Ziara ya viongozi wa nchi 4 nchini Ukraine: Sura zao hazioneshi matumaini

Ziara ya viongozi wa nchi 4 nchini Ukraine: Sura zao hazioneshi matumaini

Mwezi 5 sasa taja eneo lilotangazwa rasmi na urusi kwamba wamefanikiwa kumega, russia anatumia zaidi ya $milioni 16 kwa siku vita ya Ukraine, na kwa taarifa za uhakika walizotoa Ukraine juzi Russia hupoteza askari 250 kila baada ya masaa 24., sasa kama bajeti ya Putin ni miezi 6 maana yake ni kwamba bado mwezi mmoja aendelee kufilisika bila ya mafanikio., Marekani wamepitisha bajeti ya miaka 5 kuisaidia Ukraine ikibidi vita kufikia muda huo., sasa inamisha kichwa chini ufikirie nani anaenda kuumia kwenye hii muiitayo operesheni.
Unasema eneo hata moja lililobebwa na Urusi? Dogo 24% ya eneo la Ukraine lipo mikononi mwa Urusi.
 
Issue kubwa mkuu hapo ni Ukraine kujiunga na European union ambayo Putin aliapa ukraine wakijiunga atawasha moto., sasa Zelensky anataka kwa haraka Ukraine wakubaliwe ndio mjadala tu
kumpangia jirani yako aishije ni kazi ngumu, naona njia nyeupe kwa Ukraine kuingia EU mapema zaidi ya ilivyotarajiwa.
 
dah nyiny ndo mnajiita waafrika sipat picha mngekuwa kile kizaz cha ukoron mngekuwa kila mkipigwa biti mnatoa had wake zenu kwa wafaransa , na ss hv ndo mnakuwaga wa kwanza kuwatukana akina Nyerere eti waliiongoza wapumbav , weny akili ndo nyiny hamjitambui , at the end of the day Urusi kashajifungulia njia mbaya iwe leo au baada ya miaka 5 ila tambua Urusi atashindwa tu na Ukraine ndo anafungua njia ya kujitenga na Urusi , hata akina Hitler na Napoleon walianza kwa kushinda maeneo makubwa zaid ya haya Putin kayateka ila mwishowe walishindwa , Hata huyo China inaeza fika point akamgeuka Urusi kwa sabab ya misimamo ya Urusi , kwasasa China anataka kuhakikishiwa kutoingiliwa maslai yake huko Hongkong na Taiwan , pia India sio wa Kutegemea kbs maana wanaujua uchumi wao so hawawez jiingiza kwenye mgogoro mzito namna hii , wahindi sio wa kuhamini kbs
Sawa my Ukraine wa buza ni mawazo Yako,kuunga mkono TU ushetani wa mabeberu ni ishara ya ushiriki wako katika mambo hayo, marekani na unaojiita umoja wa ulaya wanaojidai wamiliki wa dunia Hicho ndio sitaki na ndio asichotaka mrusi ,mchina na wengine wanaokandamindamizwa....
 
Mwezi 5 sasa taja eneo lilotangazwa rasmi na urusi kwamba wamefanikiwa kumega, russia anatumia zaidi ya $milioni 16 kwa siku vita ya Ukraine, na kwa taarifa za uhakika walizotoa Ukraine juzi Russia hupoteza askari 250 kila baada ya masaa 24., sasa kama bajeti ya Putin ni miezi 6 maana yake ni kwamba bado mwezi mmoja aendelee kufilisika bila ya mafanikio., Marekani wamepitisha bajeti ya miaka 5 kuisaidia Ukraine ikibidi vita kufikia muda huo., sasa inamisha kichwa chini ufikirie nani anaenda kuumia kwenye hii muiitayo operesheni.
Sasa unaweza kutoka urusi Kwa gari kupitia Ukraine iliyomegwa Hadi unaotokea cremia bado kidogo TU ,uweze kufika Romania na Moldova🏃
 
Hivi Zele ndio hana nguo za kubadilisha au anavaa hivo ili aonewe huruma
Nahis ni nguo zake za operation. Kikinuka karibu yake, anavaa koti la jeshi anaingia mzigoni
 
Mwezi 5 sasa taja eneo lilotangazwa rasmi na urusi kwamba wamefanikiwa kumega, russia anatumia zaidi ya $milioni 16 kwa siku vita ya Ukraine, na kwa taarifa za uhakika walizotoa Ukraine juzi Russia hupoteza askari 250 kila baada ya masaa 24., sasa kama bajeti ya Putin ni miezi 6 maana yake ni kwamba bado mwezi mmoja aendelee kufilisika bila ya mafanikio., Marekani wamepitisha bajeti ya miaka 5 kuisaidia Ukraine ikibidi vita kufikia muda huo., sasa inamisha kichwa chini ufikirie nani anaenda kuumia kwenye hii muiitayo operesheni.
Wanayooshwa wenye vichwa ngumu,wanaojidai wababe wadunia na mahodari WA fitna na uonevu🤔
 
Wabongo wa gongo la mboto sasa mna taaluma ya kusoma sura wazungu, kweli mnatisha sana, mlisema Zelensky kakimbia Ukraine vipi sasa na jamaa anaonekana anapiga chuma balaa, kwanini Putin hapo hakurusha japo kajiwe kadogo tu kikamgusa Macron?
Nyie wote wachochezi kama walivyo mabeberu🤔
 
Hiyo ziara nimiuonyesha dunia kuwa Ukraine maeneo yako salama

Urusi ilijitia kuwa I geiteka Kyiv ndaninya saa 72 ilishindwa

Sasa viongozi kutembelea wanatumia ujumbe kwa Russia kuwa hana chochote cha kuwafanya ukraine

Viongozi kutembelea Ukrain haimanishi Ukrain ni shwari au Urus hawezi kufanya chochote.

Urus hawezi kumrushia kombora kiongozi yoyote wa nchi kubwa ambaye atazuru Ukrain kwa sasa, kwa sababu inaweza kusababisha mgogoro mkubwa hata vita ya tatu vya Dunia.

Mojawapo ya kichocheo kilichosababisha vita ya kwanza yya dunia kuanza, ilikuwa ni kuuawawa kwa waziri mkuu wa Austria Archduke na mkewe Sophie huko Sarajevo mwaka 1914.

Hivyo, tusitegemee Urus atawarushia kombola viongozi wa nchi kubwa wanaotembelea Ukrain.

Nina uhakika, Urus hawezi hata kumrushia kombola Zelensky kipindi anapotembelea kwenye uwanja wa vita, japo uwezo wanao wa kufanya hivyo!
 
Zele anaonekana mtu wa chuma yule mwenzake upande wa pili ana black belt,kazi ipo hapo...
 
Sawa my Ukraine wa buza ni mawazo Yako,kuunga mkondo TU ushetani wa mabeberu ni ishara ya ushiriki wako katika mambo hayo, marekani na unaojiita umoja wa ulaya wanaojidai wamiliki wa dunia Hicho ndio sitaki na ndio asichotaka mrusi ,mchina na wengine wanaokandamindamizwa....
Huyo choko ni my wako
 
dah nyiny ndo mnajiita waafrika sipat picha mngekuwa kile kizaz cha ukoron mngekuwa kila mkipigwa biti mnatoa had wake zenu kwa wafaransa , na ss hv ndo mnakuwaga wa kwanza kuwatukana akina Nyerere eti waliiongoza wapumbav , weny akili ndo nyiny hamjitambui , at the end of the day Urusi kashajifungulia njia mbaya iwe leo au baada ya miaka 5 ila tambua Urusi atashindwa tu na Ukraine ndo anafungua njia ya kujitenga na Urusi , hata akina Hitler na Napoleon walianza kwa kushinda maeneo makubwa zaid ya haya Putin kayateka ila mwishowe walishindwa , Hata huyo China inaeza fika point akamgeuka Urusi kwa sabab ya misimamo ya Urusi , kwasasa China anataka kuhakikishiwa kutoingiliwa maslai yake huko Hongkong na Taiwan , pia India sio wa Kutegemea kbs maana wanaujua uchumi wao so hawawez jiingiza kwenye mgogoro mzito namna hii , wahindi sio wa kuhamini kbs
Ume analyse ukijenga hoja ipi.

Katika kujenga hoja wewe unaongea as if, Dunia imeanza Leo na huu ni mgogoro namba moja wa Kwanza. Nooo.

Umeongea as if una hakika na hatua itayofata baada ya Aidha Ukraine kusalimu,au kifutwa kwenye ramani.

Mini niliangazia Finland na Sweden kufanya kile milichomuudhi Russia Kwa kujiunga na NATO Ili urusi achukie awavamie Sweden na Finland. Lloh hawez kufanya hivyo, badala yake ataimarisha Mazoez kuleee eneo la karib na Poland, Latvia, Lithuania nk. Nikatika mbinu z kivita na kujihami.

Narudia kusema kwamba msisahau kuwa vita ya pili ya Dunia walioumizwa sio kwelykwamba wamesahau. German hajasahau,lkn hawez kujitoa ufahamu,itali na wengine, uingereza anakumbukumbu nyingi, Hawa watu hawawezi kufanya mnchofikiria, Russia bado ana uwezo wa kusoma vita. Polar la NATO bado itaendelea kuwa na nguvu lkn inajihani Sana kujihusisha individual.

Sijawazungumzia Allie wa Russia as wanajua katika vita haaminiwi mtu
 
Back
Top Bottom