Marekani wamepitisha bajeti ya miaka 5 kuisaidia Ukraine ikibidi vita kufikia muda huo., sasa inamisha kichwa chini ufikirie nani anaenda kuumia kwenye hii muiitayo operesheni.
 
Back
Top Bottom